Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukrainian Mi-8 helicopters, seven HIMARS and Uragan rockets and one drone were downed by Russian air defense systems in the course of the special military operation during the past day, Russian Defense Ministry Spokesman Igor Konashenkov said on Sunday.

"Two Mi-8 helicopters of the Ukrainian armed forces were downed by air defense systems near the settlement of Temirovka in the Zaporozhye region and Dvurechnaya in the Kharkov region. Apart from that, seven HIMARS and Uragan rockets were intercepted during the day, and a Ukrainian unmanned aerial vehicle was destroyed near the settlement of Chervony Mayak in th Kherson region," he said.
 
Hapa mandharinyuma kidogo kuhusu silaha za babu Putin, leo: Roketi ya Zirkon, inayokimbia kwa Mach 9, lakini ina matatizo kulenga vema kama lengo halisubiri:
Maana si rahisi kupambana na kanuni za fizikia.
Soma kwa undani:

Putin's 'invincible' missile has a very common problem​

  • Putin has touted Russian hypersonic weapons like the Zircon missile as impossible to defend against.
  • Zircon in particular is powerful but there are limits on what it can do, a Western expert says.
  • Like other high-speed weapons, the Zircon's velocity may come at the expense of its accuracy.
Russia's Zircon hypersonic missile can do two things: fly at almost 7,000 mph, which makes it very hard to shoot down, or hit a moving ship. But it can't do both.
Putin's rhetoric can't change the laws of physics. The problem is that objects traveling at hypersonic speeds — Mach 5 and beyond — ionize the air around them, creating a sheath of plasma around the object that blocks radar signals.
Yet radar is precisely how many guided missiles home in on their targets. Once the missile arrives near a designated point, an active radar seeker in the nose switches on, scans the area, and locks on target.

Russia wipes out over 220 Ukrainian servicemen in Donetsk direction over day

"In the Donetsk direction, as a result of active operations of the units supported by the artillery of the Southern Group of forces, more than 220 Ukrainian servicemen, an infantry fighting vehicle, three armored fighting vehicles, seven vehicles, as well as a D-30 howitzer were destroyed during the day," military official reported.
 
Unaambiwa west wana 8 sec tu za kureact huu mzigo ukitumwa kwao.. Ni kweli kabisa unavosema kwamba SAM operators wa wanaziona ila hawana cha kufanya maana wakati unawaza cha kufanya mzigo unakuwa tayari umefika. Nakumbuka wakati Putin anaitangazia dunia kuhusu kuwa na hizi siraha west walidai ni propaganda simply kwakuwa wao hawawezi so wasichokiweza maana yake hakiwezekani. Kuna hata maengineer mwitu humu walikuja na theories za mitaani kudiscourage haya mafanikio ya Warusi na kudai hii tech ni kinyume na laws of physics, ila kwa kuwa pro west wengi hapa ni robots sikuwashangaa. Leo west hawana budi kukubaliana na ukweli kwamba hypersonic weapons zipo na Russia ni leader kwenye hii field.View attachment 2547815
Sawa naona wengine marafiki wa Putin wanashangilia silaha hizo. Inaonekana kwa sasa Warusi wako mbele. Sasa silaha hizo zitawasaidia nini? Tuseme wanarusha 200, 300 (hadi sasa akiba yai ilitosha kurusha si zaidi ya 6 nikikumbuka vema, pamoja na roketi za kawaida).
Hizi 200 haitazuiliwa. Hautujui bado kama zitalengwa kwa umakini (hadi sasa data haziko wazi). Hata zikifika - zibebe nini? Mabomu ya kawaida? Au mabomu ya nyuklia?
Kama nyuklia zitaleta uharibifu mkubwa. Halafu? Hakuna njia ya kuzuia majibu kutoka roketi zilizoandaliwa tayari. Hata nyambizi wa Uingereza peke yake zinatosha kumaliza miji yote mikubwa ya Urusi. Bila kuhesabu nyambizi za Marekani. hakuna kitakachobaki na Urusi.
Kwa hiyo Putin anaweza kutisha lakini hawezi kuzitumia. Au inaona njia nyingine (isipokuwa mipango ya siri za Putin ambayo unaamini iko lakini huwezi kutuambia.....
 
