Ni kweli mkuu, ndio maana na-insist kwamba Mzalendo Tshekedi ought to do something to nip in the bud these proxy war fighters who are pretending to be freedom fighters, the soonest it is done the better.
Tshekedi hasipo kuwa mkali na kurudisha nidhamu kwenye jeshi lake la kitaifa, akiendelea kuwaacha wanajeshi wake waendekeze masuala ya starehe mfano: kupendelea masuala ya ndombolo ya solo, wanawake na upigaji sijui pamba nk huku wakitegemea mataifa mengine ndio yaje kuwaokoa mambo yanapo kwenda ndio sivyo - akipuuzi ushauri wa watu wengi wanao itakia mema Congo DRC basi akae akijua Taifa hilo litagawanywa kama Sudan na Yugoslavia ni sauala la muda tu na ku-manufacture hoja ambazo zitakuwa supported na western Nations ku annex Kivu ya kasikazini na kusini - ndio maana watu wanamshauri Tshekedi kwamba waleteni Wanajeshi wa Wagner Group kutoka Russia wawape mafunzo makali na kuwatia adabu wanajeshi wa Congo DRC waachane na mambo ya kizembe zembe ya kukimbia kimbia ovyo kila wakisikia risasi au mzinga wa M23.
Angalia kikundi kidogo cha Wagner Group kinavyo wapa kichapo kitakatifu wanajeshi wote wa Ukraine, some NATO troops including the USA - wanao pigana huko Bakhamut - that is why 'am still insisting kwamba Congo DRC military gotta lot to learn from them gallant Wagner Group.