kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Quoted!!Kuna huu mkeka wangu wa tangia majuzi bado unasonga mechi 24 zimetiki bado 8 hauna cash out nili flex hii nina imani nao kwa asilimia 40%View attachment 2530681View attachment 2530682
Kama nimetuma kimoja sawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo si kifaru kimoja tu .ivi macho yako yanaona kama mimi au kuna vitu umeongezea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
itafute MINSKY AGREEMENTHajajitanua kibabe wala kiuvamizi, ila wanachama wapya walijiunga wenyewe kwa hiari.
Nacheka kwa sababu umetuma picha ina kifaru kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]Kama nimetuma kimoja sawa.
Ndio nilikwambia hata upewe nini huwezi kuamini kwasabaabu akilizako umeshizielekeza kwenye kupinga.
Hivi kinachokuwa kinakuchekesha ni nini hasa??
Utakumbuka kilichotokea baada ya kutengenezwa stampu kuhusu kubomolewa kwa daraja la Crimea??!! Subirieni kilio cha mbwa mwizi/koko[emoji28][emoji16][emoji2]View attachment 2530537
Sawa, kwa hiyo unasemaje NduguChina anaihitaji Marekani kuliko Russia
Sasa hawa ni askari wa wapi?Taarifa zingine bwana,so mnataka tuamini kwamba hawa askari ni wa Urusi!! There is simply no credible evidence.Kwa mwendo ulivyo Ukraine akimaliza mafunzo ya IFV na Tanks za Western lazima ataanza offensive kubwa sana.
Atagain sehemu kadhaa . Wale wanajeshi wafungwa wa Russia wanywa gongo wataisha . PUTIN Hana washauri . View attachment 2530409View attachment 2530410View attachment 2530411
The end justifies the means...#[emoji298][emoji298] russia has already lost about 148,130 troops in Ukraine (+660 over the past day).[emoji779][emoji845]
The reverse is trueThe end justifies the means...
Punga muda mrefu sana
(Unajua nlikuwa nadhani wanalisingizia kuwa PUNGA)
Hoja yako kabla ilikuwa inasemaje??Nacheka kwa sababu umetuma picha ina kifaru kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi picha baadhi ni mwaka Jana mwezi wa tatu jamaa,vipi?Kwa mwendo ulivyo Ukraine akimaliza mafunzo ya IFV na Tanks za Western lazima ataanza offensive kubwa sana.
Atagain sehemu kadhaa . Wale wanajeshi wafungwa wa Russia wanywa gongo wataisha . PUTIN Hana washauri . View attachment 2530409View attachment 2530410View attachment 2530411