Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu sielewi unapolenga. Leopard zinaanza kufika Ukraine, askari wa Ukraine saa hii wako kwenye mafundisho katika nchi mbalimbali jinsi ya kutumia vifaru vya NATO na karibuni Leopard nyingine pamoja na Challenger na Abrams zitafika uwanjani.
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi apeleke T-14 Armata wakati kuna T-90 M na pia kuna upgrade ya T-80 na T-72 .au ulijui ilo unataka kuelekezwa
 
Unazungumzia mashindano ya utajir wa bajeti au unaxungumzia VITA mkuu...in english "WAR" unafkiri USA anafurahia mabilion yake kuteketea pale Ukra na makamanda wake?

Kwanini asipeleke kikosi kilichommaliza Osama pale kikaondoka ndan ya siku 3? Jibu ni moja..kuna mtu atakua majivu km hiroshima na nagasaki...within 3hrs..na hajuna bajeti inayoweza kuzuia hiyo "ash umbrella"
Achana na vita kiongozi, pale ukra wanafanya testing ya visilaha na vindegendege bob ili wapate masoko watu wapige hela..ni matangazo ya biashara pale, japo yanachukua uhai wa watu

Matajiri wa hizo kampuni za silaha wao hawajali, ni sawa na wauza dawa za kulevya...wanachojali ni pesa imeingia basi..wewe unaekufa kwenye matangazo yao ulisaini mwenyewe kwamba kifo ni haki yako labda uwe umeshastaafu au umefukuzwa kazi..
Pale ni eneo la kujaribia silaha. Hadi Iran ameonyesha anaweza kuuza. Zele ni fala
 
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
Kwa mara ya kwanza kabisa tumeshuhudia F-22 ikiperform first Air to Air combat kwa kuliangamiza puto la wachina(lisilo weza kujilinda) mwaka huu pamoja na kwamba ndege hii iko tayari kwa mapambano toka 1995. Je kwa mfano wako wa T 14 Armata unajaribu kutwambia nini kuhusu hii Air Superiority Fighter kiboko ya maputo
 
Mkuu sielewi unapolenga. Leopard zinaanza kufika Ukraine, askari wa Ukraine saa hii wako kwenye mafundisho katika nchi mbalimbali jinsi ya kutumia vifaru vya NATO na karibuni Leopard nyingine pamoja na Challenger na Abrams zitafika uwanjani.
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
Na iyo taarifa ya kukosa vipuri umeitoa wapi maana tunaona kiwandani vinaendelea kutengenezwa.ebu tuambie iyo taarifa ya kukosa vipuri na idadi kuwa 20 tu umeipata wapi?
 
Kile chuma ni hatari mkuu.kinakufata huko huko kwenye military bunker.bado wanaficha ficha ila muda sio mrefu tutapata ukweli ya list ya majenerali wa Nato waliokuwepo eneo la tukio
20230312_162452.jpg
20230312_162546.jpg
 
The Ukrainian and Russian channels write about the details of what is happening in Moldova:

Sources report that the President of Moldova, Maia Sandu, has postponed for the time being the idea of organizing a provocation and starting a military conflict against Pridnestrovie for one simple reason: the Armed Forces of Ukraine are stuck in the Bakhmut (Artemovsk) meat grinder and suffering huge losses. This is a bad sign.
Sandu promised Zelensky to connect, but now, it seems, she has made amendments or changed her mind, indicating that she will connect only after, or at the moment of, a successful offensive by the Armed Forces of Ukraine.

Now Sandu is busy with three things:

1. preparing for war by importing weapons and "asking"(begging) the West for air defense, etc.

2. Tries to discredit the protests in order to hold on to power.

3. Tries to clean up the information and socio-political fields of the country in order to win the elections.

Many analysts are sure that the Transnistrian case depends on the development of events in the Ukrainian crisis.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Was this Longest range ATGM kill in Ukraine?

