Bila shaka [emoji23][emoji2][emoji16]Hii Bakhmut haijatekwa tu japo tuliambiwa imezingirwa ? Au sababu washambuliaji wanatumia Koleo kwa sasa ?
Mbona yule gavana wa Jimbo la luhansik (governor in exile) Sergei haidai Huwa anatoa maoni huku akibalance pande zote?Mkuu labda nikuhoji swali lenye mantiki kabambe, hivi kwa mawazo yako mtu akiitwa an exiled person kwako inamaanisha nini???
Ni wazi mtu wa type kama hiyo masaa yote atakuwa ni mzushi tu, ataongeza chumvi kwa matukio ya kawaida akiwa na lengo kwamba Ukraine Military wana akili sana ndio maana wako karibu kushinda vita, kumbe ulaghai mtupu - in other words you can't expect an exiled person kusema ukweli, atasema uongo ili kufurahisha baraza vile vile kuwachota akili wakubwa zake kazini ili wamuone mtu wa maana.
Kuna moto unafukuta huko [emoji28]========================
- A Wagner representative has been barred from the Russian army headquarters, the group’s boss says, in another sign of tension between the Kremlin and militia.
- Earlier, Yevgeny Prigozhin said Russia’s front lines near Bakhmut could collapse if Wagner fighters do not receive ammunition promised by Moscow in February.
- The fall of the eastern Ukrainian city that has been the focus of the war for months would hold symbolic – rather than operational – importance for Russia, according to US defence secretary, Lloyd Austin.
Vyuma vinaumana chini chini.
Habari moja unaipost mara mbili yaani ni jinsi gani unatamani yatokee========================
- A Wagner representative has been barred from the Russian army headquarters, the group’s boss says, in another sign of tension between the Kremlin and militia.
- Earlier, Yevgeny Prigozhin said Russia’s front lines near Bakhmut could collapse if Wagner fighters do not receive ammunition promised by Moscow in February.
- The fall of the eastern Ukrainian city that has been the focus of the war for months would hold symbolic – rather than operational – importance for Russia, according to US defence secretary, Lloyd Austin.
Vyuma vinaumana chini chini.
Cauldron in Bakhumt tayari. Jamaa washawekwa kwenye chungu sasa ni kupikwa tuu. Wataruka ruka mpaka waive lakini hawawezi kutoka tena"Deja vu: Ukrainian forces trapped in Artyomovsk evoke memory of Debaltsevo — DPR adviser - Russian Politics & Diplomacy - TASS" Deja vu: Ukrainian forces trapped in Artyomovsk evoke memory of Debaltsevo — DPR adviser
Kwa hiyo unakanusha hamna mgogoro kati ya viongozi wa Wagner na jeshi la Urusi ?Habari moja unaipost mara mbili yaani ni jinsi gani unatamani yatokee
Hapo Bakhmut Wagner hawapo peke yao kaa ukijua hilo vipo na vikosi vya jeshi la urusi pia kaa ukijua aerial fight yote hapo bakhmut inafanywa na jeshi la anga la urusi. Bila kazi inayofanywa na jeshi la urusi wagner wasingepata hata kusogea hatua moja.
Inahitaji maelewabo ya hali ya juu sana kupigana kwa mafanikio kama ya kuidondosha bakhmut. Simple internal misunderstanding ingewaangusha vby warusi. Endeleeni kuhubiri ugomvi wakati wao wakimalizia kusweep bakhmut
Jamaa propaganda zake huwa zinachosha kusoma. Unakuta page moja yeye kapost zaidi ya mara kumi.Nimeshamfyeka ki rat sasa sioni habari zake za kuokoteza hadi raha
[emoji23][emoji23][emoji23] WagnerView attachment 2539692
Leteni HIMARS zenu tuwachape...
