LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mwamba hana habari. Ukraine wanatangaza wamemuua, Ila mwana anakaa kimya!

Ghafla unamuona amekamata na kuteka kambi za Ukraine.

Wanamtangaza tena wamemuua!
Ghafla anaonekana anatoa msaada kwa raia wa Ukraine.

Wanamtangaza wamemuua.
Jamaa ni muislam. Mara anaonekana kwenye video anasali huku Warusi wenzake wakiweka guard ikiwa shambulio lolote likitokea.

Wanamtangaza tena wamemuua.
Jana kaachia picha yupo na mtoto wa Ukraine wamepiga picha ya pamoja.

Ukraine wamemuua huyu kamanda mara 4. Kamanda naye akafufuka mara 4.
 
Hahaha

Walidhani kupambana na Mrusi ni kama kupambana na mwarabu.

Wameshushiwa mvua ya makombora ya ndege. Hajakaa sawa chopper ikashusha mvua nayo! Kwa nini asichanganyikiwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana... Ila hii dunia bn... Bado najiuliza how sie binadam tuso na vyeo wala power tunatumika sana kwa interest za watu bila kuhoji wala kufikiria mara mbili mbili...
 
Duh ni atari, sasa najiuliza tena apa kama ni kweli Russia ana Sera za kidikteta kwenye uchumi tfauti na Mchina.

Hayo makampuni yanayojitangaza kila kukicha kujitoa kwenye soko la urusi yalienda kutafuta nini.

Kama Urusi wana sera ya kidikteta kwenye uchumi ilikuaje mmarekani na mataifa ya ulaya yakafanya nae biashara (ambao ndo uchumi wenyewe) tena kwa kui'mports zaidi kutoka Urusi kuliko ya yeye Mrusi anavo'import kutoka kwao...

Na ukiitizama hyo screen shot uliyoiambatanisha apo nazan ni kipengele kiasi katika maelezo yalotolewa na upande wa China.

Hadi sasa taarifa niliyonayo hakuna Rafiki wa Urusi aliye'declare wazi kumuunga mkono kumpiga Ukraine zaidi ya kukaa "Neutral"...

Ni china walogomea Unilateral Sunctions za Mrusi uku wakisema "kua vikwazo sio suluhisho mgogoro" akati huo huo wakikutana na Chancellor wa Germany Rais wa France huyi Malcon kujadili namna gani watalisolve hyo Issue kidiplomasia....

Sasa nirejee tena kwako kwasababu nataka kuelewa zaidi. Udikteta wa kiuchumi ukoje labda au me ndo siujui.
 
Ndio maana anatapatapa mara ooh sisi hatufungi wala kuzuia biashara ya mtu mara sijui tunapunguza procedure za kuanzisha biashara mpya na vilio vingine vya kujifariji.

Excuses kama hizo zitakuwa na maana kama watashinda vita na kuimaliza immediately ila kwa sasa lazima ile kwao ,kwa pesa gani alizonazo Putin kuendesha vita kama anavyofanyaga US?



 
Ni mtizamo wake ila members wengine wamepitisha ombi lake

View attachment 2146581
Af kingine nikusihi uzungumze bila kutukana. No matter who he was... Ni marehem kwa sasa kumuita alikuwa "Fala" kwenye vitu ambavyo mawazo yako na yake hayakufanana si jambo la maana....

Just talk like Adult, matured and well desciplined.
 
Kamzidi yesu idadi ya kufufuka... Au katoka mawinguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana... Ila hii dunia bn... Bado najiuliza how sie binadam tuso na vyeo wala power tunatumika sana kwa interest za watu bila kuhoji wala kufikiria mara mbili mbili...
Jana nilikuwa nawaangalia wanasiasa wa US. wanapendekeza iwekwe no fly zone dhidi ya Russia kwa Ukraine. Mwandishi wa habari anamuuliza no fly zone ina maana gani? Hajui! Anaulizwa ina maana unataka kulipua ndege za Russia? Anajibu Yes!
 
Russia unaemsemea kwamba anafanya biashara na Western ni baada yakuvunjika kwa USSR ndipo sera za kufungua uchumi zilianza miaka ya 90.

Sera za udikteta kwenye uchumi ni kama hizo ulizosikia wanasema eti wata nationalise,mambo kama hayo huwa wawekezaji hawataki lakini jambo kingine na security in large.

Kwa.huu mgogoro ni wazi Russia sio sehemu salama ya kuwekeza kama China nk kwa sababu sera zake za usalama zinalenga kutumia nguvu zaidi mwisho wa siku ni uharibifu na vikwazo.

Kwa mazingira kama haha Russia itasalia Nchi ya hovyo tuu,Nchi kama South Afrika, Nigeria na Egypt zitaifika na kuipita.

Swala la China kuwa neutral ni suala la kupiga hesabu za Uchumi zaidi,China alikuwa na uhusiano mzuri na Nchi zote mbili na juzi tuu hapo katoa msaada wa kibinadamu na infact China inapenda suluhisho la majadiliano zaidi kuliko vita.
 
Kila ukweli unasemwa na wanasiasa ni kivuli cha ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…