professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Alafu kuna lijitu linakwambia wa Ukraine huko hawafi wakati kila siku wamekua watu wa kukimbia na kuonesha sura za huzuniUkraine soldier leaving #Bakhmut Sends a msg to his mother. He says mum, I am alive, alive!!! As he is running not able to believe it himself. Fighting till the last #Ukranian costs real lives!
Bungeni huko wanamshauri Putin aachane na SMO na badala yake atangaze vita kamili!Hawa warusi wasipotafuta amani au kumuondoa Putin mapema,vifo vya wanajeshi wao vinaweza fikia milioni na ushee.....Amakweli warusi hawana tofauti na wanachama wa CCM,anachosema mwenyekiti ndio hichohichoπ€£
Mpole au anajua tafsfiri halisi ya vita? Hapa tu kwa anachokifanya dunia ipo katika hatari ya vita vya dunia. Kinachoendelea sasa sisi kwetu inaweza kuwa ushabiki ila hatari kwa nchi zetu hizi za kumtaka musk afungue kwanza ofisi ndo afunge mitambo ni kubwa sana. Hapa tuombe China asiingie front direct akamwaga petrol kwenye hii sigara iliyotupwa ndani ya nyumba ya nyasi. Busara za viongozi wa nchi kubwa zinaamua fate ya binadamu wengi duniani, lets hope hakuna red line itakayovukwa sababu Tanganyika hatuna hata reserve ya mafuta na petroli. Sijui vyakula vitasafirishwa vipi kutoka huko mashambani kuja mijini.Bungeni huko wanamshauri Putin aachane na SMO na badala yake atangaze vita kamili!
Putin mtu mpole sana!
Itajulikana kuliko kumnyenyekea kibabu Biden.Mpole au anajua tafsfiri halisi ya vita? Hapa tu kwa anachokifanya dunia ipo katika hatari ya vita vya dunia. Kinachoendelea sasa sisi kwetu inaweza kuwa ushabiki ila hatari kwa nchi zetu hizi za kumtaka musk afungue kwanza ofisi ndo afunge mitambo ni kubwa sana. Hapa tuombe China asiingie front direct akamwaga petrol kwenye hii sigara iliyotupwa ndani ya nyumba ya nyasi. Busara za viongozi wa nchi kubwa zinaamua fate ya binadamu wengi duniani, lets hope hakuna red line itakayovukwa sababu Tanganyika hatuna hata reserve ya mafuta na petroli. Sijui vyakula vitasafirishwa vipi kutoka huko mashambani kuja mijini.
Asilimia kubwa wanaolisapoti ni mashogaAjabu wapo Vilaza Humu wanalisapoti Hilo taifa Kiukweli Inasikitisha Sana
Namshauri raisTshekedi afanye mazungumzo na CEO wa kikundi cha Wagner Group - hao ndio wenye uwezo wa uhakika wa kumaliza migogoro hisiyo isha ya Kivu kaskazini na Kusini - Tshekedi akipuuzia ushauri huu akae akijua kwamba taifa lake linagawanywa kama ilivyotokea huko Sudan ya Kaskazini na Kusini - the so called waasi wa M23 wanakuwa funded na kupewa jeuri na Western Nation wenye vested interest kwenye mali asili ya Congo wakishirikiana na jirani yao anaye wapa silaha na mafunzo ya kijeshi M23 - kwa mfano: jana nilimsikia mmoja wa viongozi wa waasi akizungumza kinyarwanda kabisa!!Ushawishi wa warusi Afrika unazidi kuwa mkubwa. Leo maandamano kule Gabon na Kongo waandamanaji wako na bendera ya kirusi. Hawaitaki Ufaransa kule.
Hawa watu sijui wanawezaje kuishika mioyo ya waafrika kirahisi hivi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Himars ww n mmoja wetu..sema ndo hvyoo tuu..unamuogopa kipanyaaa ikiwa utajionyesha waz upande wako...Zaidi ya wanajeshi 10000 kutoka Marekani wauawa Bakhmut.
