Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Wewe ndo unaandika porojo tu.. unaandika hata huelewi..watu kibao humu waliishaandika why budget ya US ya kijeshi ni kubwa...Ukubwa wa budget haumaanishi ndo mafanikio ulingoni...
Hivyo vilivyobaki Russia anavyo...Russia na US ndo mataifa pekee ambayo yanaweza fanya MAD:Mutually Assured Destruction kwa nchi yoyote..hata zenyewe kwa zenyewe...Unajua WMD:Weapons of Mass Destructions??Haya mataifa mawili yakitaka kufanya mauaji ya Halaiki...ni kitu cha sekunde tu...
 
nan anaanzaga mvaia mwenzie kati ya Palestina na Israel ? je lin Israel iliwai ivamia Urusi , jifunze kutumia akili na mahaba
Ungefuatilia ungejua, kuna sehemu nimtaje Israel kavamia Russia. Israel last week kaingia kwenye makambi ya wapalestina na kuwaua kwa sababu huna mahaba huwezi kuliona hilo kwa sababu Wapalestina hata sio watu kivile au sio.
 
Hakuna anachokielewa kuhusu Cuba missile crisis.mwambie akasome alafu arudi tena.

Kwa ufupi tu Marekani alitaka kuivamia Cuba ila kumbe alikuwa kashachelewa,Warusi walikuwa washafika Cuba wakiwa na Nuclear.ikabidi Marekani awe mpole arudi nyuma.

Warusi wakatoa masharti kuwa ili wao waondoke basi Marekani akubali kutoivamia Cuba katika maisha yake yote.Marekani wakakubali ndo Urusi akaondoka.


Mbona Urusi ana wanajeshi wake Venezuela na mpaka leo Marekani akuna alichokifanya.au ajui kuwa Venezuela na Marekani wapo karibu
Huwa sielewi kwa nini story ya Cuban crisis inakuwaga grossly misinterpreted - ni hivi: Warusi walijenga missiles erectors na silos huko Cuba baada ya kupata taarifa za kintelligensia kwamba Amerika amekwisha jenga infrastructures za ki-launch missiles nchini Turkey na Italy - kutoelewana kwa US na Russia kulianzia hapo.

American airforce walijaribu kurusha ndege za kipelelezi za kisasa type U-2 kwa nyakati tofauti na zote zikatunguliwa na AD system nchini Cuba na marubani wakapoteza maisha - incident hizo zilibaki siri nchini Merikani hata familia za marubani walielezwa mambo tofauti kabisa - juzi juzi hapa ndio Amerika ilikubali kwamba ni kweli ndege zao za U-2 zilitunguliwa huko kwenye anga la Cuban lakini Amerika ikamezea tu bila yakuchukua hatua yoyote dhidi ya Cuba au Urusi

Cha ajabu Kennedy alipo kuwa yupo mbele ya vyombo vya habari nchini humo anafanya maiigizo ya kufoka foka na kujifanya atawapa fundisho Warusi, kumbe ulaghai mtupu meant for domestic consumption ili raia wa Amerika wamuone Kennedy ndiye mwarobaini wa kuwakomesha Warusi/Wakominisiti - kumbee!!

Ni rais wa Urusi bwana Kruschev ndie alitoa masharti ya kumaliza mgogoro wa Cuban Crisis, binafsi niliwahi kusoma telegramm ambayo Kruschev alimtumia Kennedy na Kennedy ali comply to the letter masharti ya Kruschev kama ifuatavyo:-

*Kitu cha kwanza alisema: Amerika iondoe kwanza missiles zake huko Italy na Turkey zinayo lenga Taifa la Urusi.

*La pili: Alisema Amerika ikome kumtishia tishia Castro maisha na kutishia kuivamia Cuba.

*La tatu: Alisema US hiachane na tabia zake ya kitishia tishia some Soviet Republics au kuwashurtisha waasi muungano wa Kisoviet.

*La nne alipendekeza kuanzisha hot line baina ya White House na Kremlin ili ma rais wa Urusi na USA wawe na mawasiliano ya moja kwa moja 24x7 kudhibiti usnzisheaji wa vita ya nuclear by accident or miscalculation.

Kennedy alipo kubaliana na masharti ya Krushchev ndio na Urusi ikaondoa missiles zake nchini Cuba, cha ajabu media za Amerika zinazungumza mambo mengine tofauti kabisa na baadhi ya watu wana amini ulaghai huo bila ya kujua undani wa nini kilisababisa mgogoro huo in the first place.
 
Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.

Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.

Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
Yani wewe ni mpumbafuu kweli kweli usifananisha BRICS NA VITU VYA KIPUMBAVU,
BRICS ni jidubwana la kutisha sana hata urusi na china wenyewe walio lianzisha wanaliogopa USA GANI HIYO YA KUMTISHA MWANACHAMA WA BRICS ? tatizo lenu nyinyi watu wa Facebook akili zenu zipo kwenye makario ya wanawake kule facebook
 
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Wewe tumia akili ...mambo ya bajeti yanatumika kwenye vita vya mchangani aka ndondo cup siyo vita vya majayanti....kama bajeti ni pesa na mali ulizonazo basi kwenye vita vikubwa vyote hivyo vina tiwa moto wa mabomu tu bank zinapigwa mabomu na misingi ya uchumi inapigwa mabomu na kuwa majivu
 
Unazungumzia mashindano ya utajir wa bajeti au unaxungumzia VITA mkuu...in english "WAR" unafkiri USA anafurahia mabilion yake kuteketea pale Ukra na makamanda wake?

Kwanini asipeleke kikosi kilichommaliza Osama pale kikaondoka ndan ya siku 3? Jibu ni moja..kuna mtu atakua majivu km hiroshima na nagasaki...within 3hrs..na hajuna bajeti inayoweza kuzuia hiyo "ash umbrella"
Achana na vita kiongozi, pale ukra wanafanya testing ya visilaha na vindegendege bob ili wapate masoko watu wapige hela..ni matangazo ya biashara pale, japo yanachukua uhai wa watu

Matajiri wa hizo kampuni za silaha wao hawajali, ni sawa na wauza dawa za kulevya...wanachojali ni pesa imeingia basi..wewe unaekufa kwenye matangazo yao ulisaini mwenyewe kwamba kifo ni haki yako labda uwe umeshastaafu au umefukuzwa kazi..
Ajui kuwa kwenye vita kubwa bajeti ni 0 ....nuke moja tu ikipigwa new york uchumi wa new york unageuka 0
 
Ungefuatilia ungejua, kuna sehemu nimtaje Israel kavamia Russia. Israel last week kaingia kwenye makambi ya wapalestina na kuwaua kwa sababu huna mahaba huwezi kuliona hilo kwa sababu Wapalestina hata sio watu kivile au sio.
nmekuuliza nan huwa anaanza kuwapiga wenzie ? au unataka Palestina( Hamas ) akipiga Israel , Israel atulie tu ? ndio maana nmekuuliza lin israel kaishambulia Urusi maana Urusi hajawai ishambulia Israel , kwako ni Sawa Urus kuvamia Ukraine ila sio sawa Ukraine kujilinda pia ni sawa Palestina ( Hamas ) kushambulia Israel ila sio sawa Israel kujibu ? Ni sawa Iran kusaidia ugaidi mlangon mwa Israel ila sio sawa Israel kuwajibj Iran walipojificha huko Syria ? Tatizo lako unachagua cha kutunza kichwan , haujabalance information na hutokuwa na solution sabab huna balance ya understanding ya information
 

New Russian Hypersonic Air To Air Missile deployed in Ukraine makes all US Bombers/AWACs obsolete​

You won’t even see it and you’re dead.

March 11, 2023


new.jpg


The new Russian R-37M air-to-air missile has shown the highest combat effectiveness during its use as part of Russia’s special military operation in Ukraine, an informed source told Sputnik.
“The R-37M missile has demonstrated the greatest efficiency during the special military operation. When the missile was used, the probability of hitting targets close to one was recorded – that is, one missile is enough for one Ukrainian military aircraft,” the source said.
The source added that the R-37M has been used against various Ukrainian air targets and has been launched from Russian Su-35S multi-role fighters, the MiG-31BM interceptor aircraft, as well as the fifth generation Su-57 fighters.
“R-37M missiles have shot down Ukrainian Su-27 and MiG-29 fighters, Su-25 attack aircraft, Su-24M front-line bombers, low-flying helicopters and various drones, including Bayraktars,” the source told Sputnik.
“At the same time, the missile has demonstrated high efficiency in hitting targets, maneuvering with a large overload.”
The source emphasized that the new Russian R-37M missile has unique characteristics for an air-to-air missile in terms of range, speed, as well as the speed and altitude range of the targets being hit.

The maximum launch range of the R-37M is about 300 kilometers (186 miles); the altitude of potential targets is between 30 meters (98 feet) and 25 kilometers, while the missile’s maximum flight speed is six times the speed of sound, which basically makes it hypersonic.

JEA: Russia Obviously continues to humiliate New World Order Agents and their Zionist/Jewish Neocon Lackeys


See full details here👇

R-37 (missile)​


The Vympel R-37 (NATO reporting name: AA-13 "Axehead")[1] is a Russian hypersonic air-to-air missile with very long range. The missile and its variants also had the names K-37, izdeliye 610 and RVV-BD (Ракета Воздух-Воздух Большой Дальности (Raketa Vozduh-Vozduh Bolshoy Dalnosti), "Long range air-to-air missile"), and the NATO codenames "Axehead" and "Andi".[2] It was developed from the
R-33.
Vympel R-37M
NATO reporting name: AA-13
MAKS Airshow 2013 (Ramenskoye Airport, Russia) (524-21).jpg
R-37M at 2013 MAKS Airshow
TypeLong range, air-to-air BVR missile
Place of originRussia
In service2019
Used byRussian Air Force
DesignerTactical Missiles Corporation
Designed1980s
ManufacturerVympel MKB
Produced1985
VariantsR-37M
Mass600 kilograms (1,320 lb)
Length4.20 metres (13 ft 9 in)
Diameter38 centimetres (15 in)
WarheadHE, fragmenting
Warhead weight60 kg (135 lb)

