Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Huyu jamaa anatisha tu hata kumwangaliaNafasi ya majadiliano ilishapita, sasa atasaini atakachoambiwa au sherehe iendeleeView attachment 2537632
Izo ndizo zinawapa mkong'oto wa maana NATO huko Ukraine. Wala sio stealthy, wanaziona vizuri tu kwenye Radar, ila hakuna wanachoweza kuzifanya.
Russia ali reveal aina tatu ya hypersonic missiles ambazo ziko tayari kuwa deployed kwenye battlefield.
1. Kinzal hypersonic missile. Hizi mara nyingi ni air launch missiles, zinaweza bebwa uvunguni wa Mig 31, au TU- 95 or other bombers. Very deadly. Mmarekani baada ya kushindwa kuunda yake, alianza propaganda kwamba hypersonic missile haiwezi kuwa functional, maana at that speed itacreate msuguAno wa hali ya juu sana na air molecules, na kufanya tip ya kumbora iwe na joto kali sana ...hili joto inapelekea uwepo plasma layer itakayozuia kombora kuwasiliana na command center au kujua target. So haitakuwa na shabaha, ilo lilibaki hivyo mpka juzi command center yao ilivyotunguliwa without a miss. Hajui ni nn kimetokeana msoviet amewezaje kuachieve iyo technology yet kuacha air defences zake uchi wa mnyama.
2. Avanguard hypersonic glide vehicle. Hili sio kombora, ni ka tip tu kanachokuwa mounted tu juu ya ICBM. Mzigo ukitumwa from russia, unatoka kwanza nje ya anga, na kusogea uelekea wa target. Ikifika usawa wa target, hii glide vehicle ndo inakuwa released sasa kwenda kuwasha moto. Its entry mechanism ni kama ilivyo kimondo ka ile kasi inayokuja nayo, but to make things more worse, hii kitu iko highly manuvarable. Yaan target inaweza ikawa pale JK Nyerere airport, ila mzigo ukiwa unakuja utadhani unaelekea usawa wa kigamboni, ila ghafla tu unakuta airport inawaka moto. As we know, kasi ya kimondo haizuiliki.
3. Zircon anti ship hypersonic missile. Hii zircon ndo mwarobaini wa aircraft carriers na destroyers za mwa merika. So far naona hii hajaitest kwenye majahazi ya wa ukraine. Ameamua kuitunza kwaajili ya wa nato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mambo tulizoea kuyasikia africa na nchi za latin americaMwaka mmoja uliopita pia, wachawi wa Ukraine walipanga kukutana na kufanya tambiko la kumng'oa/kumuadhibu Putin ila mpaka leo Putin yupo.
Ni kwamba Putin halogeki au uchawi wao ni feki wameshindwa kuwaloga hata Wagner PMC wawe wanaona bahari tu mbele yaoView attachment 2537882View attachment 2537883View attachment 2537885
𝚄𝚖𝚎𝚊𝚖𝚋𝚒𝚠𝚊 𝚜𝚒𝚛𝚊𝚑𝚊 𝚣𝚊 𝚊𝚒𝚗𝚊 𝚣𝚘𝚝𝚎 𝚣𝚒𝚙𝚘 𝚋𝚊𝚝𝚝𝚕𝚎 𝚏𝚒𝚎𝚕𝚍 𝚄𝚔𝚛𝚊𝚒𝚗𝚎???Soma hapo chini. HAdi leo hata T14 Armata moja haikuonekana. Inaonekana jambo hili ni aibu kubwa kwa wizara na kampuni. Nukuu chini huwa na links kwa vyanzo. Mbali na hivyo vifaru vichache vilivyoonyeshwa kwenye paredi (chini ya 10) vingine vinanipa picha ya matangazo tu . . . .
Ukiwa na ushuhuda tofauti (mbali na matangazo) - lete.