Mm niwe mmoja wa madikteta?Himars ww n mmoja wetu..sema ndo hvyoo tuu..unamuogopa kipanyaaa ikiwa utajionyesha waz upande wako...
Itabidi wa mijini ndio wahamie huko vinapopatikana vyakula.Mpole au anajua tafsfiri halisi ya vita? Hapa tu kwa anachokifanya dunia ipo katika hatari ya vita vya dunia. Kinachoendelea sasa sisi kwetu inaweza kuwa ushabiki ila hatari kwa nchi zetu hizi za kumtaka musk afungue kwanza ofisi ndo afunge mitambo ni kubwa sana. Hapa tuombe China asiingie front direct akamwaga petrol kwenye hii sigara iliyotupwa ndani ya nyumba ya nyasi. Busara za viongozi wa nchi kubwa zinaamua fate ya binadamu wengi duniani, lets hope hakuna red line itakayovukwa sababu Tanganyika hatuna hata reserve ya mafuta na petroli. Sijui vyakula vitasafirishwa vipi kutoka huko mashambani kuja mijini.
Nataka kujazia hapa, ni kuwa mrusi anaiangalia kesho yake Kwa jicho Kali kuliko Leo yetu,Mpole au anajua tafsfiri halisi ya vita? Hapa tu kwa anachokifanya dunia ipo katika hatari ya vita vya dunia. Kinachoendelea sasa sisi kwetu inaweza kuwa ushabiki ila hatari kwa nchi zetu hizi za kumtaka musk afungue kwanza ofisi ndo afunge mitambo ni kubwa sana. Hapa tuombe China asiingie front direct akamwaga petrol kwenye hii sigara iliyotupwa ndani ya nyumba ya nyasi. Busara za viongozi wa nchi kubwa zinaamua fate ya binadamu wengi duniani, lets hope hakuna red line itakayovukwa sababu Tanganyika hatuna hata reserve ya mafuta na petroli. Sijui vyakula vitasafirishwa vipi kutoka huko mashambani kuja mijini.
Umeandika utumbo mrefu kinoma[emoji1787][emoji1787]Nataka kujazia hapa, ni kuwa mrusi anaiangalia kesho yake Kwa jicho Kali kuliko Leo yetu,
Hivi umejiuliza baada ya vita na urusi akashinda nini kitafata???, Nani atakuwa kinara wa dunia??
Ukitazama Kwa haraka haraka unaweza sema mchina na uchumi wake Ila ninachokiona japo urusi Hana uchumi mkubwa lakini anaushawishi mkubwa kuliko uchina,
Taabu ya mchina ni mjanja mjanja Fulani hivi yaani ukijichanganya anakuibia tofauti na urusi,
Mrusi kwenye vita hii anajitengenezea CV kuanzia nguvu ya kijeshi, kuaminika Kwa watu na ushawishi wake
Putin anapigana Vita Ukraine na inaghalimu maisha ya Askari wake Sana Kwa kuwa yeye anapigana na adui huku akikwepa Kwa gharama yeyote kuua raia wasio na hatua,
Hivi umejiuliza kama mrusi angesema asiuze gas kabisa hapo ulaya watu wangapi wangekufa na baridi????, Na watu hao hawana hatia maana maandamano yanathibitisha kuwa maamuzi ya nchi za ulaya ni ya wanasiasa na Siyo raia, na kama angefunga gas wangekufa raia na Siyo walengwa ambao ni wanasiasa,
Hivi unafikiria kwanini urusi alikubali Nagano iliyopo Ukraine ikauzwe ulaya maana urusi alijua watakaoumia ni raia,
Na mpaka sasa kama urusi atashinda Vita atakubalika hadi kwenye nchi za ulaya na kumfanya awe kiongozi Bora wa dunia na akiongea kitu dunia itasikiliza
Lakini pata picha dunia iongozwe na uchina au Korea kaskazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipati picha kitakachotokea maana mchina ni mwizi balaa,
Kwa hiyo lengo kuu la urusi kuendesha operation hii kibinadamu zaidi ni kujiandaa dunia kumpokea na kumkubali mrusi kama kiongozi wa dunia
Ni nchi ipi ya Africa inayojitegemea kwa mafuta boss ambayo itatuuzia mpaka sisi na kwann hili halifanyiki sasa wakati wa amani linasubiri pakitokea vita?Itabidi wa mijini ndio wahamie huko vinapopatikana vyakula.
