Halafu tukisema US ndio amechochea vita hii Kwa mgongo wa nyuma mnapinga!Nchi nyingi zilituma silaha Ukraine. Grenedi, roketi, mizinga, vifaru. Vipya vinahitajika na kununuliwa penye viwanda vya silaha. Biashara nzuri sana kwa Marekani. Wakubwa wa biashara hiyo wanampenda Putin.
Pamoja na hayo genias Putin alifaulu kunyamazisha watu katika magharibi waliowahi kupinga hela kwa jeshi. Mfano Wajerumani walitumia pesa kidogo, wakati Obama halafu Trump walidai waongeze makisio ya kijeshi. Sasa wametoa mara moja bilioni 100 kwa silaha mpya. Bila Putin isingewezekana.
Yani hawana hata makoleo wana mawe wa yukraini wawahi haraka kuwasafisha.Hahahaha.... Hapo anawaita Ukraine waje ili awachinje tena.
Ila hii mbinu Ukraine watakuwa wameshaisoma...
Mkuu bila shaka US inaangalia maslahi yake. Siyo ni kawaida kwa kila nchi? Sasa jiulize kwa nini nchi za Ulaya - na nyingi zilikataa kufuata Marekani huko Iraki- zinashikamana na Ukraine?Halafu tukisema US ndio amechochea vita hii Kwa mgongo wa nyuma mnapinga!
US inaangalia maslahi yake tu,ndio maana hata nchi za NATO zinalazimishwa na US kutenga asilimia 2 ya pato la taifa Kwa ajili jeshi!
Hapo Inamaana pesa nyingi inaenda kununua silaha za US!
Kwamba wakishawavuna wanajipongezaWagner group wakiwa na kinanda chao maeneo ya Dubovo baada ya kupachukua siku ya leo.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2543552
Kwa maoni yako unaona taarifa/habari hii ina substance kweli? Au yanarudi yale yale ya maamake CEO wa Wagner Group kiwekewa sanction huu kama sio kutapatapa kwa mabeberu tuiiteje???Super pawer anazidi kutengwa na kila mwenye akili View attachment 2543049
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanapata burudani [emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba wakishawavuna wanajipongeza
Unaleta sehemu ndogo ya makala nzuri. Taarifa hiyo inaendelea ikisema: akiba ya Urusi imepungua sana, hasa akiba ya roketi makini. Hivyo tumeona matumizi ya roketi za zamani ambazo si makini.Walikua wanajifariji tu, Putin akiwaeleza kwamba hii ni SMO sio vita kamili wanakaza vichwa wanasema ni vita kamili, sherehe ya vita kamili ni mfano wa makombora yaliyotumwa jana.
Baada ya kuona silaha za Russia haziishi Pro Ukraine wakaanza kuulizana kwamba Russia ana missiles ngapi zimebaki?
Reporter anasema West walisema Russia anaishiwa high precision missiles lakini zaidi ya miezi 10 mvua ya makombora still inashuka kwenye majiji ya Ukraine.
View attachment 2543318View attachment 2543319
Hukunielewa niliposema Kwa mgongo wa nyuma!Huko Iraq Ilikuwa obvious kuwa US alilazimisha vita bila grounds za kueleweka,alishikamana na UK na Australia kuivamia Iraq!Mkuu bila shaka US inaangalia maslahi yake. Siyo ni kawaida kwa kila nchi? Sasa jiulize kwa nini nchi za Ulaya - na nyingi zilikataa kufuata Marekani huko Iraki- zinashikamana na Ukraine?
Hii ya Marekani kulazimisha acha, ni kitoto kidogo. Italazimisha vipi? Iraki II nchi nyingi zilikataa kufuata Marekani. Kwa nini hazikulazimishwa? Huko Marekani wengi walifoka kabisa wakati ule. Halafu tangu miaka mingi Marekani ilidai nchi za Ulaya ziongeze udget za kijeshi. Nchi nyingi zilikataa; Obama aliwatembelea na kusema, Trump alijaribu kuwatisha - je uliona mabadiliko??
Anakuja Putin akivunja mikatabakuhusu usalama katika Ulaya - kumbe nchi zote zinatuma silaha Ukraine na kuongeza mara moja bajeti za kijeshi.
Ukimwona Putin genius - sawa alifaulu kupanusa NATO. Hatua iliyoshindikana tangu miaka 69. Finland haikuwa tayari kujiunga na NATO, Uswidi haikuwa tayari kujiunga na NATO. Na NATO haikuwa tayari kupokea Ukraine.
Yote yanebadilika. Slawa genius!
Mkuu bado una picha US wameanza kuchochea?? Wale walio wakali mno ni nchi zilizokuwa koloni za Urusi awali, kama vile nchi za Baltiki, Poland, Chek Republic na kadhalika. Ni hasa nchi hizo zinazopata ushawishi zaidi ndani ya Ulaya.Hukunielewa niliposema Kwa mgongo wa nyuma!Huko Iraq Ilikuwa obvious kuwa US alilazimisha vita bila grounds za kueleweka,alishikamana na UK na Australia kuivamia Iraq!
Kwanini nchi nyingine za Ulaya hazikuipa silaha Iraq kama wafanyavyo Kwa Ukraine Ili Iraq ijilinde dhidi ya mvamizi?
Sasa Kwa hili la Ukraine,US aliweka Kuni kwenye moto ambao tayari ulikuwa umeanza kuwaka!Sasa ndio tunaona mataifa ya Ulaya yameingia mkenge!Si umeona US anawauzia gas Kwa bei kubwa zaidi mpaka viongozi wa nchi za EU wanalalamika!
Rudia hoja zangu unijibu vizuri!Maana umeuzunguka mbuyu!Mkuu bado una picha US wameanza kuchochea?? Wale walio wakali mno ni nchi zilizokuwa koloni za Urusi awali, kama vile nchi za Baltiki, Poland, Chek Republic na kadhalika. Ni hasa nchi hizo zinazopata ushawishi zaidi ndani ya Ulaya.
Ukipata nafasi ya kuongea na watu wa Poland, walitabiri tangu miaka mingi Urusi itajaribu tena kumeza majirani kwa sababu inajisikia kuwa na haki ya kutawala sehemu zote zilizovamiwa na USSR tangu Vita Kuu ya pili. Au sehemu zilizokuwa chini ya Urusi kabla ya ukomunisti. Na hao wote wana kumbukumbu kali kwamba waliwahi kuvamiwa na Urusi katika karne zilizopita.
Hao watashirik bila kubeba bendera lkn watatambuliwa km wanamichezo toka urusSuper pawer anazidi kutengwa na kila mwenye akili View attachment 2543049
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimeuzunguku mbuyu, kweli. Nifanye nini? Kuupasua katikati? Hivyo nimeuangalia kutoka pande zote nikajibu.Rudia hoja zangu unijibu vizuri!Maana umeuzunguka mbuyu!