Russian Kornet-EM ATGM crew destroy a moving Ukrainian army truck carrying soldiers

Calculated range: 7.6-8km
This is assuming a speed of 300m/s with a 140/170m/s^2 acceleration

They likely used a 9M133F-3 high explosive missile

Mkuu Warusi wasikie kwenye radio na luninga sio vitani hasa wanapo kuwa seriously - nakuhakikishieni hata vifaru vya Ujerumani na Uingereza vita face same music.

Accelaration ya 170 meters per second per second sio mchezo na range ya 8Km ina maana unalipuliwa bila ya kumuona adaui wako - ndio maana US inasita sana kupeleka vifaru vyao Ukraine wanabaki ku-manufacture visingizio chungu mzima eti vifaru vya Abram vitakuwa tayari kwa mapambano labda mpaka mwaka ujao, uongo mtupu, ukweli ni kwamba wanataka ku-buy time tu wakisubiri kuona vifaru vya wajerumani na Waiingereza vitakabilianaje na kipigo cha silaha za Mrusi huko Ukraine.

Vifaru vya Ujerumani na Uiingereza vikichakazwa huko Ukraine nakuhakikishia Mmerikani hatapeleka kifaru hata kimoja huko Ukraine, atakuwa na wasi wasi kwamba nacho kinaweza kikachakazwa tukio hilo likamwaribia sifa ya vifaru vyake Duniani wakati yeye ujifanya zaidi na anataka vile vile kulinda biashara za silaha zake zilizouzwa sana huko Arabuni na kwingineko, sasa zikiwa zinatiwa kiberiti ovyo na silaha za Urusi nani atakuwa na hamu ya kuzinunua - hilo ndilo tatizo lao kuu.
 
Na wewe unamiini jeshi la nato lina uwezo wa kupambana na russia?? Kama iliwachukua miaka 20 kupambana na Taliban na bado nato walikmbia huku mikia wameibana tumboni leo ndio wapigane na dubu?? Hali hautakuwa nzuri kwa lgbtq
Ndio naamini kwamba majshi ya NATO yangefyeka jeshi la Kirusi moja kwa moja. Siyo kama wangelenga kuvamia na kuteka Urusi, hapo nchi hiyo ni kubwa mno. Kutokana na ukubwa uso wa vita ungebadilika na kuhamia vita ya migambo kama Afghanistan. Lakini vita ya jeshi dhidi jeshi - hakuna shaka.
Afghanistan ni kitu tofauti. Urusi ilipigwa Afghanistan wakibana mkia hadi tumboni. Vita ya aina hiyo kama wewe si tayari kuua sehemu kubwa ya wananchi raia huwezi kushinda. Urusi na Marekani wote hawakuwa tayari kufanya hivyo na kiuchumi Afghanistan haikuwa na ahadi ya faida kubwa ya karibuni . . .
 
Yalimpata yepi au unataka kujisifia tu. Russia aliamua kuheshimu makubaliano ambayo US amekuja kuyavunja 2014 kupitia Ukraine. Matokeo yake ndio hii vita inayoendelea Ukraine + NATO against Russia.
Na akimalizana na Ukreine kituo kifuatacha ni kuweka kambi ya kijeshi kwa Fidel (Rip) Huyu changu merikani anataka kututibulia Dunia mwehu kabisa, Mangi nimeandika R.I.P Tarimo.
 
Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye unyonyaji wa nchi za Afrika alipopata mikataba

Ndio naamini kwamba majshi ya NATO yangefyeka jeshi la Kirusi moja kwa moja. Siyo kama wangelenga kuvamia na kuteka Urusi, hapo nchi hiyo ni kubwa mno. Kutokana na ukubwa uso wa vita ungebadilika na kuhamia vita ya migambo kama Afghanistan. Lakini vita ya jeshi dhidi jeshi - hakuna shaka.
Afghanistan ni kitu tofauti. Urusi ilipigwa Afghanistan wakibana mkia hadi tumboni. Vita ya aina hiyo kama wewe si tayari kuua sehemu kubwa ya wananchi raia huwezi kushinda. Urusi na Marekani wote hawakuwa tayari kufanya hivyo na kiuchumi Afghanistan haikuwa na ahadi ya faida kubwa ya karibuni . . .
Kaka/ Dada upo BAKITA nini?! unavyoandika hivi unamkomoa nani?
 