Nchi kibao za kiafrika zina mafuta ikitokea huko yanakotoka hayaji tena basi tutatafyta tu namna ya kutumia ya kwetu.
Wao wakitaka wapigane tu sisi hatutishiki na vuta hizo. We was the first one and we will be the last
Mchina hapana, nakubaliana na ww.Nataka kujazia hapa, ni kuwa mrusi anaiangalia kesho yake Kwa jicho Kali kuliko Leo yetu,
Hivi umejiuliza baada ya vita na urusi akashinda nini kitafata???, Nani atakuwa kinara wa dunia??
Ukitazama Kwa haraka haraka unaweza sema mchina na uchumi wake Ila ninachokiona japo urusi Hana uchumi mkubwa lakini anaushawishi mkubwa kuliko uchina,
Taabu ya mchina ni mjanja mjanja Fulani hivi yaani ukijichanganya anakuibia tofauti na urusi,
Mrusi kwenye vita hii anajitengenezea CV kuanzia nguvu ya kijeshi, kuaminika Kwa watu na ushawishi wake
Putin anapigana Vita Ukraine na inaghalimu maisha ya Askari wake Sana Kwa kuwa yeye anapigana na adui huku akikwepa Kwa gharama yeyote kuua raia wasio na hatua,
Hivi umejiuliza kama mrusi angesema asiuze gas kabisa hapo ulaya watu wangapi wangekufa na baridi????, Na watu hao hawana hatia maana maandamano yanathibitisha kuwa maamuzi ya nchi za ulaya ni ya wanasiasa na Siyo raia, na kama angefunga gas wangekufa raia na Siyo walengwa ambao ni wanasiasa,
Hivi unafikiria kwanini urusi alikubali Nagano iliyopo Ukraine ikauzwe ulaya maana urusi alijua watakaoumia ni raia,
Na mpaka sasa kama urusi atashinda Vita atakubalika hadi kwenye nchi za ulaya na kumfanya awe kiongozi Bora wa dunia na akiongea kitu dunia itasikiliza
Lakini pata picha dunia iongozwe na uchina au Korea kaskazini πππππ sipati picha kitakachotokea maana mchina ni mwizi balaa,
Kwa hiyo lengo kuu la urusi kuendesha operation hii kibinadamu zaidi ni kujiandaa dunia kumpokea na kumkubali mrusi kama kiongozi wa dunia
Asante kuthibitisha nilichoandika! Unaonyesha makumi kadhaa watu waliojitolea.Na hao Ni JKT?View attachment 2535533
Sio utumbo boss. Ni hoja nzuri tu.Umeandika utumbo mrefu kinoma[emoji1787][emoji1787]
[emoji849]kwani himars naye ni shoga ...maana kipanya tunamjuaback ground yake ni mtoto mchicha mchichaHimars ww n mmoja wetu..sema ndo hvyoo tuu..unamuogopa kipanyaaa ikiwa utajionyesha waz upande wako...
Una coment na kujijibuHawa warusi wasipotafuta amani au kumuondoa Putin mapema,vifo vya wanajeshi wao vinaweza fikia milioni na ushee.....Amakweli warusi hawana tofauti na wanachama wa CCM,anachosema mwenyekiti ndio hichohicho[emoji1787]