Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mrusi kashazifanya siso huko 🤣🤣🤣Poland kesha pokea mrejesho kutoka kwa zeli boy kuwa zote zimegeuzwa chuma chakavu siku nyingi
Mrusi kashazifanya siso huko 🤣🤣🤣Poland kesha pokea mrejesho kutoka kwa zeli boy kuwa zote zimegeuzwa chuma chakavu siku nyingi
Marekani hapo lazma ajambe jambe maana anaogopaga sana raia wake kufa kama kumbikumbi 😀😀😀Na kibaya zaidi nilisoma mada moja kua kikosi Cha nyukilia Cha Urusi kilichokuwepo Cuba,kilipewa ruhusa kabisa na serika ya Urusi kua kikiona Kuna kitisho chochote Cha usalama,hakuna haha ya kuomba ruhusa Moscow kutumia silaha z nyukilia.
Kwa kifupi walipewa ruhusa ya kushambulia moja kwa moja bila kupoteza muda wa kuomba idhini kutoka "Red Square"
Kwa kifupi kabisa walipewa license to shoot.
Dah ndio maana yule mzee Gregory kakubali kuwa kweli urusi mziki mnene sio mtu wa kupuuzwa. Maana msiba alioupeleka NATO kwa Khinzal missile sio poa 😀😀😀
Hahahah naskia maofisa waliofyekwa ni zaidi ya Coaster moja ya special Hire🤣🤣🤣Kile chuma ni hatari mkuu.kinakufata huko huko kwenye military bunker.bado wanaficha ficha ila muda sio mrefu tutapata ukweli ya list ya majenerali wa Nato waliokuwepo eneo la tukio
Nimetamani kucheka ila ghafla simanzi na huzuni vikaningia huko ni kutaka kuwabebesha lawama russia ya kuua watoto na wazee na ndio maana kiongozi wa wagner kamtaka zelensky awaruhusu askari wake warudi nyumbaniHebufikira Hawa Ndio Wanajeshi wanao Pelekwa Kupamana Na Dubu kama Urusi!!
Yaani hawa Hata kuwaua Unashindwa Sijui uwe na Roho ya namna gani Aisee.
Mzee kama Huyu kweli wakwenda Vitani?
View attachment 2535885

Hahahahaa! kwa hiyo wazee wakaukana mwongozo wao kwa kujifanya urusi hajapiga bomu.Aliekua anamtegemea kagwaya,unadhani yeye atakua na jeuri?
Hebu kumbuka lile kombora lililopogwa Poland,Ukraine alisema Urusi ndio kapiga,USA na wanzake wakasema Urusi hajapiga.hqpa walikua wanakwepa kua Ile sheria ya NATO kua memba mmoja akipigwa NATO wataingiza,Sasa USA akao mmmmm ya Nini matatizo?
Ha ha ha haa,BUSH BIN LADEN katika ubora wako.Kwa mara ya kwanza kabisa tumeshuhudia F-22 ikiperform first Air to Air combat kwa kuliangamiza puto la wachina(lisilo weza kujilinda) mwaka huu pamoja na kwamba ndege hii iko tayari kwa mapambano toka 1995. Je kwa mfano wako wa T 14 Armata unajaribu kutwambia nini kuhusu hii Air Superiority Fighter kiboko ya maputo
Shukrani kwa shuleIzo ndizo zinawapa mkong'oto wa maana NATO huko Ukraine. Wala sio stealthy, wanaziona vizuri tu kwenye Radar, ila hakuna wanachoweza kuzifanya.
Russia ali reveal aina tatu ya hypersonic missiles ambazo ziko tayari kuwa deployed kwenye battlefield.
1. Kinzal hypersonic missile. Hizi mara nyingi ni air launch missiles, zinaweza bebwa uvunguni wa Mig 31, au TU- 95 or other bombers. Very deadly. Mmarekani baada ya kushindwa kuunda yake, alianza propaganda kwamba hypersonic missile haiwezi kuwa applicable, maana at that speed itacreate a plasma layer itakayozuia kombora kuwasiliana na command center au kujua target. So haitakuwa na shabaha, ilo lilibaki hivyo mpka juzi command center yao ilivyotunguliwa without a miss. Hajui ni nn kimetokeana msoviet amewezaje kuachieve iyo technology yet kuacha air defences zake uchi wa mnyama.
2. Avanguard hypersonic glide vehicle. Hili sio kombora, ni ka tip tu kanachokuwa mounted tu juu ya ICBM. Mzigo ukitumwa from russia, unatoka kwanza nje ya anga, na kusogea uelekea wa target. Ikifika usawa wa target, hii glide vehicle ndo inakuwa released sasa kwenda kuwasha moto. Its entry mechanism ni kama ilivyo kimondo ka ile kasi inayokuja nayo, but to make things more worse, hii kitu iko highly manuvarable. Yaan target inaweza ikawa pale JK Nyerere airport, ila mzigo ukiwa unakuja utadhani unaelekea usawa wa kigamboni, ila ghafla tu unakuta airport inawaka moto. As we know, kasi ya kimondo haizuiliki.
3. Zircon anti ship hypersonic missile. Hii zircon ndo mwarobaini wa aircraft cariers ana destroyers za mwa merika. So far naona hii hajaitest kwenye majahazi ya wa ukraine. Ameamua kuitunza kwaajili ya wa nato.