Russia anaweza kuangamiza ulaya yote na marekani kwa pamoja.
 
Na kibaya zaidi nilisoma mada moja kua kikosi Cha nyukilia Cha Urusi kilichokuwepo Cuba,kilipewa ruhusa kabisa na serika ya Urusi kua kikiona Kuna kitisho chochote Cha usalama,hakuna haja ya kuomba ruhusa Moscow kutumia silaha za nyukilia.
Kwa kifupi walipewa ruhusa ya kushambulia moja kwa moja bila kupoteza muda wa kuomba idhini kutoka "Red Square"

Kwa kifupi kabisa walipewa license to shoot.
Submarines ndo zilipewa hii ruhusa..kuna kamanda mmoja wa Urusi..ukimgoggle unaweza mpata.."The man who saved the world from ww3"..Kidogo afyatue...na alikua kwenye mazingira ya kufyatua..wenzake wawili waliisga-bonyeza vitufe..akabaki yeye tu...akasita....
 
Sawa naona wengine marafiki wa Putin wanashangilia silaha hizo. Inaonekana kwa sasa Warusi wako mbele. Sasa silaha hizo zitawasaidia nini? Tuseme wanarusha 200, 300 (hadi sasa akiba yai ilitosha kurusha si zaidi ya 6 nikikumbuka vema, pamoja na roketi za kawaida).
Hizi 200 haitazuiliwa. Hautujui bado kama zitalengwa kwa umakini (hadi sasa data haziko wazi). Hata zikifika - zibebe nini? Mabomu ya kawaida? Au mabomu ya nyuklia?
Kama nyuklia zitaleta uharibifu mkubwa. Halafu? Hakuna njia ya kuzuia majibu kutoka roketi zilizoandaliwa tayari. Hata nyambizi wa Uingereza peke yake zinatosha kumaliza miji yote mikubwa ya Urusi. Bila kuhesabu nyambizi za Marekani. hakuna kitakachobaki na Urusi.
Kwa hiyo Putin anaweza kutisha lakini hawezi kuzitumia. Au inaona njia nyingine (isipokuwa mipango ya siri za Putin ambayo unaamini iko lakini huwezi kutuambia.....
Mrusi anarusha na makombora ya dummy. Alhamisi Hypersonic alirusha sita tu mengine yalikuwa ya kawaida na dummy pia ili kuyazuga makombola ya kujilinda ya adui na alifanikiwa sana. Mrusi ni super power wa kweli kweli Warusi kwa umakini ni zaidi ya Wamarekani.
 
Mkuu Prigozhin ana pesa nyingi. Alianza mwenyewe kama mwizi gerezani alipotoka alianzisha biashara ya upishi na catering akabahatika kumfanyia kazi Putin mwenyewe akawa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alitumia nafasi kujitajirisha leo ni bilionea. Tangu 2013 alianza kuwekeza katika kampuni ya Wagner hadi kuwa mwenye Wagner.
Katika kampeni zake Afrika aliweza kupora mali nyingi maana alipatana alipiwe kwa nafasi ya kubeba madini zenye thamani.
Ukiamini kweli analenga kupumbaza Waukraine kwa kilio chake kuhusu risasi - basi uamini tu! Ila Waukraine si wapumbavu. Kilio chake cha juzi ni:sasa hawezi kumpigia simu Putin wala ofisi yake, walizuia simu yake. Kwa kilio hicho anataka kupumbaza nani???
Ni dhahiri wanajeshi wengi wa Urusi wamechoka jinsi alivyojipigia debe na kudai yeye ni kamanda bora ..
Mambo uliyoandika hapa hayana uthibitisho. Ni maneno matupu.

