kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Biashara inaendelea hapo Ukraine anaingia mikataba ya kiasaidiwa maana silaha anazopewa sio za bure. Hata WW1 na WW11 marekani aliuza sana silaha kwa nchi za ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara inaendelea hapo Ukraine anaingia mikataba ya kiasaidiwa maana silaha anazopewa sio za bure. Hata WW1 na WW11 marekani aliuza sana silaha kwa nchi za ulaya
Hapana, haya ni mawazo huru, mawazo yangu. Hata wewe unaruhusiwa kutoa mawazo yako.
Yah anaileta taarifa unaiona haina lepe l mahaba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika,na Mimi huyo ndio namfuatilia,hayuko biased na Hana mahaba
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji... Sizan ka wataanza kuingia uko kwa speed.Huu ndio uhalisia wa ligi ya UK mnayoishangilia bila kujua ushenzi wake, na mgogoro huu haunihusu, ukweli ni kwamba serikali walikuwa wanampa Abromovich nafasi ya kuondoka kiistaraabu, ila hiyo mishabiki imemvurugia...sasa ni kutembeza bakuli kama miaka ya nyuma...
Labda atokee mwarabu awavalishe gauni...
Udikteta wa kiuchumi....Umeniwah nilichotaka kumuuliza... Ani apa kwasababu sie ni Watanzania yatupasa tubaki na Utanzania kisha tuwajadili wao kama walivo as if tumeletewa kesi mahakamani...
Ani ni kupiga maswali kote kote ili tuupate ukweli. Judge akishrikiana na mtuhumiwa au mtoa tuhuma kesi haita'balance na huenda maamuzi ya mwisho yakawa sio sahihi kwa kias kikubwa.
Ko tuwe huru kuzinyumbua pande zote hakuna malaika apo...
🖒🖒🖒Kwanza ni nani aliyekudanganya Uafrika ni weusi? Kuna Waafrika ambao si weusi na kuna Waafrika ambao maji ya kunde.
Kumbuka kiuwa Afrika ni kontinenti kubwa duniani linaloishi watu kwa asilimia kubwa kila sehemu, limebeba kila rangi ya watu.
Mama'ke Yesu, Bi Mariam ni mtu mweusi, Yesu unadhani ni wa rangi ipi?
Kama huna jibu, lipate hapa kwa ushahidi kamili wa Qur'an. Kma Kingereza kinakupiga chenga usijisumbuwe...
Hakuna nchi safi ila Russia kuna kesi nyingi za hivyo kuliko UingerezaHuo sio Udikteta wa kiuchumi T4....
Hizo ni figisu za kisiasa za kawaida.
Mfano Ilivyotokea saiv kwa Ibramovich wa chelsea tutauita udikteta wa kiuchumi?
Kwamba Uingereza hapana uhakika na Uwekezaji wako?
Kwamba mjomba ndio US?Nikuulize swali la kizushi... Ila ulifikirie kwa utashi wako sio kwa mawazo ya mtu au mtizamk wa mtu.
Pale nyumbani mpo familia ya watu 15... Katika familia Baba akamkabidhi mwanae mmoja kati yenu hao 15 "mali zote za familia" aziendeshe.
So nyie watoto wake wengine mkawa "waajiriwa" na hamna maamuzi yoyote kwenye hizo "mali za familia"...
Mjomba akaona hyo hali sio sawa. Akarudisha usimamizi na uendeshaji wa mali za familia kwa familia nzima. Ili kila mtu anufaike na mali za familia na so mtoto mmoja tu katika wote...
Je kwa utashi wako Baba na Mjomba nani ni Dictator kwa mfano huu wa kwanza...?
Mfano mwingine ni kama huu...
Mpo nyumbani familia ya watu 15... Katika nyie watoto 15 akajitokeza mmoja akaenda mashariki ya mbali kutafuta... Akati huo anaondoka nyie mlibaki nyumbani mnachekelea tu.
Karudi na mali zakutosha alizozitafuta kwa jasho lako peke yake. Alivofika nyumbani Baba akamwambia mali zako ulizozitafuta kwa jasho lako zitumie mwenyewe ila ukipenda kuwapa nduguzo no hiari yako.
Baada ya Mda akaja Mjomba akazichukua mali zote za kaka yule na kuwagawia ndugu zake bila uhiari wake kisa tu ni Mjomba ni mkubwa aheshimiwe...
Hapa nakuuliza kwa mfano wa huu wa pili kati ya Baba na Mjomba nani Dictator?
T14 Armata na we njoo apa tusaidizane... Tuweke mahaba kando tuuzungumze ukweli.