Na pesa Ulaya wanazolipia gesi ya Urusi ndiyo Urusi anazitumia kuwalipa Wagner wanaopigana Ukraine.
Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye unyonyaji wa nchi za Afrika alipopata mikataba
Na iyo taarifa ya kukosa vipuri umeitoa wapi maana tunaona kiwandani vinaendelea kutengenezwa.ebu tuambie iyo taarifa ya kukosa vipuri na idadi kuwa 20 tu umeipata wapi?
20 ni idadi iliyoonekana hadi sasa ya T14-Armata. Uwanjani hakuna hata 1 iliyofika, nisipokosei. Ukiwa na taarifa tofauti -lete! Pamoja na picha!
Changamoto ya vipuli kinajulikana. Mfano kwenye T-90 (kifaru cha kisasa na bora zaidi kinachopatikana) huzalishwa kwa kutumia darubini ya mzinga aina Sosna-U iliyo na vipuri za Kifaransa. Kwa nini walitumia za Kifaransa? Labda kwa sababu walishindwa kutengeneza ubora sawa kwa idadi ya kutosha? Ila darubini hivyo vinazuiliwa siku hizi. Wanajaribu kutumia vipuri vya Kirusi lakini hivyo havipatikanai bado kwa idadi ya kutosha. Tangu kuanza vita vichache tu vilitoka kiwandani. Jisomee hapa: T-90Ms are appearing on the Eastern front - what is the threat?
 
Kwa mara ya kwanza kabisa tumeshuhudia F-22 ikiperform first Air to Air combat kwa kuliangamiza puto la wachina(lisilo weza kujilinda) mwaka huu pamoja na kwamba ndege hii iko tayari kwa mapambano toka 1995. Je kwa mfano wako wa T 14 Armata unajaribu kutwambia nini kuhusu hii Air Superiority Fighter kiboko ya maputo
Silinganishi ndege na vifaru. Isipokuwa F22 iko na Armata haiko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi apeleke T-14 Armata wakati kuna T-90 M na pia kuna upgrade ya T-80 na T-72 .au ulijui ilo unataka kuelekezwa
Mkuu bila shaka wewe u jenerali mkubwa na sisi sote tunasubiri kitabu chako unapoeleza siri za uongozi. Mfano siri ya kutuma vifaaa vingi visivyo na uwezo uwanjani kwanza ili viharibike. Na pia askari wenye mafunzo na utaalamu wa kuendesha vifaru kwanza wafe, ila baada kuharibika kwa vifaru 1000, 2000, elfu ngapi?) utatoa silaha zako nzuri zitakazofyeka maadui.
Utaeleza pia kwa nini unaleta T90 chache tu (bila shaka una akiba kubwa ianyofichwa bado) na badala yake unatafuta T62 zako zisizoliwa na kutu bado na kuzituma uwanjani.
Ilhali sisi tulio wengi hatujaelewa genius hiyo bado, tafadhali utuelimishe!!!
 
Wakuu,

Kwenye pita pita zangu leo, nimejifunza kuhusu, avangard and kinzhal hypersonic weapons.

Hivi ni hypersonic missiles mbili tofauti kabisa:

The Avangard is a Russian hypersonic glide vehicle that can be carried as a MIRV payload by the UR-100UTTKh, R-36M2 and RS-28 Sarmat heavy ICBMs. It can deliver both nuclear and conventional payloads

The Kh-47M2 Kinzhal (in Russian: Х-47М2 Кинжал, "Dagger", NATO reporting name Killjoy) is a Russian nuclear-capable hypersonic air-launched ballistic missile.

