Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio jukwaa la dini hili najua unaumia ila jikaze njoo kwenye majukwaa husika nikunyooshe

Humu amani ndio inayotafutwa kutoka kwa MR PRESIDENT PUTIN

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa si Muislam ila anapenda kutumia aya za Uislamu humu

Apigwe ban kuchangia humu kma wenzake
 
𝐁𝐈𝐁𝐈𝐋𝐈𝐀
𝐌𝐖𝐀𝐍𝐙𝐎 14:8-11
Mfalme wa Sodoma(USA) , na mfalme wa Gomora(UK) , na mfalme wa Adma(GERMAN) , na mfalme wa Seboimu(POLAND) , na mfalme wa Bela(UKREIN) , ndio Soari[ZELENSKY], wakatoka wakapanga vita panapo bonde la Sidimu[BAKHMUT] ;

wapigane na Kedorlaoma[PUTIN] mfalme wa Elamu(URUSI) , na Tidali mfalme wa Goimu(CHINA) , na Amrafeli mfalme wa Shinari(IRANI) , na Arioko mfalme wa Elasari (KOREA) , wafalme wanne juu ya wale watano.

Vita itakuwaje endelea kusoma [emoji116][emoji116]

Na bonde la Sidimu(BAKHMUT) lilikuwa limejaa mashimo ya lami. Nao wafalme wa Sodoma(USA) na Gomora( UK, GERMAN AND OTHERS) wakakimbia, wakaanguka huko, nao waliosalia wakakimbia milimani.

(RUSSIAN) Wakachukua mali zote za Sodoma na Gomora na vyakula vyao vyote, wakaenda zao.

Baada ya ushindi MKUBWA.

sasa sijui hizo Lana zako kama zitafanya kazi hapo

Nimemaliza kukutwika kitu kizito mr mgeni.

La mwisho ukiona kuchangia mada huwezi hama uzi au kua msomaji tu
MUNGU IBARIKI RUSSIA
[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo tafsiir ya kipumbavu una lavel ya elim bila shaka hata mutawastwa hujafika, kaendelee kwanza na masomo
 
Tumekwambia humu hapakufai

Modereta tutoleeni huyu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Base ya super pawer wa mchongo huko Belarus imechakazwa[emoji23][emoji23]


[emoji298][emoji298]This morning explosions have occurred near the Machulishchy air base in #Belarus. As a result, Russia’s A-50 airborne early warning and control aircraft might have been hit.[emoji298][emoji298]
 
Kichapo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]

[emoji298][emoji298]In the past 24 hours, #Ukraine’s Air Force has launched four strikes on enemy personnel and military equipment clusters. Russian troops attempted to conduct offensive actions in five directions but failed.[emoji298][emoji298]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…