Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakuu,

Kwenye pita pita zangu leo, nimejifunza kuhusu, avangard and kinzhal hypersonic weapons.

Hivi ni hypersonic missiles mbili tofauti kabisa:

The Avangard is a Russian hypersonic glide vehicle that can be carried as a MIRV payload by the UR-100UTTKh, R-36M2 and RS-28 Sarmat heavy ICBMs. It can deliver both nuclear and conventional payloads

The Kh-47M2 Kinzhal (in Russian: Х-47М2 Кинжал, "Dagger", NATO reporting name Killjoy) is a Russian nuclear-capable hypersonic air-launched ballistic missile.

Wanasema kwamba jana huko Ukraine, iliyotumika kuwapiga ni Kinzhal hypersonic missiles. Na zilikuwa 6 tu. Zingine ni normal missiles.

Sasa unaweza kuelewa ni kwa nini zilitumika hizo special Kinzhal - ofcoz ni kwa sababu ya commanding centers za NATO.

Hizi Kinzhal missiles ndizo hazifati normal trajectory za physics.
 
[emoji1189]Norway will provide Ukraine with two more complete NASAMS fire installations in cooperation with the USA, Norwegian Defence Minister Bjorn Arild Gram said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️The US and its allies have frozen more than $58 billion worth of assets owned or controlled by Russian citizens, the US Treasury Department reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kile kichapo cha Juzi Ni Habari tosha kwa Wale Fuata upepo kujua Urusi Inao uwezo wa Kumuua Zele Kama Kuku tu
Yaank Ikiamua Hakuna wakumlinda Labda Mungu pekee Aamue Vinginevyo na Sio Mtu/Mwanadamu au Taifa Fulani.
Kile Kisago cha Juzi Hakijawahi tokea Mpaka sasa NATO Wamechanganyikiwa
 
Kipigo cha Juzi ilikuwa Majibu Kwa Kitendo cha Kufanyika Ugaidi Ndani ya Urusi

Sasa Jiulize Kama Ukrein Atapewa Silaha yakupiga Moscow
Nini Kitamkuta ? Yaani Suala la Ugaidi Majibuyake Wamejinyea Hali ni Tete je Kupiga Moscow?
Tulidanganywa Sana Kuhusu uwezo wa Urusi kijeshi
Huyu ni Habari Nyingine Hafai

MUNGU IBARIKI URUSI
 
Kipigo cha Juzi ilikuwa Majibu Kwa Kitendo cha Kufanyika Ugaidi Ndani ya Urusi

Sasa Jiulize Kama Ukrein Atapewa Silaha yakupiga Moscow
Nini Kitamkuta ? Yaani Suala la Ugaidi Majibuyake Wamejinyea Hali ni Tete je Kupiga Moscow?
Tulidanganywa Sana Kuhusu uwezo wa Urusi kijeshi
Huyu ni Habari Nyingine Hafai

MUNGU IBARIKI URUSI
𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝕀𝔹𝔸ℝ𝕀𝕂𝕀 𝕌ℝ𝕌𝕊𝕀
 
Nakumbuka kale kamsemo ka Putin
"Wanataka kuja kupigana na Sisi Waje kwanza Hatujaweka Maanani kwa kile kinacho Endelea Ukrein"
Yaani mpaka sasa Bado hawajawa Siriasi kivile yaani hawaja Anza wala kuamua Vita
Kipigo cha Juzi Hii Kauli Ndio nimeamini Putin Alimaanisha
Na Kwanini Alisema Vile.

MUNGU IBARIKI URUSI
 
[emoji599]BREAKING[emoji599]Poland has dealt a blow below the belt to Zelensky, according to Express, as Poland now requires Ukrainian refugees to pay for the housing.

THE AUDACITY!

As the counter measure Zelensky has vowed not to hug president Duda anymore.
 
The Tupolev Tu-160 (Russian: Туполев Ту-160 Белый лебедь, romanized: Belyj Lebeď, lit. 'White Swan';[1] NATO reporting name: Blackjack) is a supersonic, variable-sweep wing heavy strategic bomber designed by the Tupolev Design Bureau in the Soviet Union in the 1970s. It is the largest and heaviest Mach 2+ supersonic military aircraft ever built and second to the experimental XB-70 Valkyrie in overall length and top speed. As of 2022, it is the largest and heaviest combat aircraft, the fastest bomber in use and the largest and heaviest variable-sweep wing airplane ever flown.[2]

Tu-160 Belyy Lebed
Tupolev Tu-160 RF-94109.jpg
Tupolev Tu-160 Aleksandr Novikov in flight over Russia, May 2014
RoleSupersonic strategic heavy bomber
National originSoviet Union / Russia
Design groupTupolev
Built byKazan Aircraft Production Association
First flight18 December 1981
IntroductionApril 1987
StatusIn service
Primary usersRussian Aerospace Forces
Soviet Air Forces (historical)
Ukrainian Air Force (historical)
Produced1984–1992, 2002, 2008, 2017, 2021–
Number built36 (9 test and 27 serial)
Entering service in 1987, the Tu-160 was the last strategic bomber designed for the Soviet Union. Following the dissolution of the Soviet Union, the newly independent Ukraine inherited a fleet of 19 Tu-160s, over half of all aircraft in existence at that time. Following protracted negotiations, 11 Ukrainian Tu-160s were purchased by the Russian Federation while the remainder were scrapped in the late 1990s under the Nunn–Lugar Cooperative Threat Reduction agreement. Following these actions, the sole operator of the type is the Russian Air Force's Long Range Aviation branch, which had 16 Tu-160s in service by 2016.[3] The type had its combat debut in November 2015 during the Russian military intervention in the Syrian Civil War, conducting numerous airstrikes using Kh-101 air-launched cruise missiles. Various overseas deployments have been conducted, including to distant nations such as Venezuela and South Africa.

Since the early 2000s, the active fleet has been subject to several upgrades, largely focusing on various electronics systems. The Tu-160M modernization program of existing models begun with the first updated aircraft delivered in December 2014. Plans announced in 2015 called for the delivery of 50 new-build Tu-160Ms as well as the upgrading of 16 existing aircraft.[4][full citation needed] In January 2022, the first serial-built TU-160M made a test flight,[5] with two planned for delivery in 2022[6] from 10 on order.[7][4]




​

RUSSO
 
Walikua wanajifariji tu, Putin akiwaeleza kwamba hii ni SMO sio vita kamili wanakaza vichwa wanasema ni vita kamili, sherehe ya vita kamili ni mfano wa makombora yaliyotumwa jana.

Baada ya kuona silaha za Russia haziishi Pro Ukraine wakaanza kuulizana kwamba Russia ana missiles ngapi zimebaki?

Reporter anasema West walisema Russia anaishiwa high precision missiles lakini zaidi ya miezi 10 mvua ya makombora still inashuka kwenye majiji ya Ukraine.

View attachment 2543318View attachment 2543319
Wanamuuliza nani
Wakati walisema kaishiwaa !!!??
 
Moderator nashauri kwa hivi sasa huu uzi wa mgogoro wa Ukraine na Russia uwekwe ktk thread mbili, uzi wa kwanza uwe wa kulipia na uzi wa pili uwe free kwa wote . Kwa kufanya hivyo itasaidia Thread moja kubaki na vichwa vinavyojua kufanya uchambuzi wa vita na siasa za west na Far East , Yaani Great Thinkers. Na Thread ya pili ibaki na watu wa kawaidi kama kina Proved , MK254 na Kipanya , Yaani Normal Thinkers
Heheee daah
 
Back
Top Bottom