Wanasema kwamba jana huko Ukraine, iliyotumika kuwapiga ni Kinzhal hypersonic missiles. Na zilikuwa 6 tu. Zingine ni normal missiles.

Sasa unaweza kuelewa ni kwa nini zilitumika hizo special Kinzhal - ofcoz ni kwa sababu ya commanding centers za NATO.

Hizi Kinzhal missiles ndizo hazifati normal trajectory za physics.
Izo ndizo zinawapa mkong'oto wa maana NATO huko Ukraine. Wala sio stealthy, wanaziona vizuri tu kwenye Radar, ila hakuna wanachoweza kuzifanya.

Russia ali reveal aina tatu ya hypersonic missiles ambazo ziko tayari kuwa deployed kwenye battlefield.

1. Kinzal hypersonic missile. Hizi mara nyingi ni air launch missiles, zinaweza bebwa uvunguni wa Mig 31, au TU- 95 or other bombers. Very deadly. Mmarekani baada ya kushindwa kuunda yake, alianza propaganda kwamba hypersonic missile haiwezi kuwa functional, maana at that speed itacreate msuguAno wa hali ya juu sana na air molecules, na kufanya tip ya kumbora iwe na joto kali sana ...hili joto inapelekea uwepo plasma layer itakayozuia kombora kuwasiliana na command center au kujua target. So haitakuwa na shabaha, ilo lilibaki hivyo mpka juzi command center yao ilivyotunguliwa without a miss. Hajui ni nn kimetokeana msoviet amewezaje kuachieve iyo technology yet kuacha air defences zake uchi wa mnyama.

2. Avanguard hypersonic glide vehicle. Hili sio kombora, ni ka tip tu kanachokuwa mounted tu juu ya ICBM. Mzigo ukitumwa from russia, unatoka kwanza nje ya anga, na kusogea uelekea wa target. Ikifika usawa wa target, hii glide vehicle ndo inakuwa released sasa kwenda kuwasha moto. Its entry mechanism ni kama ilivyo kimondo ka ile kasi inayokuja nayo, but to make things more worse, hii kitu iko highly manuvarable. Yaan target inaweza ikawa pale JK Nyerere airport, ila mzigo ukiwa unakuja utadhani unaelekea usawa wa kigamboni, ila ghafla tu unakuta airport inawaka moto. As we know, kasi ya kimondo haizuiliki.

3. Zircon anti ship hypersonic missile. Hii zircon ndo mwarobaini wa aircraft carriers na destroyers za mwa merika. So far naona hii hajaitest kwenye majahazi ya wa ukraine. Ameamua kuitunza kwaajili ya wa nato.
 
Silinganishi ndege na vifaru. Isipokuwa F22 iko na Armata haiko.
ww unajuaje kama T14 viko 20 tu,,,, Wabongo bwana...yaani ww Mtanzania haijalishi uko eneo lipi...una habari ya kwamba Russia ana aina ipi ya silaha na kwa idadi ipi...!!!.. hv hujionei huruma kweli?...
punguza ujuaji usiokuwa wa msingi bwana..., kama CIA, MI6 na mashirika kibao ya West yenye kila aina ya experties wamefail kumsoma Russia ... kila siku wanaongea hili....kumbe sio...yaani hamna kitu ya maana wanayoiongea ...ila ww ndugu yetu yaani unasimama kabisa na kutupanga kwamba T14 ziko 20...umetoa wapi hii habari..???

