Piga mashoga Put in mpaka waache ushogaHuyu jamaa kafikia kiwango cha juu sana cha ukatili nahisi kampita hata Hilter baada ya muda watoto wetu watamsoma kama kati ya madictator katili kuwashuhudia kundi moja na Musolin, hilter etc
Na Lancet kamikaze drones ndio zitakomesha air-defense systems za NATO na silaha zao nyingine including vifaru, kumbukeni tukio la juzi - nina uhakika Ujerumani,Merikani na Uingereza watafikiria mara mbili kupeleka tena eti "air defense system game changer" huko Ukraine baada ya kuona zilizo kuwa zinapigiwa debe na pro NATO kila siku juzi hapa zimetiwa kibereti na no nosense Russian missiles mpaka kulipua hidden NATO/Ukraine under ground command and control center walizo fikiria hazijulikani na wala haziwezi kushambuliwa kirahisi na jeshi Urusi - sina shaka juzi NATO/US kuna kitu wamejifunza kwamba mwenzao hana mchezo, wakiingia kumi na nane zake kichwa kichwa they wont even have enough time to repent their sins before joining their maker huko Mbinguni.Russian Lancet kamikaze UAV strike on British-supplied Ukrainian Stormer HVM Air-Defense Missile System in Donetsk.https://twitter.com/clashreport/status/1634448994939068418?s=20
Kipanya,hivi Aljazeera nayo ni source ya habari,mbona ni Mocking Bird Media.Usiwe unaleta sources hizi mkuu,unaonekana bankrupt sana.Hali mbaya [emoji28][emoji23][emoji1787]View attachment 2546251
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawa si masikini, Hela za kujenga wamepata wapi??[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia baada kuibonda Mariupol Sasa kaijenga upya..View attachment 2546055View attachment 2546056View attachment 2546057
Na Lancet kamikaze drones ndio zitakomesha air-defense systems za NATO na silaha zao nyingine including vifaru, kumbukeni tukio la juzi - nina uhakika Ujerumani,Merikani na Uingereza watafikiria mara mbili kupeleka tena eti "air defense system game changer" huko Ukraine baada ya kuona zilizo kuwa zinapigiwa debe na pro NATO kila siku juzi hapa zimetiwa kibereti na no nosense Russian missiles mpaka kulipua hidden NATO/Ukraine under ground command and control center walizo fikiria hazijulikani na wala haziwezi kushambuliwa kirahisi na jeshi Urusi - sina shaka juzi NATO/US kuna kitu wamejifunza kwamba mwenzao hana mchezo, wakiingia kumi na nane zake kichwa kichwa they wont even have enough time to repent before joining their maker huko Mbinguni.
Anataka damu kama marekani kule Libya na Iraq?Watu wamefika sehemu na kusema kiongozi wa Russia ni kati ya wale AntiChrist yeye kumwaga damu za watu ndio furaha kwake, akiangalia kwenye Tv watu wanavyokufa pale Ukraine kwa mashambulizi ya Kinzhal missiles an Shahed anacheka sana na kujiona yeye ni mwamba wa Karne hii, nakumbuka kuna kauli moja alipata kuisema kwamba yeye kazi yake ni Kuua wakakutane na hukumu huko juu.
Baada ya kumwaga damu za watu Ukraine na kuona hazitoshi hatimaye Jamaa ameelekea pale Georgia na kuwapiga biti kinachoendelea Ukraine na wawo watakipata soon hili limekuja baada ya wananchi wa Georgia kupinga sera zilizoletwa na mapandikizi ya Klemlin sera ya kuwagandamiza Wageorgia hili lilipelekea raia wa Georgia kuingia kitaa bila kujali maji ya washawasha wala mabomu ya machozi hatimaye nguvu ya umma ilishinda na muswada kuchomolewa bungeni.
Wageorgia wamekataa kuwa mateka wa mrusi kama Belarus and Chechnya ambao wamekubali kuongozwa na rimoti toka Kremlin wamekubali kuwa mateka wa Mrusi, walichokipigania Georgia ndicho wanachokipigania Ukraine kwani hata kwenye maandamano walikua wanapiga wimbo wa Taifa wa Ukraine
Georgia wanakumbuka Vita mbaya ya Russo-Georgian war ambapo mrusi alivamia na kuwaua raia wengi wasiokua na hatia mwaka 2008 na kuliteka eneo la Ossetia kumbe basi hii ndio tabia ya Urusi nchi inayoaamini katika ubabe na vita, wao damu ya mtu sio chochote sio kitu.
Russia watambue watu wa vizazi hivi wanajielewa na sio kuwatisha na vifaru vyake vya Kisoviet.
View attachment 2545712
Kuna kipindi Poland walikua wanawashinikiza German kupeleka Patriot AD Ukraine, German wakakazaNa Lancet kamikaze drones ndio zitakomesha air-defense systems za NATO na silaha zao nyingine including vifaru, kumbukeni tukio la juzi - nina uhakika Ujerumani,Merikani na Uingereza watafikiria mara mbili kupeleka tena eti "air defense system game changer" huko Ukraine baada ya kuona zilizo kuwa zinapigiwa debe na pro NATO kila siku juzi hapa zimetiwa kibereti na no nosense Russian missiles mpaka kulipua hidden NATO/Ukraine under ground command and control center walizo fikiria hazijulikani na wala haziwezi kushambuliwa kirahisi na jeshi Urusi - sina shaka juzi NATO/US kuna kitu wamejifunza kwamba mwenzao hana mchezo, wakiingia kumi na nane zake kichwa kichwa they wont even have enough time to repent before joining their maker huko Mbinguni.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Gaidi la Ukraine limeuwawa.
