Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona mkuu weekend umeianza poa sana 😂😂😂😂
 

Hebu nipe shule Ndg yangu Sankara pale Drc nimesikia waafrika wamechinja waafrika wenzao kwa mapanga nani yupo nyuma ya hayo mapanga.

Na hayo maandamano ya Georgia nani yupo yake...

Tambua watu wamejua haki zao siku hizi huwezi kuwaburuza watu jinsi unavyotaka wewe hata urusi is the matter of time ipo siku wataamka na kumwona Putin ni kati ya mtu anaowacheleweshea maendeleo yao.

Ulitegemea Iran wanawake wataandamana...
 

Congo hakuna mapanga ni makombora yanayoishinda mpaka Serikali yenyewe..

Ndugu unaijua historia ya UASI wa CONGO tokea kwa Lumumba kweli???

Hapo Congo viko vikundi Vingi na vingine vina umri hata zaidi ya miaka 25...
Sasa nani anawauzia Hawa watu vifaa hivyo vizito vya Vita? Nani anawapa hizo PESA za kununulia hivyo vifaa? Hizo biashara wanafanya na nani ambaye hawezi julikana?


Ukiwa chini ya UTAWALA wa kibaraka wa Urusi nchi yenu itakuwa kama Korea ya Kaskazini,,, na ukiwa kibaraka wa USA mtaishi maisha ya Korea ya Kusini...

Hawa watu wana-module tofauti za kutawala but at the end of the day ni EXPLOITATION tu inaendelea..

We unafikiri hao kina Georgia wanakimbilia nini huko NATO??

Yaani USA awape protection bure tu yaani??

Au hujui kuwa NATO ni mpango wa USA kuishika EUROPE.
 
Huyu jamaa kafikia kiwango cha juu sana cha ukatili nahisi kampita hata Hilter baada ya muda watoto wetu watamsoma kama kati ya madictator katili kuwashuhudia kundi moja na Musolin, hilter etc
Mungu aepushie mbali isitokee wakat huyo mwanao anamsoma Putin km muuaj isije ikawa umeshamuozesha kwa mwanaume mwenzake

Maana hayo ndiyo wanayoyataka hao wapinzan wa Putin
 
Mkuu Putin ni nyonya damu lile jitu,halina haruma.
 
Unapoongelea Mpinga Christo lazima Ujue nani Yupo upande wa Christo.....JE MAREKANI yupo UPANDE UPI?? wachochezi wa VITA hawa wanakaa upande upi!!!
Shetani ni baba wa Mauaji na yeye anayeshiriki kazi ya Mauaji anamjua baba yake MAREKANI anashiriki pia katika mauaji kwa kupeleka Silaha Ukraine ambazo Zinaua watu kule donest kila siku........(Mrusi na Ukraine wangeishi kwa amani na upendo bila Marekani kuwafanya wagombane)
Hawa watu wangeweza kupendana sana BILA MAREKANI
 
Ubaya hauna kwao!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russia may attempt to launch another counteroffensive in Vuhledar but is unlikely to make significant gains due to issues with military personnel and ammunition supply, according to the Institute for the Study of War (ISW) update on March 9.

This analysis echoes what military spokesman Oleksiy Dmytrashkivskyi said on national television on March 10.
[emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kichapo Cha mbwa mwizi kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]


[emoji298][emoji298] In the Luhansk region, the 92nd Ivan Sirko Separate Mechanized Brigade has destroyed russia’s ammunition depot in the Svatove direction[emoji298][emoji298].

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata Amelika,nimeona Jimbo flani wanaanza madai ya kujitenga.[emoji1787]
 
Ni mwendo wa kipigo tu [emoji1787][emoji23][emoji28]



[emoji298] russia has already lost about 158,000 troops in Ukraine (+1,010 over the past day).[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123]



[emoji1255][emoji298] In the past 24 hours, Ukrainian defenders have repelled over 100 attacks by russian invaders in the Lyman, Bakhmut, Avdiivka, Marinka and Shakhtarsk directions.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255] President Volodymyr Zelensky has presented state awards to 94 defenders of Ukraine, including one posthumously.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President Volodymyr #Zelensky discussed the defense and security issues, the restoration of #Ukraine, #sanctions against the Russian Federation, holding Russia accountable, and the peace formula with Prime Minister of #Finland Sanna #Marin[emoji1255][emoji298].

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super pawer anazidi kutengwa kama mwenye ukoma [emoji2][emoji1787]



[emoji298]️The Turkish government has suspended the transit of sanctioned goods to Russia through Turkey, Bloomberg reported.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1189]Norway will provide Ukraine with two more complete NASAMS fire installations in cooperation with the USA, Norwegian Defence Minister Bjorn Arild Gram said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizi zitatumika katika ujenzi wa Ukraine mpya baada ya majeshi ya fashisti kufurushwa [emoji116][emoji116][emoji116]



[emoji298]️The US and its allies have frozen more than $58 billion worth of assets owned or controlled by Russian citizens, the US Treasury Department reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…