LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji... Sizan ka wataanza kuingia uko kwa speed.

Kama ndo mitifuano ya kike ya aina hii...

Kwa mbaaali naiona Rise of Singapore kua best Hub for Invenstors kwa kila kitu...

Kwa sasa ndo home kwa "Start-Ups" na Wajasiriamali ya 21st Century...

Kwanza wapo kimya japo si kiivyo af wana sera nzuri pia ya Kodi ya "Territorial tax System" na mengineyo....
 
Udikteta wa kiuchumi....
 
🖒🖒🖒

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba mjomba ndio US?
 
Huo sio Udikteta wa kiuchumi T4....
Hizo ni figisu za kisiasa za kawaida.
Mfano Ilivyotokea saiv kwa Ibramovich wa chelsea tutauita udikteta wa kiuchumi?
Kwamba Uingereza hapana uhakika na Uwekezaji wako?
Huyo jamaa ana mahaba na nchi za magharibi hatokuelewa
 
Kwamba mjomba ndio US?
Kuna msemo mmoja wanasema kuzungumza sio tatizo bali tafsiri y kile kilichozungumzwa ndo kinaeza kua tatizo kwa aliyepewa taarifa.

Apo sijataj US wala mdudu wa taifa lolote...

Mezungumza Mjomba na Baba katika mifano ya Uongozi.

So take hivi... Baba na Mjomba wawe ni viongozi wenye kufatana... Aanze wa kwanza afanye kile kisha afatie mwingine afanye hiki.
 
Huu ni uongo mkuu
 

Putin says Russia must welcome volunteer fighters​

Russian President Vladimir Putin has said Russia must allow volunteers who are willing to fight in Ukraine to take part in Moscow’s offensive.

😂😂

Baada ya kuona Askari wake Wanaiba Kuku.

Russia hawana experience ya Vita kama ya Ukraine
 
Mkuu vitu vingine muwe mnakaa kimya, mtajidhalilisha bure. Nigeria itaipiku Russia uchumi?
Alafu muwe mnafanya research kidogo, je ukiachana na US aliyeban oil ya urusi kuna nchi nyingine ime ban? Uingereza wenyewe wamesema mpaka mwishoni mwa 22, napo hatuna uhakika.
Sasa niambie Germany na wenzie watapata wapi mbadala wa nishati ya urusi? USA bado anaendeleza ukoloni pale Ulaya, lakin wameanza kushtuka ndio maana wanakaza.

Poland kagoma kupeleka ndege vita kawaambia wapeleke wenyewe US, hakuna nchi ulaya ime ban uingizaji wa mafuta na gesi, achalia mbali Asia na Africa

Tukusaidie tu, uchumi hatuupimi kwa GDP peke yake pia tunaangalia factors zingine kama HDI (human development index) ambayo inaangalia vitu kama life expectancy, education systems, healthcare systems nk. Ndio maana US wana uchumi mkubwa lakini nchi kama Norway watu wanaishi kama peponi.
Vita ya uchumi haina mshindi, leo hii mafuta yanauzwa kwa bei juu zaid pale US anayeumia ni putin?

Balance of power is inevitable in our world, hakuna taifa askari la kuwasimamia wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mahabba yakizidi yanafinya uwezo wa kufikiri... Ila hil hatutaki kukiri.
 
Wote waapuuzi tu, fateni Qur'an, ina mfumo wote wa Maisha. Hakuna situation ambayo haina sharia yake.

Baba akiwa hai, mali yake haikuhusu wewe mtoto, si yako. Ana haki ya kumpa yeyote amtazamie awe mwanawe asiwe mwanawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…