Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Japanese school students are dancing near the Ukrainian Embassy in Tokyo to the Ukrainian song "Stephania" by Kalush Orchestra. In 2022, this song won a Eurovision contest.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuchezacheza karibu na ubaloz hakuna tija


Waende front wakaongeze nguvu
 
Nchi nyingi za ulaya zimeweka oda ya kununua silaha kwa wingi kutoka kwa Makampuni ya Marekani mfano himars, F-35 n.k ili kujilinda dhidi ya Urusi mfano Poland, Ujerumani, mataifa ya Baltic, Australia, Canada .......huoni faida hapo
Vita vya Ukraine vinakusukuma vipi kuweka order ya F35!? Kuna mahali F35 imetumika na kuwa effective Ukraine!?
 
Siamini legend kwa jumla, na hiyo hapa? ???
 
Mgogoro huu na hasa kichapo kwa Ukraine kunapelekea watu humu jukwaani kuwa vichaa. Stress zinawaumiza. Wanaonekana kuipenda Ukraine kuliko hata nchi zao.
Kuna mwenzetu humu kutwa anatafuta update kutoka sehem mbalimbali duniani kuhusu Ukraine. Ohh maskini nawapa pole yeye na wenzake waliochanganyikiwa Kama yeye.
Nb
Naomba kujua uwepo wa britanicca
Kijana wa kibongo aishiye Saint Petersburg.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Maneno ya kujifariji tu,Bakhmut is gone! And nothing will change the facts.
 
Yani unatoa ela mwenyewe unanunua kitu alafu unafurahi umepata faida[emoji23][emoji23][emoji23].

Ukraine kwa sasa aina uwezo wa kununua hata bunduki 20.silaha zote ela wanatoa wenyewe wamarekani.sasa hapo kuna faida gani?
Nchi nyingi zilituma silaha Ukraine. Grenedi, roketi, mizinga, vifaru. Vipya vinahitajika na kununuliwa penye viwanda vya silaha. Biashara nzuri sana kwa Marekani. Wakubwa wa biashara hiyo wanampenda Putin.
Pamoja na hayo genias Putin alifaulu kunyamazisha watu katika magharibi waliowahi kupinga hela kwa jeshi. Mfano Wajerumani walitumia pesa kidogo, wakati Obama halafu Trump walidai waongeze makisio ya kijeshi. Sasa wametoa mara moja bilioni 100 kwa silaha mpya. Bila Putin isingewezekana.
 
Japanese school students are dancing near the Ukrainian Embassy in Tokyo to the Ukrainian song "Stephania" by Kalush Orchestra. In 2022, this song won a Eurovision contest.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Upo frontline kwenye mitaro mmezungukwa hamna risasi alafu kamanda aliyepo kilometa 20 kutoka ulipo anakwambia worry out watoto wa kijapan wapo wanakata mauno mbele ya embassy yetu huko Tokyo [emoji34]
 
Si tumeambiwa Makombora yameisha yamebaki 36 TU?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Walikua wanajifariji tu, Putin akiwaeleza kwamba hii ni SMO sio vita kamili wanakaza vichwa wanasema ni vita kamili, sherehe ya vita kamili ni mfano wa makombora yaliyotumwa jana.

Baada ya kuona silaha za Russia haziishi Pro Ukraine wakaanza kuulizana kwamba Russia ana missiles ngapi zimebaki?

Reporter anasema West walisema Russia anaishiwa high precision missiles lakini zaidi ya miezi 10 mvua ya makombora still inashuka kwenye majiji ya Ukraine.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…