Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298] russian forces continue to suffer extremely heavy losses in Ukraine during their full-scale aggression against the country.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255]From February 24, 2022 to March 12, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 159,090 russian military personnel, including 1,090 soldiers over the past day.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu je una mashaka kwamba jeshi la Urusi lingeshapigwa kabisa kama lingepambana na vikosi vya NATO yenyewe? Kwa sasa tunaona tu jinsi gani jeshi kubwa la Urusi linajitahidi kushika mita chache hapa na pale dhidi ya jeshi la ukraine ambalo ni ndogo zaidi. Pia jeshi la Ukraine kimsingi hutumia silaha za kale za kisovyeti, pamoja na mifumo kadhaa ya silaha za kisasa kutoka NATO. Lakini bila askari au vikosi vya NATO, na bila kupewa silaha bora za NATO.

Kabla ya uvamizi watu wote waliamini Urusi ina jeshi la kutisha likiwa ni jeshi lenye uwezo mkubwa. Imani hiyo imepotea.
Ndiyo, nchi za NATO zinasaidia Ukraine lakini hazipigi Urusi. Hata wanatuma pesa nyingi Urusi kwa kununua mafuta na gesi yake hadi leo. Na Urusi inawauzia mafuta wanayohitaji kuendesha viwanda vyao, pamoja na viwanda vya kuzalisha silaha zinazotumwa Ukraine.
Unaweza kusema ni ajabu, au kichaa, ila hivyo ndivyo dunia yetu.
Ila nchi za NATO hazikuanza kupiga Urusi. Hali ingekuwa tofauti sana.
Na tukumbuke nani alianza kushambulia maeneo ya nchi nyingine.
Na wewe unamiini jeshi la nato lina uwezo wa kupambana na russia?? Kama iliwachukua miaka 20 kupambana na Taliban na bado nato walikmbia huku mikia wameibana tumboni leo ndio wapigane na dubu?? Hali hautakuwa nzuri kwa lgbtq
 
Wewe ndo unaandika porojo tu.. unaandika hata huelewi..watu kibao humu waliishaandika why budget ya US ya kijeshi ni kubwa...Ukubwa wa budget haumaanishi ndo mafanikio ulingoni...
Hivyo vilivyobaki Russia anavyo...Russia na US ndo mataifa pekee ambayo yanaweza fanya MAD:Mutually Assured Destruction kwa nchi yoyote..hata zenyewe kwa zenyewe...Unajua WMD:Weapons of Mass Destructions??Haya mataifa mawili yakitaka kufanya mauaji ya Halaiki...ni kitu cha sekunde tu...
Mwaga darasa, mwaga darasa,mwaga darasa,watu wamelemazwa na Hollywood movies.
 
Hivi ukiweka mayai uliyonayo yoote kwenye kapu moja ukiwa unaenda sokoni, then ukajikwaa kinatokea nn? Wee unafikiri usa hana abram za kupeleka ukrain? Au german hana leopad za kushato kuzishindilia huko ndichi kwenye kamserereko? Au unahis UK hana chalenja za kucheza rede pale ndichi kwa zeleboy? Ukiliwaza hilo utaelew kwann huzion hzo T armata cjui avangrd
Mkuu sielewi unapolenga. Leopard zinaanza kufika Ukraine, askari wa Ukraine saa hii wako kwenye mafundisho katika nchi mbalimbali jinsi ya kutumia vifaru vya NATO na karibuni Leopard nyingine pamoja na Challenger na Abrams zitafika uwanjani.
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
 
[emoji1255][emoji298] russian forces continue to suffer extremely heavy losses in Ukraine during their full-scale aggression against the country.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na wao wanasemaje baada ya wenzao kupoteza wanaenda mbele au kurudi nyuma ili tupate thamani ya kilichoandikwa
 
Ongeza koleo la kinzhal na chumvi kidogo
1678624447150.png
 
Kile kimakaanga Air defence kikaingia underground chimbo kuwafokoa maofisa wa NATo kwenye command centre 🤣🤣🤣
Sasa nimeelewa kwa nini zelensky alimuuliza zaidi ya mara 10 waziri mkuu wa israil wa nyakati zile.....

"Una uhakika bwana makoleo putin hatoniangamiza"

Muhuni anachimbua mpaka handaki halafu eti ashindwe kumtwanga mla unga aliyepo juu ya ardhi pale kiev
 
Fanya tafiti hizi mbili pls:
US bajeti yake ya kijeshi ni % ngapi ya bajeti zote za majeshi duniani?
Kwenye vifaa vya kisasa kama ndege na vifaru na monowari,USA ana comprise % ngapi ya vifaa vyote duniani

Kuna manowari ngapi zilizo commissioned duniani na za US ni ngapi?
Moja ya kitu ambacho sikijui na hukijui ni kupata classified information, hata USA hajui uhakika wa kijeshi na vifaa vya Russia na vis vesa
 
Back
Top Bottom