In August 2020, the Industry and Trade minister told journalists that the production of 132 Armata-platform tanks and fighting vehicles including T-14 tanks had begun after the resolution of problems with engines and thermal-imaging equipment, and they would be issued to the armed forces in 2021.[20]
In July 2021, Minister of Industry and Trade Denis Manturov said the tank would enter serial production in 2022. However in March, Defence Minister Sergei Shoigu claimed that only “an experimental-industrial” batch of T-14s would be delivered in 2022.[46] In August 2021, Deputy Defense Minister Alexei Krivoruchko said that the Russian Armed Forces would receive 20 T-14 Armata tanks by the end of 2021.[47] On 23 August 2021, a Rostec official said that the company had shipped an unspecified number of T-14 tanks in an "experimental batch" to the Russian Armed Forces.[48] In November 2021, state trials were in progress and expected to be completed in 2022, and a "pilot batch" of twenty tanks was yet to be delivered to the armed forces.[49][50] On 24 December 2021, First Deputy General Director of Rostec Vladimir Artyakov announced, that "serial production" of the T-14 was launched.[5]
On 9 December 2021 MIC First Deputy Chairman Andrei Yelchaninov said that state trials of new ammunition loader for the T-14 should be fully completed in 2022, and that "more than 40" Armata tanks will be delivered to Russian troops after 2023.[21]
(ona: T-14 Armata - Wikipedia)
Ukiwa mpenda haki na mwenye akili hauhitaji mapandikizi yaan watu waelewa na wapenda haki na wafuasi wa natural order watakufuta tena bure tu.Putin hana mapandikizi humu ? Au posho ya kuwalipa ndio tatizo ?
Maiti zote za Ukraine ashindwe kupata figo ya kupandikiza???????😄😄😄😄😄Uyo Ramzan kadyrov mwenyewe kapona sumu aliyo wekewa? Maana figo Zina taka kumuachanisha roho na mwili Au mwanae ndio atahudhuria meeting
Nyingine nyingi tu ziko mbioniMmmh, huo moto uliowaka uko USA ni hatari, hii yote ni effect ya ku over print US dollars [emoji385] na kusababisha inflation iliyokwenda kupandisha interest rate.
Na ishu hii ya bank ikianza kuanguka moja, mara nyingi zinafuata nyingine kwa mfululizo maana investors na watu wana panic na kwenda kuwithdraw pesa zao kwa wakati mmoja.
Kuna taarifa ya investors wengi wanataka kuhamisha pesa zao kutoka USA na kuzipeleka nchi nyingi kuhofia severe recession ambayo USA [emoji631] inaelekea uko, so banks nyingine zitaanguka muda si mrefu.
SawaRussia wipes out over 220 Ukrainian servicemen in Donetsk direction over day
"In the Donetsk direction, as a result of active operations of the units supported by the artillery of the Southern Group of forces, more than 220 Ukrainian servicemen, an infantry fighting vehicle, three armored fighting vehicles, seven vehicles, as well as a D-30 howitzer were destroyed during the day," military official reported.
Kinzali ni kete ya ushindi kwa russia mpaka sasaThe underground facility was considered way out of reach for any weapon given it’s located 400 feet under the ground. But the Russian Kinzhal went that deep and blew it up, with so many casualties. Russians now say about 40 dead officers have so far been pulled from the wreckage of the underground HQ & says that most of the victims may never been retrieved.
Analyst say this is the first time Ukraine’s western allies have recorded this many casualties in one attack. Most of the victims are said to be British & Polish, but many Americans & foreign staff of private contractors helping Ukraine with military communications & data transmission were also killed.
This is happening at a time that westerners were insisting on continuing to resist Russia in Bakhmut despite admitting openly it’s a lost battle. How this strike will affect the renewed western drive for Bakhmut will be determined in days to come. However, this has been Russia’s greatest hit on NATO personnel & so far, there hasn’t been reactions from western capitals.
For the records, the Kh-47M2 Kinzhal is a Russian nuclear-powered hypersonic air-to-surface missile. Also known as the ‘dagger,’ it has a powerful range of over 2,000 km, a speed of Mach 10, 12 & the ability to perform evil maneuvers at every stage of its flight, but its piercing ability is the one thing the military world has never seen until now.
It can carry both conventional & nuclear warheads & can be launched from Tu-22M3 bombers or MG-31K interceptors. The Kinzhal was introduced into the Russian arsenal in December, 2017 & is one of the strategic bombers unveiled by Putin on March 1, 2018. To be continued.