Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mara hii wameanza kukubali uwezo wa mu Irani ......kweli hii vita tutaona mengi[emoji23]
 
Mzee Biden atahuzunika sana .....akiisikia hii
 
Na pesa Ulaya wanazolipia gesi ya Urusi ndiyo Urusi anazitumia kuwalipa Wagner wanaopigana Ukraine.
Sidhani. Kwanza Putin si mjinga vile kupoteza pesa yake kwa Wagner, pili wakati Prigozhin anamiliki Wagner hapendwi kwa sasa na hapa sababu Prigozhin anaendelea kulialia ana matatizo kupata risasi. (hii hadithi ya kitoto eti Prigozhin analia tu kwa sababu anaweka mtego kwa ukraine waamini hana risasi ili wamshambulie - hiyo acha tu....)
 
Ni kweli kuna roketi hizo mpya kabisa ambazo hazizuiliwi. Ila Urusi imeonyesha haina uwezo (bado?) kuziandaa kwa idadi kubwa, jinsi tunavyoona sasa. Halafu silaha kuu kati ya Urusi na Marekani ni roketi za nyuklia - hapo hizo chache hypersonic si muhimu sana. Ulinzi wa kila upande (Urusi na Marekani) ni uwezo wa kumwangamiza adui hata kama adui anafaulu kuharibu nchi yote.
 
[emoji298]Russia may attempt to launch another counteroffensive in Vuhledar but is unlikely to make significant gains due to issues with military personnel and ammunition supply, according to the Institute for the Study of War (ISW) update on March 9.

This analysis echoes what military spokesman Oleksiy Dmytrashkivskyi said on national television on March 10.[emoji298]



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana pesa zinaingia mfukoni ...... Coz naona zelensky ameanzisha kampeni ya anti corruption
Angalau Ukraine walifaulu kuvalisha nguo za baridi askari wote - ilhali askari Warusi mara kwa mara wanalalamika wanapaswa kununua nguo wenyewe (au hawapati) kwa sababu sehemu kubwa ya akiba imeshaibiwa.
 
President Volodymyr Zelensky and Finland's Prime Minister Sanna Marin were among the thousands of people attending the funeral of the Hero of Ukraine Dmytro Kotsiubailo, commander of the First Mechanized Battalion "Da Vinci Wolves," on March 10 in central Kyiv. Kotsiubailo was killed in action near Bakhmut on March 7.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]President Volodymyr #Zelensky discussed the defense and security issues, the restoration of #Ukraine, #sanctions against the Russian Federation, holding Russia accountable, and the peace formula with Prime Minister of #Finland Sanna #Marin[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]President Volodymyr Zelensky of #Ukraine insists on putting pressure on individuals and entities in Russia and other countries who help the aggressor state restore its missile potential and obtain technology. [emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati huo biden yupo ....anadondoka dondoka ovyo kama ugonjwa wa kideli na kifafa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa nacheka sana nikimsikia mtu ana waona usa ni mabigwa wa vita kwa sababu yq kuji promoti sana ...kumbe si chochote si lolote
 
Habari hii haitakubaliwa na wamarekani wa kibaigwa,nyakasungwa,kalebezo,msoga,itungi,lupaso na mwakaleli.
Ambao humu Kila siku wanaiita Urusi kama Supapawa wa mchongo,Mandonga,kubwa jinga.
Wakati wao ndio makubwa jinga.
Siwataji wanajijua wamo humu.
 
Kwa hiyo Wagner wanapigana bure!? Yaani Pmc mamluki wapigane bure!?

Maneno ya prigo hayaendani na uhalisia. Inategemea kama wewe unataka maneno au unashawishika zaidi na uhalisia.

Uhalisia ni Wagner kuendelea kupiga hatua mbele Bakhmut. Maneno ni Wagner wanaishiwa risasi. Je, Wagner wanasonga mbele dhidi majeshi yaliyojizatiti ya Ukraine bila kutumia risasi!? Uchawi ulioje wa Prigo huu. Na iweje Ukraine anaesaidiwa risasi na nchi 30 na zaidi ashindwe na mamluki wasio na mafunzo tena wanaoishiwa risasi tayri!?

Kalagabaho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…