Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Mkuu umeongea point. Hii SMO inawavua nguo sana West kama wamechanganyikiwa, kwa sasa hawana plan kabisa. Wamepeleka silaha kama zote ila uwanja bado umeinama wamepoteza zaisi $ 150billion ila wapi. Vikao kila siku ila ngoma bado weka vikwazo vya kila aina ila Russia bado anadunda.
 
Mkuu unasema kweli haisaidii kuweka tu jumla zote mbili kandokando.
Kama kwenye picha hiyo:

Jinsi alivyosema mtazamaji mmoja: "Why Russia Gets More Bang for the Ruble"
(jisomee Why Russian Military Expenditure Is Much Higher Than Commonly Understood (As Is China’s) - War on the Rocks)
Ila ukifungua budgets hizo, unaweza kuanza kuliganisha kidogo. Matumizi ya US kwa "procurement" (ununuzi) peke yake ilikuwa bil. 140 (2010) hadi 97 (2013). Tena kiasi kinacholingana (takriban) kwa "Research, Development, Test, and Evaluation (RDT&E)". Hata ukiona Urusi inazalisha vitu nafuu zaidi, sioni kwamba inakaribia viwango hivyo. Tofauti ni ukubwa wa uchumi na hivyo uwezo wa kuwekeza (na kupoteza).

Sababu ya kutoona silaha bora za Kirusi kwenye uwanja itakuwa katika tofauti hiyo. Mfano kutoonekana kwa Armata 14, au ule mfumo wa kulinda vifaru unaoitwa Arena. Watazamaji wengi wa kimataifa waliona ni bora - lakini karibu hauonekani uwanjani.
Ila ukipendelea kuamini kwamba Urusi kwa sababu zake bado hakuchukua silaha zake bora (ilhali inatazama tu vifo vya askari na uharibifu wa vifaa) - basi si mantiki ninayoelewa.
 
Hawa wanaomuona Putin hivi ni wamarekani wenyewe.
Lkn utakuta kijitu Cha Tanzania kinamuita Putin kichaa,Hana akili,mjinga,kibabu,kizee na Kila aina ya dharau.
Sasa Leo wamarekani wanamuona Putin ni shujaa na kiongozi mwenye uchungu na nchi yake mzalendo na Mlinda watu wake.
Kuna vijitu humu vya ajabu sana,viswahili vyenzetu.
 
Wewe jamaa una akili kuliko umri wako.
Uchambuzi sio tubwa kisomi huu,Bali wenye upeo mkubwa sana.
Kwa kifupi USA na NATO wametumia Kila. Njia walivyokua wanaijua ya kumdhoofisha Urusi lkn Urusi bado Iko fiti kabisa.
Unajua tabia ya kuongeza kitu maana yake like Cha mwanzo hakikutosha.
Namaanisha hivi,kitendo Cha kuongeza package ya silaha na vikwazo maana yake Ile ya mwanzo haikutosha .
Kwa hiyo west Sasa walichobakiza ni kumpa Ukraine nyukilia TU........................????????,

Pia kama Urusi angekua dhaifu kama vijamaa Fulani vinavyoaminishana humu Leo Urusi ingetawanywa kama Yugoslavia..
 
Lini Afrika itaachana na viongozi mafisadi?
 
Madhara ya kudanganya watu kwa mda mrefu, unaanza kujidanganya mpaka mwenyewe.
Ndio kilicho wakuta US na washirika wake.
Russia sio dhaifu, ilikuwa inajitafuta badaa ya kuanguka kwa USSR Na hiyo phase ishapita
 
Askari wa Ukraine Wanaojaribu ku
Your browser is not able to display this video.

kimbia Bukhmut kupitia njia za vichochoroni wanapigika kuliko
🇺🇦 This is how retreating from Artyomovsk looks like now.

Small convoys get hunted with drones and hit with artillery.

Expect more footage like this in the coming days.
baada ya kipigo haya ndo matokeo yake
 
Mwaka huu wazungu kazi wanayo, viongozi wao wanapashwa hadharani bila woga
Your browser is not able to display this video.

◾Congo President shuts down Macron at a press conference, Macron tries to deflect but makes it even worst.

◾When someone tells you to stop patronising, don't fucking try to patronise the person right away! What a moron!

◾Follow:
t.me/UkraineHumanRightsAbuses
 
They're trying to leave at night in small convoys of 6-7 vehicles but there is just no safe way out anymore. Now they need to hurry because around Wednesday the temperatures in Bakhmut will rise above freezing even at night and the dirt roads will dissolve into rivers of mud.


Ni rahisi ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mjeda wa Zele kutoroka Bakhmut.
 
[emoji23] mmeona hili Punga Kiswahili chake?

Alieligundua hili [emoji119][emoji119]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanafumuliwa vibaya mno.
 
Huu unyama mngekuwa mnauona.bila upendeleo-dunia ingekuwa nahali salama....West wanafanya ujinga mwingi na unyama juu watu wote kimya, mbaya zaidi wanajaribu kutumia nchi nyingine kwa maslahi yao...Russia kawanyoosha..na hakuna watakachomfanya na dunia imechoka ubabe wa west.
Trust me...west hawawezi na hawatathubutu kuingia kwenye direct war with Russia, Ukraine itashindwa, Russia itaendelea kuwepo pale na itawasumbua mpaka mwisho w dahari

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kuswahili chake kina nini?

Makosa ya uandishi hayawezi kujitokeza?

Upunga wake ni upi?

Wewe upo kikamilifu katika lugha ya kiswahili?
Ni kiswahili cha Google.
Kaja kupigania Legacy ya mashoga.

Hiyo ndio tafsiri kamili.
Ni mfuasi, kaja kwa kazi maalum, anajifanya kushauri kwamba Africa tukiachana na viongozi mafisadi tutafika mbali.

Wakati huohuo, wao (West) ndio wafadhili wakubwa wa machafuko kwa nchi zinazoongozwa na viongozi waadilifu na wasiopenda ufisadi.

Anajikosha tu ili aonekane sio mlowezi.
Ni Punga kama mapunga mengine ya West.
MiNato kweli nyie.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…