Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii vita nato akijitoa inaisha tu kesho yake. Anayefanya wstu wafe ni usa ambaye anatoa misaada ya silaha kila siku
wew jiangalie kichwan vzur , anaua Urusi unaona ni sawa Urusi kuua ila anaesaidia watu wajilinde ndo tumlaumu , umekula kwel mwenzetu? mbona km hamnazo
 
Watu wamefika sehemu na kusema kiongozi wa Russia ni kati ya wale AntiChrist yeye kumwaga damu za watu ndio furaha kwake, akiangalia kwenye Tv watu wanavyokufa pale Ukraine kwa mashambulizi ya Kinzhal missiles an Shahed anacheka sana na kujiona yeye ni mwamba wa Karne hii, nakumbuka kuna kauli moja alipata kuisema kwamba yeye kazi yake ni Kuua wakakutane na hukumu huko juu.

Baada ya kumwaga damu za watu Ukraine na kuona hazitoshi hatimaye Jamaa ameelekea pale Georgia na kuwapiga biti kinachoendelea Ukraine na wawo watakipata soon hili limekuja baada ya wananchi wa Georgia kupinga sera zilizoletwa na mapandikizi ya Klemlin sera ya kuwagandamiza Wageorgia hili lilipelekea raia wa Georgia kuingia kitaa bila kujali maji ya washawasha wala mabomu ya machozi hatimaye nguvu ya umma ilishinda na muswada kuchomolewa bungeni.

Wageorgia wamekataa kuwa mateka wa mrusi kama Belarus and Chechnya ambao wamekubali kuongozwa na rimoti toka Kremlin wamekubali kuwa mateka wa Mrusi, walichokipigania Georgia ndicho wanachokipigania Ukraine kwani hata kwenye maandamano walikua wanapiga wimbo wa Taifa wa Ukraine

Georgia wanakumbuka Vita mbaya ya Russo-Georgian war ambapo mrusi alivamia na kuwaua raia wengi wasiokua na hatia mwaka 2008 na kuliteka eneo la Ossetia kumbe basi hii ndio tabia ya Urusi nchi inayoaamini katika ubabe na vita, wao damu ya mtu sio chochote sio kitu.

Russia watambue watu wa vizazi hivi wanajielewa na sio kuwatisha na vifaru vyake vya Kisoviet.
View attachment 2545712
Putin. Must die for God sake
 
Vita ya Congo imeshaua wangapi? Nani yupo nyuma ya hayo mauaji?

USA anafanya Mazoezi na South Korea kuchochea Vita na North Korea..

USA anamuuzia Taiwan silaha kuchochea Vita na China..

USA anataka wote tuwe vibaraka wake ili Dola yake iendelee kuwa na nguvu...

Hiyo ni VITA ya wanaogombea UKUBWA wa Dunia kwahiyo hakuna wa kumtetea zaidi ya kuwa mtazamaji na kwenda na yule mshindi wa jumla...
kiufupi kote umepataja Marekan hajamvami mtu kuforce ushirika ni wao wanataka ushirika na USA
 
Unapoongelea Mpinga Christo lazima Ujue nani Yupo upande wa Christo.....JE MAREKANI yupo UPANDE UPI?? wachochezi wa VITA hawa wanakaa upande upi!!!
Shetani ni baba wa Mauaji na yeye anayeshiriki kazi ya Mauaji anamjua baba yake MAREKANI anashiriki pia katika mauaji kwa kupeleka Silaha Ukraine ambazo Zinaua watu kule donest kila siku........(Mrusi na Ukraine wangeishi kwa amani na upendo bila Marekani kuwafanya wagombane)
Hawa watu wangeweza kupendana sana BILA MAREKANI
ko ulitaka Ukraine iachwe itekwe ? vichaah weng sn
 
Kwa Nini NATO hawabebi makaratasi yaliyojaa neno amani,wanapeleka siraha?
jeshi la Urusi lipo kyiev , na kasema hataki kuingiliwa kweny SMO bila kusahau dunia ilimuacha aimeze Moldova miaka ya 1990s pia kupora jimbo la Ossetia ya Georgia 2008 pia Crimea ya ukraine 2014 , ulitaka Dunia sio NATO ikae kimya isitoe msaada wowote , imagie Tz ingevamiwa na dunia ingekaa kimya , ungejisikiaj ? ndio maana Panya road wanavamia majiran zenu nyiny mnachungulia madirishan , siwashangai wanaowaitaga majina ya wanyama pori , NYAMBAFUUUU
 
Sio Russia tu hata Israel na Marekani nao furaha yao ni kumwaga damu za watu. Last week wameuawa wapalestna kibao lakini kwa sababu mpalestina sio binadamu kama mu-ukraine basi kelele sio nyingi.
Hata tetemeko liliipiga turkey na syria ila anayezungumzwa sana ni turkey kwa sababu wasyria hata sio binadamu kivile.
nan anaanzaga mvaia mwenzie kati ya Palestina na Israel ? je lin Israel iliwai ivamia Urusi , jifunze kutumia akili na mahaba
 
Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.

Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.

Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama

Walishindwa Venezuela wataweza Mexico.??
 
Bila shaka USA atakuwa wa kwanza ktk kundi wanofurahia umwagikaji wa damu dunian, IS ni kundi lilianzishwa na usa + nato, bokoharam pia kundi lao, haya uje libya, iraq, afghn N.k. pia mauaji ya wapalestina miaka yote yana baraka zao hao mbwa koko
una ushaidi au story za vijiwen ? udaku ndo unaliua bara la afrika , watu hampend ukwel na hampend kuongea kwa facts
 
Hawezi jitoa sabab analinda usalama wa nchi yake, nato na usa ndo wachokozi kwa kuvunja mkataba wa wao kutojipanua kuelekea kwa dubu
Brainles , Kwann Majiran wa Urusi wakimbilie West , pili Ukraine hata hajatuma maombi yoyote ya kujiunga na NATO bali katuma maombi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya pili Ukraine alisaini mikataba na USSR na sio URUSI , Elewa
 
Bila shaka hata wew hufurahia kuona asa na nato wakimwaga dam kila pembe ya dunia
jichunguze akili , Kapost mauaji ya urusi wal hajaweka msimamo wake dhidi ya west / NATO , jifunzen kulimit mawenge , jikite kweny mada husika , hiki kizaz cha Kiba vs Mond ni ushuz mtupu OP nying
 
Fanya tafiti hizi mbili pls:
US bajeti yake ya kijeshi ni % ngapi ya bajeti zote za majeshi duniani?
Kwenye vifaa vya kisasa kama ndege na vifaru na monowari,USA ana comprise % ngapi ya vifaa vyote duniani

Kuna manowari ngapi zilizo commissioned duniani na za US ni ngapi?

Kuwa na bajeti kubwa sio kuwa na jeshi au vifaa imara. US ana kambi za jeshi ngapi hapa duniani?? Unafikiri bajet yake itakua sawa na Russia??. Wake up acha upimbi. Marekani wamekiri Russia anasilaha kali za maangamizi kuliko nchi yoyote duniani.

Vifaru vya kisasa unazungumzia Abram?? Ndege unazungumzia hizi F-35? Au kuna zingine??. US kafanikiwa kuwalisha sana Propaganda. US ni mweupe sana kwenye sector ya masuala ya vita, Russia amemwacha mbali sana.

Marekani aendelee na Agenda zake za LGBTQ huku kwenye vita kushamshinda.
 
USA ndio kila kitu yy anataka mataifa mengine yauwane ili yy aendelee kuwa super power.
kwan yeye anawashikisha silaha muuane si wenyew mnangia kweny black market mnanunua silaha mnakuja kuuana , UNAFIKI utatumaliza wafrika , Somalia walipigana wenyew kwa wenyew halaf lawama kwa wazungu , Geita 2012 waislam na wakristu walipigana najua kuna mijinga haichelew kulaumu wazung , pia Boko haram wanaua waafrika kwa kuipigania dini ya waarabu hatuon viongoz wa dini husika kukemea ila lawama kwa wazungu , Afrika ya kati pia vita ya kidini sasa hv unaelekea kuwa vita ya kisiasa pia lawama kwa wazungu pia Ethiopia swala la kukaa na kuhakikisha kila mmoja anaridhika na makubaliano wakaanza ndondi lawama kwa wazungu ( serikali ya Ethiopia iliferi kufanya maamuz bila mkutano na serikali za majimbo though siwakubalk TPLF ila wametumia mwanya sahihi ) , pia Suda Kusin tamaa ya madaraka najua lawama kwa wazungu pia , Liberia na Sierra Leon tawala zilijikuta miungu watu dhidi ya umma na upinzan walipoingia kweny uringo pia watu wanatupa lawama kwa mzungu , Libyia rais alihisi kiti kile cha bibi ake na akaanza anaandaa njia kwa mtoto wake watu walipoandamana akatumia silaha za moto akaua mtu mmoja jamii zote za kiarabu zikaja juu vikund vikazaliwa vita ikaanza ila wajinga wanatupa lawama kwa mzungu ( ila yule mvaa kipedo angejiuzur huenda libya isingefika hapa leo ila uroho wake wa madaraka na kujibadili vyeo mara mimi sio rais ni kiongoz wakidini et libyia haina rais inaongozwa kidini ila ilifika muda watu walitaka mabadiliko ila yeye hataki ngoja tutupe lawama kwa mzungu ) pia Sadam alikuwa tishio kwa majiran akiivamia Iran na Kuwait waarabu waliomba msaada wq kumuangusha Sadam wakasaidiwa ila leo lawama kwa mzungu , pia Msumbiji jimbo la kaskazin lililotelekezwa ( kama wilaya ya Temeke inaanza kumbukwa sasa hv ) waharifu wanajipenyeza na kulitumia kiharifu ila lawama kwa mzungu , NI KITU GANI KIMETOKEA BILA MZUNGU KUHUSIKA JE NAN ALIRATIBU BIASHARA YA UTUMWA NI MZUNGU?
 
Back
Top Bottom