Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

#stoprussia
Over the past four days, Russian troops have become less active in the #Vuhledar direction.
 
Kumbe ni hadithi njoo uongo kolea sio qaraa![emoji38][emoji38][emoji38]
Nitakuletea hadithi usije ukazikataa
 
Naona PRo-NATO wengi mna matatizo ya akili by being in denial
Wanashangaza sana actually anazungumza in reverse - ukweli wa mambo ni kwamba Ulaya karibu nzima pamoja na USA kwenyewe wtu wana andamana kupinga vita vinavyo chochewa na NATO na USA in particular - wachache sana wanao msema vibaya au kumpinga Putin kwa sababu wanajua mchochezi mkubwawa vita hii ni nani - Putin hausiki kabisa.
 
Hii ya lini?
Maana alishaishiwa silaha na chakula siku nyingi sana.
 
USA wanaweweseka

Licha ya kutumia $b kadhaa lkn miji inazid kuyoyoma

Machaguo ni mawili tu nayo ni mazungumzo au USA na NYETO yake waingie front
Mkuu NYETO na kiranja wao mkuu hawana ubavu wa kupigana vita vya ana kwa ana na Warusi - hilo wanalitambua sana, ndio maana wamebakia kuitisha mikutano na makongamano yasiyoisha, vikwazo vya kiuchumi vya kila leo vimekwisha fikia zaidi ya 1200 lakini Urusi bado inadunda tu na kipigo kipo palepale.

Cha ajabu hivi sasa naona kibao kimekwisha gehuka baada ya Putin kusema kwamba hata-sign tena nyaraka za kupunguza uundaji wa silaha za nuclear, vile vile amesema hataruhusu wataalamu wowote wa masuala ya nuclear kutoka Merikani kutembelea viwanda vya Urusi vinavyo unda silaha kali za nuclear na delivery systems zake.

Siku Putin alipo toa kamko hilo - nilimuona Secretary General wa NATO amechanganikiwa kweli kweli kutokana kauli ya Putin, hata Biden alionyesha wasiwasi wake wazi wazi kuhusu kauli ya Putin - sasa wao si wanajifanya zaidi/vifaru wa Dunia sasa kwa nini wajali sana kauli ya Putin kuhusu kuwakatalia kufanya mazungumzo ya kupunguza na ku-inspect viwanda vya kuunda silaha huko Urusi na Amerika - kwa nini Amerika inakuwa na wasi wasi sana kuhusiana na kauli ya Putin kama kweli hawamuoni ni tishio kubwa kwao!!
 
Wewe ni mpumbavu na udini wako unaleta mahala ambapo sio sahihi naweza sema wewe ni shetani kama mashetani mengine mbuzi mimi
 
Unatuharibia usi mlozi mkubwa wewe
 
Unaliwa kiduara wewe sio bure
 

hapa mkubwa napingana na wewe, kama raia wangekuwa wanamuona urusi iko sawa basi wangeondoa serikali zao madarakani(kumbuka wenzetu wana demokrasia).
Kumbuka ufaransa wamefanya uchaguzi june lakini macron karudishwa na yule aliyetaka kujitoa nato kapigwa chini.
hatuwezi kusema nchi imeandamana kwa maandano ya watu elfu 10.
ndio maana hata urusi wachache waliandamana kupinga vita lakini haimaanishi huo ni mtizamo wa warusi wote.
 
Inabidi west wamvamie rusia wampige kama ngoma, haiwezekani awashinde nchi moja tuu kwa nchi 30
 
[emoji298]️US Treasury Secretary Janet Yellen arrived in Kyiv today, where she met with Ukrainian President Volodymyr Zelensky.

The main topic of the meeting was sanctions against Russia.

[emoji329]: Official channel of the President Zelensky
Janet Yellen ni kiongoz mzur saana ana maamuzi mazur katika nafasi yake, hafanyi makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…