Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 - Sputnik International, 1920, 25.02.2022
.

Russian MoD Releases Footage of British Stormer HVM Air Defense System Being Destroyed​

16 hours ago
In this handout photo taken from video released by Russian Defense Ministry Press Service on Sunday, Sept. 11, 2022, Russian paratroopers are seen on a mission on the Nikolaev-Krivoy Rog direction in Ukraine. - Sputnik International, 1920, 11.03.2023

© AP Photo / Russian Defense Ministry Press Service

The Stormer HVM (High-Velocity Missile) is a short-range air defense system. It can be used as for air defense with semi-automatic laser guidance. It is essentially "invisible" to on-board radar sensors mounted on enemy aircraft and helicopters, since there is no radar station on this air defense system.
On Saturday, the Russian Defense Ministry released footage of a British Stormer HVM air defense system which had been supplied to Kiev being destroyed.
The video includes footage from a UAV of an enemy combat vehicle, footage from a loitering munition guidance camera and the destruction of the Stormer HVM air defense system.

The ministry specified that the enemy combat vehicle was detected by a UAV in the Donetsk direction. After detection, the vehicle was destroyed with high-precision loitering ammunition. The hit was monitored from a UAV.
 
Russia has repeatedly warned that the US and its allies’ military aid to Kiev is only prolonging the Ukrainian conflict.
Russian Defense Ministry Sergey Shoigu has said that NATO's increased arms supplies to the Kiev regime won't bring Ukraine success on the battlefield.

"The support of the Kiev regime by NATO countries does not lead to the success of Ukrainian troops on the battlefield. On the contrary, there is a significant increase in losses among the personnel of the Ukrainian armed forces," Shoigu said at a meeting with the Russian armed forces' leadership on Tuesday.
 
Basi unatakiwa ujue, ukubwa wa dunia hautafutwi kwa njia ya vita, America hawakuipata kwa kumvamia Mexican, Haiti, Canada na majirani wengine

Mrusi alitakiwa asawazishe mahusiano yawe mazuri, kirafiki na yenye kuaminiana na majirani zake, lakini hakuna jirani mwenye mahusiano mema na Urusi apart from Belarus na Chechnya ambao ni mateka wa warusi kiuhalisia

Hitler alitaka ukubwa wa dunia ila sidhani kama aliupata, ukubwa wa dunia ina mambo mengi na siyo vita, nafasi aliyonayo USA ni kubwa sana na mara nyingi anatoa tu order hapigani lkn anasikilizwa sana like Ukraine

Putin hajengi anabomoa, akumbuke USA ni mjanja sana anatumia akili nyingi sana kumdhofisha yule wanao ona kama tishio kwao la ukubwa duniani, Putin angetumia akili bwashee

Putin anatakiwa ajenge kambi kubwa litakalo linda maslahi yake ya ukubwa duniani, kama alivyofanya USA ok, lakini kukurupukia vita anaenda kuaribu bwashee

Naona mrusi atakuwa kambi ya uchina, kulinda maslahi ya ukubwa wa uchina duniani lakini siyo China kuwa kwenye kambi ya kulinda maslahi ya Urusi ya ukubwa duniani ok
Urusi anajitanua kibiashara sahizi, aki commercialize vizuri na mataifa mengine mengi mbona litakuwa taifa kubwa lenye ushawishi tu kama China
 
Bwashee we are in the same boat, clarification uliyotoa hapo ni tosha kabisa..

Na kama umenielewa sijachagua upande ila nilitaka tu huyu jamaa asituhadae kuna mtu yeyote mzuri kwetu kati ya USA na Russia, siye tubaki na ushabiki kama ilivyo siku zote, tukisubiri uelekeo wa upepo twende nao. Ok.

Ndo maana hapo kabla nilitolea mfano nchi za Korea kwamba vibaraka wa USA wataishi maisha ya South Korea kwamba mapambio mengi yatahusu demokrasia lakini USA yeye ndo anajua anafaidikaje....

Na wale vibaraka wa URUSI wataishi maisha ya North Korea kwamba mwamba mmoja anaiamulia nchi yote kila kitu, yaani hakuna demokrasia... Sasa hapo ndo USA anaingiza propaganda kupitia wananchi wako kukuharibia, kama Libya na sasa Iran na Georgia..

And obvious akili ya Vita ya Propaganda kama za USA huwa zinashinda unless uwe na mega-war weapons kushinda Vita kwa SILAHA za moto which Putin is trying to do...
Urusi hapangiagi mtu maisha, tumekuwa na urafiki nao wa enzi na wametupa msaada wa kijeshi sana enzi za mwalimu. Ila sijawahi sikia mrusi akilichimba biti taifa hili kuwa msiponunua silaha kwangu tusijuane 🤣🤣🤣...

Ila ukilia msaada yupo tayari kukupa ndio utaratibu wa braza Urusi. Ila wale wa USA msaada unapewa ila sharti mlane viboga na kujitangaza kwenye mitandao.
 
Ushindwe ku defend then upg mbali si utakuw na kichaa wew
US angekuwa yupo active maana yake angeshusha silaha zote muhimu hata meli zake za kivita zingekuwepo na mifumo yake ya ulinzi ingekuwepo na makombora ya kupiga Moscow yangekuwepo pia wao wanachofanya ni kumpa Ukraine silaha ambazo zitamsaidia kupigana ndani ya mipaka yake.
 
Hahahahahah hatari kwenye lango la NATO sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamepoteana
Sasa BRICS WAMEPATA MEXICO SEHEMU SAHIHI YA KUWEKA KAMBI ZA JESHI [emoji23][emoji23] KUELEKEA USA .....huu utakuwa mchakato pia wa urusi kuirudisha alaska mikononi mwake....NOW AMERICAN USA IS UNDER ARREST[emoji1787]
 
Hahahahahah MEXICO atachimbwa biti la dunia nzima 🤣🤣🤣! Utaskia we see Russia threatens our security in 🇲🇽
 
US angekuwa yupo active maana yake angeshusha silaha zote muhimu hata meli zake za kivita zingekuwepo na mifumo yake ya ulinzi ingekuwepo na makombora ya kupiga Moscow yangekuwepo pia wao wanachofanya ni kumpa Ukraine silaha ambazo zitamsaidia kupigana ndani ya mipaka yake.
Unazn kwann wameshindw kufanya hivyo ?!
Unanifanya hujui sababu
1/us Hana uhakika kama atamuwez Russia [emoji635][emoji635]

2/mrusi anawezo wakufanya maangamiz popote dunian akiw Moscow sasa mwambie tuu USA hakun ulazm yeye alete apo afanye analoweza kama anawez
 
Sasa BRICS WAMEPATA MEXICO SEHEMU SAHIHI YA KUWEKA KAMBI ZA JESHI [emoji23][emoji23] KUELEKEA USA .....huu utakuwa mchakato pia wa urusi kuirudisha alaska mikononi mwake....NOW AMERICAN USA IS UNDER ARREST[emoji1787]

Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.

Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.

Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
 
Unazn kwann wameshindw kufanya hivyo ?!
Unanifanya hujui sababu
1/us Hana uhakika kama atamuwez Russia [emoji635][emoji635]

2/mrusi anawezo wakufanya maangamiz popote dunian akiw Moscow sasa mwambie tuu USA hakun ulazm yeye alete apo afanye analoweza kama anawez
Ushuzi mtupu huu.
 
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
 
Akiba ya mafuta US ya kumzidi urusi anayo toka lini? 🤣
 
Back
Top Bottom