Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.

Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.

Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
Sasa Urusi ndio anaenda kuweka kambi ya kijeshi hapo halafu tuone huyo USA atafanya kitu gani cha maana sababu hata hivyo vikao vyao vya kikuda vya START Treaty Urusi haendi tena.
 
Sasa Urusi ndio anaenda kuweka kambi ya kijeshi hapo halafu tuone huyo USA atafanya kitu gani cha maana sababu hata hivyo vikao vyao vya kikuda vya START Treaty Urusi haendi tena.

Hakuna nchi yyt iliyo karibu na USA itamkaribisha Russia aweke kituo cha kijeshi.
Yaliyo mpata Cuba 1960’s itakua mara 100.
Tuache porojo
 
Hii mada tungekuwa tuna shusha nondo wengi wangejifunza sana LKN imekua mada ya US vs udini sababu eti US inachukia uislam
Russia huyu was very overrated
Russia sio kuwa ni overrated ila Russia sio mpenda ugomvi japo anauweza yani ukianzisha moto wake sio wa kitoto na huwa hawaogopi kufa hadi malengo ya kukumaliza yatimie.

USA mnamshabikia kama bahasha wenu vile ila hana silaha za kumtisha Mrusi. 🤣🤣🤣
 
Hakuna nchi yyt iliyo karibu na USA itamkaribisha Russia aweke kituo cha kijeshi.
Yaliyo mpata Cuba 1960’s itakua mara 100.
Tuache porojo
Yalimpata yepi au unataka kujisifia tu. Russia aliamua kuheshimu makubaliano ambayo US amekuja kuyavunja 2014 kupitia Ukraine. Matokeo yake ndio hii vita inayoendelea Ukraine + NATO against Russia.
 
Russia sio kuwa ni overrated ila Russia sio mpenda ugomvi japo anauweza yani ukianzisha moto wake sio wa kitoto na huwa hawaogopi kufa hadi malengo ya kukumaliza yatimie.

USA mnamshabikia kama bahasha wenu vile ila hana silaha za kumtisha Mrusi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Fanya tafiti hizi mbili pls:
US bajeti yake ya kijeshi ni % ngapi ya bajeti zote za majeshi duniani?
Kwenye vifaa vya kisasa kama ndege na vifaru na monowari,USA ana comprise % ngapi ya vifaa vyote duniani

Kuna manowari ngapi zilizo commissioned duniani na za US ni ngapi?
 
Kaa kwa adabu abram anaogopa kupeleka na silaha alizopeleka ipi imemshinda Russia zote zimechomwa US Ni ubwabwa.
 
Yalimpata yepi au unataka kujisifia tu. Russia aliamua kuheshimu makubaliano ambayo US amekuja kuyavunja 2014 kupitia Ukraine. Matokeo yake ndio hii vita inayoendelea Ukraine + NATO against Russia.

Hapana mkuu.
Wacuba wenyewe walimuambia Castro kama waondoe Russia tumechoka na dhahama!
‘Bay of Pigs invasion’ haikua kitu cha masihara hata kidogo
 
Kaa kwa adabu abram anaogopa kupeleka na silaha alizopeleka ipi imemshinda Russia zote zimechomwa US Ni ubwabwa.

Mwaka unaenda wa pili sasa hujamaliza vita ambavyo hutakiwi usafiri sana?
Russia has been exposed bigtimes
Hamna kitu mule maneno tu
 
Kubweka kwa mbwa koko hakuzuii msafara wa werevu.
Screenshot_20230312-074836_Samsung Internet.jpg
 
West wanaendelea kuaibishwa kuhusiana na ubora wa silaha + air defense systems

Kwa mujibu wa hii SMO nchi nyingi zitaanza ku lose confidence against USA weapons

Sasa kama zelensky ameweka ma air defense systems ya kutosha ......lkn bado yamepigwa moto Dunia Ina pata majibu sahihi juu ya uwezo wa haya madude

Ushauri ...USA watume jeshi ....coz nothing to lose

Slava Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]
 
Mkuu nazan ujafatilia chat vzr ila namaansh USA bado hana uhakik juu ya uwezo wa mrusi kuw akipgn nae yeye anawezo wa kushnd kwa 80%
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
 
Urusi hapangiagi mtu maisha, tumekuwa na urafiki nao wa enzi na wametupa msaada wa kijeshi sana enzi za mwalimu. Ila sijawahi sikia mrusi akilichimba biti taifa hili kuwa msiponunua silaha kwangu tusijuane 🤣🤣🤣...

Ila ukilia msaada yupo tayari kukupa ndio utaratibu wa braza Urusi. Ila wale wa USA msaada unapewa ila sharti mlane viboga na kujitangaza kwenye mitandao.
Atapangaje wakati bado anapambana kumfikia mbabe, mbabe ndiye anaye wapangia majike bwashee
 
Hakuna anachokielewa kuhusu Cuba missile crisis.mwambie akasome alafu arudi tena.

Kwa ufupi tu Marekani alitaka kuivamia Cuba ila kumbe alikuwa kashachelewa,Warusi walikuwa washafika Cuba wakiwa na Nuclear.ikabidi Marekani awe mpole arudi nyuma.

Warusi wakatoa masharti kuwa ili wao waondoke basi Marekani akubali kutoivamia Cuba katika maisha yake yote.Marekani wakakubali ndo Urusi akaondoka.

Mbona Urusi ana wanajeshi wake Venezuela na mpaka leo Marekani akuna alichokifanya.au ajui kuwa Venezuela na Marekani wapo karibu
 
Mwaka unaenda wa pili sasa hujamaliza vita ambavyo hutakiwi usafiri sana?
Russia has been exposed bigtimes
Hamna kitu mule maneno tu
Uwoni aibu hata kuandika.yani mataifa yote yameungana kwa sababu ya mtu mmoja ila bado anawatoa jasho.

Mmeweka vikwazo vya kila aina, mmepeleka silaha za kila aina na wanajeshi wa kila aina ila bado mmechemka.
 
Back
Top Bottom