Ukrainian Nazi Dmytro Kotsyubaylo, nicknamed “Da Vinci” has been killed in Bakhmut.
He had a pet wolf and once told people that he’d feed it the “bones of Russian children”
Zelensky called him a “Hero of Ukraine”.
Notice how pro-Ukraine accounts never mention his ideologyView attachment 2544727View attachment 2544728View attachment 2544729
Sahizi ni kuwachinja makamanda tu.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian forces destroyed the command post of the Ukrainian 80th Air Assault Brigade near Chasiv Yar, west of Bakhmut
They eliminated a group of officers including Ukrainian army officer Major Andrey Lukanyuk, who was the battalion commander. He was from Ivano-Frankivsk.View attachment 2544747
Urusi sio Zimbabwe mzee baba 😀😀😀Hii technique ya Russia kutumia Wagner PMC kama main troops kwenye hii SMO ni technique nzuri sana.
Westerns walichokuwa wanataka ni kufanya uhuni wakuli subdue jeshi la Russia kwa kulifanya liwe weak kwa kulipiganisha vita ya kipuuzi.
Sasa, Russia wakaona dawa na sisi ni ku outsource hii vita kwa third party, na sio jeshi letu kupigana.
Kwa hiyo Wagner PMC wanaajiri mtu yeyote aliye capable kupigana. Then twende kaza.
Jeshi la Russia, lipo limetulia tu kwa sasa, linatoa technical assistance za hapa na pale.
Hahahahahah wataendeleza mipango ya kuwatembezea kichapo hao mashoga wa USA hata kimya kimya tu bila China kuweka bayana.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]View attachment 2544788
Wajifunze sasa kuwa ukijua vya hivi na mwenzio anajua vya vile. 😀😀😀USA yakili nchi pekee iliyo na silaha za maana za hypersonic ni Russia pekee hata wao hawana silaha za kiwango hicho.
🇷🇺🚀🇺🇸The US intelligence service said that only Russia has strategic hypersonic missiles
Washington claims that they are not working on the creation of hypersonic missiles capable of carrying a nuclear charge
The United States is not in service, and Washington is not working on the creation of hypersonic missiles capable of carrying a nuclear charge, which are in service with Russia. This statement was made on Friday by a leading researcher of US military intelligence,Gerry L. Freisthler, at a hearing in the subcommittee on strategic weapons of the House of Representatives of the US Congress.
"The Russian Avangard system is the only deployed hypersonic strategic system in the world," he said.
To a clarifying question from one of the committee members whether this means that the United States does not have similar hypersonic strategic systems in service and is not planned, none of the participants in the hearings did not answer. The director of the Department of the US Department of Defense, Michael Horowitz, explained at the same time that the issue of creating hypersonic strategic weapons relates to political topics, while the defense departments carry out the tasks assigned to them. "We are creating hypersonic systems for regional purposes, which, as we believe, can solve strategic tasks," he said.
At the same time, Michael White, Deputy director for hypersonic Development in the Pentagon's Research and Development department, admitted that none of the countries in the world, according to US estimates, currently has the capabilities to protect against hypersonic weapons. "The laws of physics are the same for everyone, and we and Russia face the same challenges in this area," he said.
🤣🤣🤣🤣🤣Vijana wanafanya kazi nzuri sana kule mstari wa mbele, wanapokea taarifa nzuri kabisa juu ya vichwa vya makamanda vinavyoshushwa kama migomba. 🤣🤣🤣🤣 Na command centre kukaangwa barabara kabisa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Baada ya kazi nzuri makamanda wana kula upepo safiiiiiil V. Putin na Waziri na Ulinzi Shoigu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2544795
Sahizi vita inapigwa tambarare tu, wachoma nyama wa Wagner PMC hawana hiyana wao wana attack tu na kufyeka vichwa vya mashosti wa NATO.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanamgambo wa Ukraine wamepata kipigo cha mbwa mwizi mpaka wameacha silaha zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2544844View attachment 2544846View attachment 2544847View attachment 2544848View attachment 2544849View attachment 2544851
Mkuu hii Vita wewe unaiangalizia wapi?Sahizi vita inapigwa tambarare tu, wachoma nyama wa Wagner PMC hawana hiyana wao wana attack tu na kufyeka vichwa vya mashosti wa NATO.
Nani kakuambia Urusi ni maskini mkuu,mbona sio.Urusi wana resources nyingi sana,na ndio maana kila sector yao ni strong sana.Uzuri wa Urusi pia ni kwamba resources zao wanazigawa vizuri kwa Wananchi wao.Marekani on the other hand,hakuna jambo kama hilo,utajijua mwenyewe,na mabwenyenye kama akina Rockefeller,George Soros,Bill Gates, Bloomberg nk.wanatumia kila mbinu chafu kuwanyang'anya wenzangu na mimi hata kile kidogo walicho nacho kwa kutumia kila mbinu chafu.System ya America ni ya hovyo kweli kweli,yaani ni usawa wa kutafunana tu,unyama ni unyama tu.Hawa si masikini, Hela za kujenga wamepata wapi??
Halafu uchumi wa Jimbo moja la Us ni sawa na uchumi wa urusi, lakini utashangaa huko US watu wanalala nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahah hawa machizi boti kumbe wapo Wagner tayari. Kweli Mmarekani hii kazi ya kuisapoti Ukraine anatakiwa aache tu 🤣🤣🤣!!! Hao kina Hamza huwaga starehe yao ni kumwaga damu tu! Zelensky ajiandae kuingiliwa hadi Kyiv 🤣🤣🤣🤣