kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa kuwa habari imekuwa negative kwako,sio?Huyo Kipanya ni kama kuku mwenye mdondo.
Yaani analeta habari kana kwamba ashirikishi ubongo wake.
CIA Director ametoa maoni yake, yeye analeta hapa hiyo habari kama imetoka kwa Russia/Iran officials
Kwa misaada aliyopewa Ukraine ni bora kuliko UK mara dufu!UK ni bora zaidi ya Ukraine, ingekuwa ndio ipo vitani Warusi wangepata wakati mgumu sana kama serikali ya Argentina mwaka 1986.
Huyo sec.general asikushughulishe hata kidogo na hizo koment zake kwa sabab hana madhara kwa wakubwa[emoji187] Russia’s full-scale invasion of Ukraine caused the most massive violations of human rights. This is an “alarm bell”, UN Secretary-General Antonio Guterres said, The Guardian reported.
[emoji328]: AP
Vifaru kumi na nne mpaka leo bado hawajamaliza kuvipeleka???[emoji1200]Poland will send Ukraine the next batch of Leopard 2A4 tanks in the next few weeks, the Prime Minister's Office announced.[emoji298][emoji1255]
Yaani hapo jamaa alishashindwa hoja ya uzi (Russia vs Ukraine) akaamua kuingiza mambo ya dini lengo ni kuwagawa ProRussia. Na amefanikiwa!Niwashukuru wote mlio jibu lakini kama ndugu wamoja mngeanza kumushauri kwanza ndugu yenu aache kutumia aya za quran mapema katika uzi huu lakini naona mlimuacha tu ila baada ya kuanza kurudisha mapigo naona mme inuka wengi
Sikua na nia mbaya kama nimewakwaza yaishe tu hayo
Ila jamaa msipo msihi kuacha naoana mzigo utashushwa tu.
Asanteni.
mgeni
Nadhani umeona athari inayo tokea kua kubwa jihadhari na matumizi ya aya za quran karim humu utauchafua uzi tu kivyovyote
Uwezo wa kuwajibu wenzio ninao lakini sio mahala pake hapa.
pow moderetor
Na wengine simamieni hili.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Frankly inatisha.Nadhani there is something sinister going on behind the scenes.Yaani Ukiangalia Hii Video Kisha Pro Upinde/Nato wakuambie Ukrein anashinda unaweza Mkata Vibao
Hii Video ya jana
Mji wa Artemovsk
View attachment 2531428
Nimeona nimu ignore kwanza maana huenda ikawa salama wengine sisi ni wepesi wa kurudisha majibu na wakati humu tupo tukiwa na amani kabisa.Yaani hapo jamaa alishashindwa hoja ya uzi (Russia vs Ukraine) akaamua kuingiza mambo ya dini lengo ni kuwagawa ProRussia. Na amefanikiwa!
Kwa taarifa tu mpk dk hii Wagner wamebakiza km 2 kuizunguka Bakhmut yote. Natumai Bakhmut ikizungukwa yote na yale ya Mariupol kujirudia itakuwa na athari kubwa sana kwa Zelensky. Ameshauriwa mpk na majenerali wake wa evacuate lkn amegoma.
Pigo la Bakhmut litakuwa ni pigo kali sana!
Mimi sina jehannam ya kuwapa mwenye nayo huyu hapa Atawapokea!We jamaa unajikuta msooomi wa dini! Sasa Hapo laana ya Nini? Sheekh haupo tayari kusikia mawazo ya walio kinyume nawe? Ndo dini inasema hivyo?
Hakuna kipindi mtume aliamua mateka wa kivita wasilimu na si kuuawa kwa uasi walioufanya dhidi ya waislam?
Munkari wako upo juu kiasi kwamba ungekua karibu na yeyote usingeacha kutupa mkuki !
Nb.
Pole Sana mkuu kwa ukosefu was uvumilivu
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwani uisilamu unashabikia uovu??Nadhan huyo sio muislam