Mfano ule ulioleta T14 Armata upo apo kwe mfano wa kwanza... Na kwa mie binafs naamini huo mfano wa kwanza sio udictator... Ni katika kugawana na kufurahiia kwa pa1 rasilimali za taifa...
Sasa em nioneshe mfano wa hali iliyotokea ka kwenye mfano wa pili ambao binafs ndo naamini huo udictator... Yani jasho langu na hustle zangu kuninyanganya kuwapelekea wengine bila ridhaa yangu.
Uniletee mfano wa design huo niamini umefanyika udictator eneo husika...
Huyo jamaa ana mahaba na nchi za magharibi hatokuelewaHuo sio Udikteta wa kiuchumi T4....
Hizo ni figisu za kisiasa za kawaida.
Mfano Ilivyotokea saiv kwa Ibramovich wa chelsea tutauita udikteta wa kiuchumi?
Kwamba Uingereza hapana uhakika na Uwekezaji wako?
Kuna msemo mmoja wanasema kuzungumza sio tatizo bali tafsiri y kile kilichozungumzwa ndo kinaeza kua tatizo kwa aliyepewa taarifa.Kwamba mjomba ndio US?
Huu ni uongo mkuuToday's Urkrainian defense reports
Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source os clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources.
These are the indicative estimates of Russia's losses as of March 10, according to the Armed Forces of Ukraine.
Any questions? Ask the source
The Kyiv IndependentView attachment 2146436
Nyundo, tag me up as well, am very interested with your updates.Got it
Yes, Inasemekana not confirmed. Kwa sasa tuiweke kama Propaganda
Mkuu vitu vingine muwe mnakaa kimya, mtajidhalilisha bure. Nigeria itaipiku Russia uchumi?Russia unaemsemea kwamba anafanya biashara na Western ni baada yakuvunjika kwa USSR ndipo sera za kufungua uchumi zilianza miaka ya 90.
Sera za udikteta kwenye uchumi ni kama hizo ulizosikia wanasema eti wata nationalise,mambo kama hayo huwa wawekezaji hawataki lakini jambo kingine na security in large.
Kwa.huu mgogoro ni wazi Russia sio sehemu salama ya kuwekeza kama China nk kwa sababu sera zake za usalama zinalenga kutumia nguvu zaidi mwisho wa siku ni uharibifu na vikwazo.
Kwa mazingira kama haha Russia itasalia Nchi ya hovyo tuu,Nchi kama South Afrika, Nigeria na Egypt zitaifika na kuipita.
Swala la China kuwa neutral ni suala la kupiga hesabu za Uchumi zaidi,China alikuwa na uhusiano mzuri na Nchi zote mbili na juzi tuu hapo katoa msaada wa kibinadamu na infact China inapenda suluhisho la majadiliano zaidi kuliko vita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mahabba yakizidi yanafinya uwezo wa kufikiri... Ila hil hatutaki kukiri.Mkuu vitu vingine muwe mnakaa kimya, mtajidhalilisha bure. Nigeria itaipiku Russia uchumi?
Alafu muwe mnafanya research kidogo, je ukiachana na US aliyeban oil ya urusi kuna nchi nyingine ime ban? Uingereza wenyewe wamesema mpaka mwishoni mwa 22, napo hatuna uhakika.
Sasa niambie Germany na wenzie watapata wapi mbadala wa nishati ya urusi? USA bado anaendeleza ukoloni pale Ulaya, lakin wameanza kushtuka ndio maana wanakaza.
Poland kagoma kupeleka ndege vita kawaambia wapeleke wenyewe US, hakuna nchi ulaya ime ban uingizaji wa mafuta na gesi, achalia mbali Asia na Africa
Tukusaidie tu, uchumi hatuupimi kwa GDP peke yake pia tunaangalia factors zingine kama HDI (human development index) ambayo inaangalia vitu kama life expectancy, education systems, healthcare systems nk. Ndio maana US wana uchumi mkubwa lakini nchi kama Norway watu wanaishi kama peponi.
Vita ya uchumi haina mshindi, leo hii mafuta yanauzwa kwa bei juu zaid pale US anayeumia ni putin?
Balance of power is inevitable in our world, hakuna taifa askari la kuwasimamia wengine.
Wote waapuuzi tu, fateni Qur'an, ina mfumo wote wa Maisha. Hakuna situation ambayo haina sharia yake.Nikuulize swali la kizushi... Ila ulifikirie kwa utashi wako sio kwa mawazo ya mtu au mtizamk wa mtu.