D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Basi Putin atakuwa malaya mchafu.Anadanga kwa Irani na hata Wagner mercenaries🤔Ukraine haijawahi kuwa imara bila misaada. Ukraine ni sawa na malaya anayejitapa kuwa she can pay her own bills wakati anadanga waume za watu ili apate hela ya kodi na ya kuishi.
Wajiandae tu huu mchezo china nae lazima aufanyeHicho kitu nilikihisi juu ya safari ya biden kwamba ile treni aliyokwenda nayo ilikuwa loaded na silaha. Isingeguswa sababu mikataba ya kiusalama inazuia raisi na viongozi waandamizi kuvamiwa.
Huko bado baridi kali[emoji95][emoji635][emoji95]Yagodnoe is completely under the control of the Musicians[emoji95][emoji635][emoji95]View attachment 2530233
Yah bado baridi kaliHuko bado baridi kali
Kwani kuna siku waukraine waliulizwa kama tupigane na urusi au tusipigane??Yaani Waukrein wengi Hawaitaki Kabisa Hii Vita
Ni Kiongozi wao Kuwa Kilaza kwa Kukubari Kutumika Dhidi ya Urusi
Ukrainian action in Berlin didn't go according to plan
Russian destroyed tanks were brought to European capitals from Ukraine. They were supposed to remind Europeans of giving military aid to the AFU. But instead, the inhabitants of Germany began bringing flowers to thhttps://mobile.twitter.com/TomatkaP/status/1629500983280582656e tank.
Hata ukaoneshwa kwa vile umeshajiwekea pamba za kutoamini utapinga.View attachment 2530383View attachment 2530385View attachment 2530384View attachment 2530386Ivyo 60 kwa wiki wanavipotezea Ukraine sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].maana hatuvioni zaidi ya kuona vya Ukraine tu.
Kila siku mnaongea kuhusu Urusi kusaidiwa na China ila ukija uwanja wa vita hakuna hata silaha moja kutoka china inayonekana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo si kifaru kimoja tu .ivi macho yako yanaona kama mimi au kuna vitu umeongezea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ukaoneshwa kwa vile umeshajiwekea pamba za kutoamini utapinga.View attachment 2530383View attachment 2530385View attachment 2530384View attachment 2530386View attachment 2530387
Ebu tueleweshe wewe uliyetuletea.iyo BUDGET REVENUE ndo nini maana ni ngeni kwangu[emoji298]️Over the past year, Russia has spent nearly $115 billion on the war with Ukraine, Forbes Ukraine reported.
This is a third of Russia's total budget revenues for 2021.[emoji298][emoji1255]