[emoji23][emoji23][emoji23] Wagner
Uraaaaaaaaaaaaaaa
Manyato yanapigwa na machepe tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hehehee hakikaaaa......Safi sana tunataka wenye uzoefu ili tuoneshane ukenge vizuri
Naongezea nyamahii dhana ya kulinganisha badget...haina mantiki kabisa...,kwa uwezo wangu mdogo wa kuona..nadhani ukubwa wa budget ya US unatokana na mambo mengi...moja wapo ni kuhudumia Military Bases zaidi ya 700(kama sijakosea) zilizotapaa duniani kote..., hii point moja tu inabeba dhana nzima ya ukubwa wa hiyo budget,,, kingine ni ktk kutafuta ushawishi wa kijeshi duniani..Marekani anatumia fedha nyingi sana kutoa misaada ya kijeshi kwa Washirika ili aendelee kushikilia uongozi...,Marekani pia anatumia hela nyingi sana ktk kufadhili vikundi vya kigaidi....machafuko yote tunayoyaona Duniani kwa asilimia kubwa yana mkono wa Marekani..., to some up the story ni kuwa hiyo bajeti kubwa tunayoiona ya Marekani haiendi yote jeshini (kwa maana ya Military Personel Trainnings, New Tech Research, Production ya Equips, Intelligency, and so forth..)....huge part of it inaenda kwenye hizo angle nilizotaja hapo juu..
Narudia tena .
Convetionaly US hawezi jaribu kusimama na Russia...unapoongelea silaha...hv ni vita ipi Marekani amepigana unayoweza kuifananisha na hii ya Russia vs. Ukrein...?..may be Vietnam war..ambayo Vietnamese walisaidiwa na Soviet....na Marekani alibondwa mbaya yaani..hata hivyo Vietnam War is not comparable na hii SMO...kataa kubali West yote wapo hapo Ukrein ... wanatoa Silaha za kila aina..kubwa na ndogo..tunazotajiwa na nyingi ambazo hatutajiwi zote zinaenda hapo Ukrein kupambana na Russia...Mashirika yote makubwa ya Intelijensia duniani...tunayo yafahamu na mengine ya siri...yapo hapo Ukrein...lakini pamoja na yote Russia anawakimbiza.... na la kushangaza sana hapa 80% of the Russian Army ( kwa maana ya vifaa, silaha na Wanajeshi) hawashiriki hii vita... sasa hebu niambie ... Marekani ana nn cha ziada anachoweza kufanya kumpiga Mrusi..., nafahamu Marekani atakuwa na silaha ambazo mm na ww hatuzijui wala kuwahi kuzisikia...lakini sio Marekani tu hata Urusi anazo silaha nyingi ambazo hajazitumia kwenye hii SMO...
namalizia kwa kukusisitizia...hakuna kitu kinamuumiza US kama hii SMO... anadhalilika mnoooo!... Mataifa kibao yameshamuona ni wa kawaida na yy ana mbabe wake...angekuwa na a slightly chance ya kusimama na kumdefeat Russia ...asingepoteza muda...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hawa wanaotumia chepeWazee wa music wanaendelea kuteka nchi.
View attachment 2539480
[emoji635][emoji3538][emoji1255]"Wagner" storm troops reached the Т-34-85 tank monument in Bakhmut
Bakhmut kuzingirwa bado kidogo. Nasikia kuna majadiliano Ukraine waendelee au la. Kwa sasa wanataka kuendelea kwa sababu Urusi inapotea askari wengi , inasemekana uhusiano ni 1 Ukraine - 7 Warusi. Ila tunasikia pia askari wengi wa Ukraine waliomo wamechoka . . .Hii Bakhmut haijatekwa tu japo tuliambiwa imezingirwa ? Au sababu washambuliaji wanatumia Koleo kwa sasa ?
Sio jf tuKwann JF?
Wazee wa music wanaendelea kuteka nchi.
View attachment 2539480
🇷🇺⚔️🇺🇦"Wagner" storm troops reached the Т-34-85 tank monument in Bakhmut