Jibu swali, Ina maana Wagner wanapigana bure hapo Ukraine!? Hawalipwi kitu!? Kuwa na hela kwa prigo au kutokuwa nazo hakuna uhusiano na uhusika wa Wagner Ukraine.

Wagner wana wapiganaji karibu elf hamsini wanaopigana Ukraine. Hao wapiganaji wote wanalipwa mishahara yao na bonuses na bima. Hizo pesa zinatoka wapi kuwalipa watu wote hao!? Mfukoni mwa bilionea prigo!? Ina maana Prigo anatoa zaka kwa taifa la urusi.
 
Submarines ndo zilipewa hii ruhusa..kuna kamanda mmoja wa Urusi..ukimgoggle unaweza mpata.."The man who saved the world from ww3"..Kidogo afyatue...na alikua kwenye mazingira ya kufyatua..wenzake wawili waliisga-bonyeza vitufe..akabaki yeye tu...akasita....
Nilisha wahi kusikia story na kumuona muhusika mwenyewe akizungumza - sio kweli kwamba submarine zilipewa ruksa kufyatua makombora ya nuclear wakijisikia - procedure ilikuwa ni kwamba submarine zisifanye lolote mpaka wapewe amri kutoka Moscow, lakini hili la kusema jeshi la Urusi lililokuwa CUBA lilipewa ruksa kufanya lolote lenye maslahi kwa Mosow hata kama ni kufyatua nuclear missiles hilo linawezakana kwa kuwa wao walikuwa na intelijensia kujua Waamerika wana plan nini.

Lakini kwa chombo kama Submarine kilicho piga mbizi kwenye kina kirefu si rahisi kujua kinacho endelea bila ya kupitia kwenye mawasiliano ya kielectronic ndani ya maji ya bahari, ndio maana walikuwa wanapewa very strict procedures wasifaye kitu bila ya kupewa amri kutoka Moscow.

Sasa tatizo lililo jitokeza kwenye submarine ya Urusi wakati wa Cuban crisis ni kwamba system ya mawasiliano ya Russian submarine ilikorofisha kwa hiyo crew hawakujua kinacho endelea Duniani kama, je, Urusi imekwisha shambuliwa na missiles za USA au la - sasa crew wakawa wanabishana,je, na wao wajibu mapigo kwa kufyatua ICBM kwenda kushambulia Merikani kama kulipiza kisasi, au? - Crew karibu wote walikubaliana lakini mmoja wao ambaye nafikiri ndiye alikuwa commander aliwakatalia wote - kwamba hatujui kinacho endelea juu ya aridhi ie hatuna mawasiliano, hivyo si busara kufyatua makombora wakati hatuna uhakika kwa kile kinacho endelea - kama nakumbuka vizuri wakati huo kijana huyo alikuwa na miaka kama 30/31 kiumri.

Nadhani alifariki kama miaka kumi iliyopita akiwa anajulikana kama shujaa - tuwe wakweli hapa: Dunia ina wajibu wa kumshukuru kijana huyo kwa kuwa na a very level headed person, bila ya yeye kutumia busara Dunia inge angamia kutokana na miscalculation/accident za masuala ya ushindani kati ya US na Russia kwenye mabom ya thermonuclear.
 
Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.

Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.

Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
Ila wao US ndio wanahaki ya kuweka Kambi za jeshi popote duniani wanapo taka.
 
Nilisha wahi kusikia story na kumuona muhusika mwenyewe akizungumza - sio kweli kwamba submarine zilipewa ruksa kufyatua makombora ya nuclear wakijisikia - procedure ilikuwa ni kwamba submarine zisifanye lolote mpaka wapewe amri kutoka Moscow, lakini hili la kusema jeshi la Urusi lililokuwa CUBA lilipewa ruksa kufanya lolote lenye maslahi kwa Mosow hata kama ni kufyatua nuclear missiles hilo linawezakana kwa kuwa wao walikuwa na intelijensia kujua Waamerika wana plan nini.