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Na pesa Ulaya wanazolipia gesi ya Urusi ndiyo Urusi anazitumia kuwalipa Wagner wanaopigana Ukraine.
Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye uporaji wa nchi za Afrika alipopata mikataba ya ulinzi akiweza kuchukua dhahabu, almasi, mafuta na malighafi nyingine.
Jana alilialia jadharani kwamba hawezi kupiga simu tena moja kwa moja ofisi ya Putin, wamezuia namba yake...
Je kilio hicho anafanya pia kwa kusudi la kupumbaza Waukraine?
Inaonekana viongozi wa jeshi la Kirusi wamechoshwa na huyu Prigozhin . . . .
 
ww unajuaje kama T14 viko 20 tu,,,, Wabongo bwana...yaani ww Mtanzania haijalishi uko eneo lipi...una habari ya kwamba Russia ana aina ipi ya silaha na kwa idadi ipi...!!!.. hv hujionei huruma kweli?...
punguza ujuaji usiokuwa wa msingi bwana..., kama CIA, MI6 na mashirika kibao ya West yenye kila aina ya experties wamefail kumsoma Russia ... kila siku wanaongea hili....kumbe sio...yaani hamna kitu ya maana wanayoiongea ...ila ww ndugu yetu yaani unasimama kabisa na kutupanga kwamba T14 ziko 20...umetoa wapi hii habari..???

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Soma hapo chini. HAdi leo hata T14 Armata moja haikuonekana. Inaonekana jambo hili ni aibu kubwa kwa wizara na kampuni. Nukuu chini huwa na links kwa vyanzo. Mbali na hivyo vifaru vichache vilivyoonyeshwa kwenye paredi (chini ya 10) vingine vinanipa picha ya matangazo tu . . . .
Ukiwa na ushuhuda tofauti (mbali na matangazo) - lete.

In August 2020, the Industry and Trade minister told journalists that the production of 132 Armata-platform tanks and fighting vehicles including T-14 tanks had begun after the resolution of problems with engines and thermal-imaging equipment, and they would be issued to the armed forces in 2021.[20]

In July 2021, Minister of Industry and Trade Denis Manturov said the tank would enter serial production in 2022. However in March, Defence Minister Sergei Shoigu claimed that only “an experimental-industrial” batch of T-14s would be delivered in 2022.[46] In August 2021, Deputy Defense Minister Alexei Krivoruchko said that the Russian Armed Forces would receive 20 T-14 Armata tanks by the end of 2021.[47] On 23 August 2021, a Rostec official said that the company had shipped an unspecified number of T-14 tanks in an "experimental batch" to the Russian Armed Forces.[48] In November 2021, state trials were in progress and expected to be completed in 2022, and a "pilot batch" of twenty tanks was yet to be delivered to the armed forces.[49][50] On 24 December 2021, First Deputy General Director of Rostec Vladimir Artyakov announced, that "serial production" of the T-14 was launched.[5]

On 9 December 2021 MIC First Deputy Chairman Andrei Yelchaninov said that state trials of new ammunition loader for the T-14 should be fully completed in 2022, and that "more than 40" Armata tanks will be delivered to Russian troops after 2023.[21]
(ona: T-14 Armata - Wikipedia)
 
Maana alikuwa na kiherehere sana mwanzoni
Aliekua anamtegemea kagwaya,unadhani yeye atakua na jeuri?
Hebu kumbuka lile kombora lililopogwa Poland,Ukraine alisema Urusi ndio kapiga,USA na wanzake wakasema Urusi hajapiga.hqpa walikua wanakwepa kua Ile sheria ya NATO kua memba mmoja akipigwa NATO wataingiza,Sasa USA akao mmmmm ya Nini matatizo?
 
KunA SHARTI JINGINE LA SOVIET Union lilitekelezwA Marekani nalo ni kwamba silaha za nyuklia za USA/NATO zilizoko Uturuki ziondolewe haraka....Marekani alitekeleza sharti hili pia.
Na kibaya zaidi nilisoma mada moja kua kikosi Cha nyukilia Cha Urusi kilichokuwepo Cuba,kilipewa ruhusa kabisa na serika ya Urusi kua kikiona Kuna kitisho chochote Cha usalama,hakuna haja ya kuomba ruhusa Moscow kutumia silaha za nyukilia.
Kwa kifupi walipewa ruhusa ya kushambulia moja kwa moja bila kupoteza muda wa kuomba idhini kutoka "Red Square"

Kwa kifupi kabisa walipewa license to shoot.
 
Back
Top Bottom