Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari hizi zinaumiza sana kwa kweli kama uko upande huo,ila ni faraja sana kama uko upande huu.
NATO ni kwa ajilia ya nchi masikini,sio Urusi,tukiwaambia muwe mnaelewa ndugu zangu.
 
Aisee.!
The untold stories.
Russian superio
 
Unaumia ukiwa wapi kamanda, ukubwa wa dunia basi USA ukubwa wao umezidi kuimarika bwashee
 
Urusi itavunjika vipande vipande but America itaendelea kusimama coz Russia wamekubali kucheza ngoma inayopigwa na Mmarekani, intelligent wanaelewa hili
 
Sawa sawa msemaji wa Putin yeye si dawa chungu haimwingiii yeye ni mbabe wa dunia hata tembo wanamwogopa mshauri aendelee kumwaga damu masta si ndio furaha yake.
Na vipi ulaya wameganda kwani na baridi?
Putin ni mjinga kuwa mkubwa duniani ni akili na siyo nguvu, America walitumia akili kufika pale walipo, na akili hiyo hiyo ndo anaendelea kukitumia kuua wale wanaochomoza kuwa wakubwa dhidi yake

Nilifikiri ni Russia ndo wangewapa challenges, kumbe nao bado akili zao ni kama za mafashisti ni ngumu kumpiku USA kwa namna hiyo ya vita
 
Putin akijitoa,je sababu zilizomfanya aanzishe vita zitakua zimeisha?
Unajua njia mojawapo ya kumaliza vita yoyoyte ni mazungumzo?
Je unafahamu mazungumzo yalikuwepo na yalivunjika?
Unazijua sbabu za kuvunjika?
 
Akili Yako ni kubwa sana ndugu.
Watu wengi katika Dunia hii ni walaalmishi lakini sio watafiti.
 
Mimi ni ndugu mtazamaji kama wewe kamanda,,, kuweka mambo sawa siyo kuumia bwashee, ni kuweka rekodi sawa siyo kudanganyana..
Basi unatakiwa ujue, ukubwa wa dunia hautafutwi kwa njia ya vita, America hawakuipata kwa kumvamia Mexican, Haiti, Canada na majirani wengine

Mrusi alitakiwa asawazishe mahusiano yawe mazuri, kirafiki na yenye kuaminiana na majirani zake, lakini hakuna jirani mwenye mahusiano mema na Urusi apart from Belarus na Chechnya ambao ni mateka wa warusi kiuhalisia

Hitler alitaka ukubwa wa dunia ila sidhani kama aliupata, ukubwa wa dunia ina mambo mengi na siyo vita, nafasi aliyonayo USA ni kubwa sana na mara nyingi anatoa tu order hapigani lkn anasikilizwa sana like Ukraine

Putin hajengi anabomoa, akumbuke USA ni mjanja sana anatumia akili nyingi sana kumdhofisha yule wanao ona kama tishio kwao la ukubwa duniani, Putin angetumia akili bwashee

Putin anatakiwa ajenge kambi kubwa litakalo linda maslahi yake ya ukubwa duniani, kama alivyofanya USA ok, lakini kukurupukia vita anaenda kuaribu bwashee

Naona mrusi atakuwa kambi ya uchina, kulinda maslahi ya ukubwa wa uchina duniani lakini siyo China kuwa kwenye kambi ya kulinda maslahi ya Urusi ya ukubwa duniani ok
 
Upuuzi mtupu
Tena upuuzi wa kijibga kabisa.
Mtu hajui chochote anakuja na vijineno vya kiuuzi TU.
Sisi waafrika ndio maana tulitawaliwa na Kila mtu.kwa ujinga kama huu ndo maana tunaendelea kua watumwa Hadi Leo.
Hivi watu wamesahau jinsi walibya walivyokua wanauwawa,
Gadafi alitaka Afrika iwe na sarafu yake,iwe na stelite yake ,
Tv yake sawa na akina CNN,aljazeera,
Na Afrika iwe moja.
USA na France na UK wakuua Gadafi.sasa Leo unakuta vijitiu sijui vimetokea vichochoro Gani vinawatetea Hawa.
 
Sigma male at work [emoji119][emoji119][emoji119]
Sijui kwann magu asingekuwa sigma kuwa alpha ni jau sana maana ni rahisi kukuua ila usigma ndo wenyewe mf. Xi jinping. Kongole kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…