Lakini kwa chombo kama Submarine kilicho piga mbizi kwenye kina kirefu si rahisi kujua kinacho endelea bila ya kupitia kwenye mawasiliano ya kielectronic ndani ya maji ya bahari, ndio maana walikuwa wanapewa very strict procedures wasifaye kitu bila ya kupewa amri kutoka Moscow.

Sasa tatizo lililo jitokeza kwenye submarine ya Urusi wakati wa Cuban crisis ni kwamba system ya mawasiliano ya Russian submarine ilikorofisha kwa hiyo crew hawakujua kinacho endelea Duniani kama, je, Urusi imekwisha shambuliwa na missiles za USA au la - sasa crew wakawa wanabishana,je, na wao wajibu mapigo kwa kufyatua ICBM kwenda kushambulia Merikani kama kulipiza kisasi, au? - Crew karibu wote walikubaliana lakini mmoja wao ambaye nafikiri ndiye alikuwa commander aliwakatalia wote - kwamba hatujui kinacho endelea juu ya aridhi ie hatuna mawasiliano, hivyo si busara kufyatua makombora wakati hatuna uhakika kwa kile kinacho endelea - kama nakumbuka vizuri wakati huo kijana huyo alikuwa na miaka kama 30/31 kiumri.

Nadhani alifariki kama miaka kumi iliyopita akiwa anajulikana kama shujaa - tuwe wakweli hapa: Dunia ina wajibu wa kumshukuru kijana huyo kwa kuwa na a very level headed person, bila ya yeye kutumia busara Dunia inge angamia kutokana na miscalculation/accident za masuala ya ushindani kati ya US na Russia kwenye mabom ya thermonuclear.
mkuu walirudije pwani bila mawasiliano?,
 
Mrusi anarusha na makombora ya dummy. Alhamisi Hypersonic alirusha sita tu mengine yalikuwa za kawaida na dummy pia ili kuyazuga makombola ya kujilinda ya adui na alifanikiwa sana. Mrusi ni super power wa kweli kweli Warusi kwa umakini ni zaidi ya Wamarekani.
Hata mimi hili la Warusi kuvurumisha dummy missiles kwanza ili kizisoma air defense systems za Ukraine/NATO kwanza halafu baada ya muda kidogo kinafuata kitu kizito cha kuzitia kiberiti zote - hiyo kitu imeniacha mdomo wazi, sasa sijui NATO/US na kuhadi wao MK254 na mwenzake wako hali gani - tukiwambia Warusi si lelemama wanatuona wendawazimu.
 
Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye unyonyaji wa nchi za Afrika alipopata mikataba

20 ni idadi iliyoonekana hadi sasa ya T14-Armata. Uwanjani hakuna hata 1 iliyofika, nisipokosei. Ukiwa na taarifa tofauti -lete! Pamoja na picha!
Changamoto ya vipuli kinajulikana. Mfano kwenye T-90 (kifaru cha kisasa na bora zaidi kinachopatikana) huzalishwa kwa kutumia darubini ya mzinga aina Sosna-U iliyo na vipuri za Kifaransa. Kwa nini walitumia za Kifaransa? Labda kwa sababu walishindwa kutengeneza ubora sawa kwa idadi ya kutosha? Ila darubini hivyo vinazuiliwa siku hizi. Wanajaribu kutumia vipuri vya Kirusi lakini hivyo havipatikanai bado kwa idadi ya kutosha. Tangu kuanza vita vichache tu vilitoka kiwandani. Jisomee hapa: T-90Ms are appearing on the Eastern front - what is the threat?
Nafikiri kichwa chako ni kigumu kuelewa.ivi kweli chombo cha habari cha magharibi kinawezaje kujua habari za jeshi la Urusi pasipo warusi wenyewe kutoa taarifa.Wikipedia wenyewe awajui mpaka sasa warusi wametengeneza vifaru vingapi.
.mambo ya kiwandani Urusi wewe au vyombo vya magharibi aviwezi kujua kitu
 
Back
Top Bottom