Wingspan0.7 m (2 ft 4 in)
PropellantBoost-Sustain Solid Rocket
Operational
range
150–398 km [1]
Maximum speedMach 5 – Mach 6 (6,100–7,400 km/h; 3,800–4,600 mph)
Guidance
system
Inertial with mid-course update, semi-active and active radar homing
It is designed to shoot down tankers, AWACS and other C4ISTAR aircraft[1] while keeping the launch platform out of range of any fighters that might be protecting the target.
According to Janes there are two variants, the R-37 and the R-37M; the latter conceived as having a jettisonable rocket booster that increases the range to "300–400 km" (160–220 nm).[2]

​

 
Kwa hiyo Wagner wanapigana bure!? Yaani Pmc mamluki wapigane bure!?

Maneno ya prigo hayaendani na uhalisia. Inategemea kama wewe unataka maneno au unashawishika zaidi na uhalisia.

Uhalisia ni Wagner kuendelea kupiga hatua mbele Bakhmut. Maneno ni Wagner wanaishiwa risasi. Je, Wagner wanasonga mbele dhidi majeshi yaliyojizatiti ya Ukraine bila kutumia risasi!? Uchawi ulioje wa Prigo huu. Na iweje Ukraine anaesaidiwa risasi na nchi 30 na zaidi ashindwe na mamluki wasio na mafunzo tena wanaoishiwa risasi tayri!?

Kalagabaho
Mkuu Prigozhin ana pesa nyingi. Alianza mwenyewe kama mwizi gerezani alipotoka alianzisha biashara ya upishi na catering akabahatika kumfanyia kazi Putin mwenyewe akawa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alitumia nafasi kujitajirisha leo ni bilionea. Tangu 2013 alianza kuwekeza katika kampuni ya Wagner hadi kuwa mwenye Wagner.
Katika kampeni zake Afrika aliweza kupora mali nyingi maana alipatana alipiwe kwa nafasi ya kubeba madini zenye thamani.
Ukiamini kweli analenga kupumbaza Waukraine kwa kilio chake kuhusu risasi - basi uamini tu! Ila Waukraine si wapumbavu. Kilio chake cha juzi ni:sasa hawezi kumpigia simu Putin wala ofisi yake, walizuia simu yake. Kwa kilio hicho anataka kupumbaza nani???
Ni dhahiri wanajeshi wengi wa Urusi wamechoka jinsi alivyojipigia debe na kudai yeye ni kamanda bora ..
 
Urusi hapangiagi mtu maisha, tumekuwa na urafiki nao wa enzi na wametupa msaada wa kijeshi sana enzi za mwalimu. Ila sijawahi sikia mrusi akilichimba biti taifa hili kuwa msiponunua silaha kwangu tusijuane 🤣🤣🤣...

Ila ukilia msaada yupo tayari kukupa ndio utaratibu wa braza Urusi. Ila wale wa USA msaada unapewa ila sharti mlane viboga na kujitangaza kwenye mitandao.
😂😂😂 USA aisee anataka matundu yote ya mwili yatumike 🤣🤣🤣...

Naona jirani zetu Kenya pole pole washauanza mwendo wanaelekea walipo South Africa, baada ya kama miaka 5 mpaka 10 yawezekana wakahalalisha mpaka na ndoa kabisa...
 
Mkuu Prigozhin ana pesa nyingi. Alianza mwenyewe kama mwizi gerezani alipotoka alianzisha biashara ya upishi na catering akabahatika kumfanyia kazi Putin mwenyewe akawa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alitumia nafasi kujitajirisha leo ni bilionea. Tangu 2013 alianza kuwekeza katika kampuni ya Wagner hadi kuwa mwenye Wagner.
Katika kampeni zake Afrika aliweza kupora mali nyingi maana alipatana alipiwe kwa nafasi ya kubeba madini zenye thamani.
Ukiamini kweli analenga kupumbaza Waukraine kwa kilio chake kuhusu risasi - basi uamini tu! Ila Waukraine si wapumbavu. Kilio chake cha juzi ni:sasa hawezi kumpigia simu Putin wala ofisi yake, walizuia simu yake. Kwa kilio hicho anataka kupumbaza nani???
Ni dhahiri wanajeshi wengi wa Urusi wamechoka jinsi alivyojipigia debe na kudai yeye ni kamanda bora ..
Wewe haya yote umeyajulia wapi!! Au wewe mwenzetu ni member wa inner circle ya Rais Putin??
 
Back
Top Bottom