Waliukana "mwanangu".Hahahahaa! kwa hiyo wazee wakaukana mwongozo wao kwa kujifanya urusi hajapiga bomu.
Ila urusi mbabe aisee!
Mbona abram tanks wana system kama hizo ila bado vinalipuliwa tuKumbe. Waingereza wanaona kuwa Urusi inajaribu kuuza mfumo wa "Arena" kwenye soko la silaha (ili wapate $$) lakini hawaitumii kwa vifaru vyao.
Arena ni mfumo wa roketi ndogo zinazuzuia grenedi na roketi kupiga kifaru chake.
(ona Arena (countermeasure) - Wikipedia
Kama wangetumia Arena, vifaru vyao visingepotea kwa kasi hiyo.
Hitimisho: wanashindwa kuitengeneza. Sijaona bado inategemea vipuli gani kutoka nje.
Je yuko mwenye habari tofauti kuhusu hio?
(ona pia UK intelligence doubts Russia’s ability to use new military developments in Ukraine
UK intelligence doubts Russia's ability to use new military developments in Ukraine)
Mwaga darasa,mwaga darasa,mwaga darasa Hadi NATO wote wa humu JF tutakapowapa mtihani wapate 100/100Izo ndizo zinawapa mkong'oto wa maana NATO huko Ukraine. Wala sio stealthy, wanaziona vizuri tu kwenye Radar, ila hakuna wanachoweza kuzifanya.
Russia ali reveal aina tatu ya hypersonic missiles ambazo ziko tayari kuwa deployed kwenye battlefield.
1. Kinzal hypersonic missile. Hizi mara nyingi ni air launch missiles, zinaweza bebwa uvunguni wa Mig 31, au TU- 95 or other bombers. Very deadly. Mmarekani baada ya kushindwa kuunda yake, alianza propaganda kwamba hypersonic missile haiwezi kuwa applicable, maana at that speed itacreate msuguAno wa hali ya juu sana na air molecules, na kufanya tip ya kumbora iwe na joto kali sana ...hili joto inapelekea uwepo plasma layer itakayozuia kombora kuwasiliana na command center au kujua target. So haitakuwa na shabaha, ilo lilibaki hivyo mpka juzi command center yao ilivyotunguliwa without a miss. Hajui ni nn kimetokeana msoviet amewezaje kuachieve iyo technology yet kuacha air defences zake uchi wa mnyama.
2. Avanguard hypersonic glide vehicle. Hili sio kombora, ni ka tip tu kanachokuwa mounted tu juu ya ICBM. Mzigo ukitumwa from russia, unatoka kwanza nje ya anga, na kusogea uelekea wa target. Ikifika usawa wa target, hii glide vehicle ndo inakuwa released sasa kwenda kuwasha moto. Its entry mechanism ni kama ilivyo kimondo ka ile kasi inayokuja nayo, but to make things more worse, hii kitu iko highly manuvarable. Yaan target inaweza ikawa pale JK Nyerere airport, ila mzigo ukiwa unakuja utadhani unaelekea usawa wa kigamboni, ila ghafla tu unakuta airport inawaka moto. As we know, kasi ya kimondo haizuiliki.
3. Zircon anti ship hypersonic missile. Hii zircon ndo mwarobaini wa aircraft cariers ana destroyers za mwa merika. So far naona hii hajaitest kwenye majahazi ya wa ukraine. Ameamua kuitunza kwaajili ya wa nato.
Ha ha haa,aisee!!Hahahah naskia maofisa waliofyekwa ni zaidi ya Coaster moja ya special Hire🤣🤣🤣
Akaishia kutikisa matakoh kama kenya.Waliukana "mwanangu".
Kwa sababu wachunguzi wa mambo wanakuambia,hiyo ndio ilikua sababu tosha kabisa ya kuingiza jeshi la NATO vitani upande wa ukraine.kwa sababu wanasema USA iliwahi kuisingizia Iraq kua inatengeneza silaha za maangamizi na wakaivamia. Na hawakua na ushahidi wowote wa maana.
Sasa kwa mkasa huo wa polanda ilikua ni sababu tosha TU ya kizushi yavkulianzisha.
Cha ajabu kaka mkubwa USA ndo akawa wa kwanza kumtetea Urusi,wao Warusi walijikalia kimya TU walisubiri kuona NATO watafanya Nini.
Kilichotokea waliishia kumlaumu na kumuonya Ukraine TU.
Shida ilikua ni nani amfunge paka kengele?
Hata kwenye computer hacking Urusi anamzidi kwa mbali sana USA. Mrusi lugha yake inamsaidia sana kwenye mambo mengi. Pia Warusi wanaipeda sana nchi yao.Russia sio kuwa ni overrated ila Russia sio mpenda ugomvi japo anauweza yani ukianzisha moto wake sio wa kitoto na huwa hawaogopi kufa hadi malengo ya kukumaliza yatimie.
USA mnamshabikia kama bahasha wenu vile ila hana silaha za kumtisha Mrusi. 🤣🤣🤣
Sad mtu anaongelea budget. Wakati wewe unazungumzia bedget, wenzio wanaongelea value for money.Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Unaambiwa west wana 8 sec tu za kureact huu mzigo ukitumwa kwao.. Ni kweli kabisa unavosema kwamba SAM operators wa wanaziona ila hawana cha kufanya maana wakati unawaza cha kufanya mzigo unakuwa tayari umefika. Nakumbuka wakati Putin anaitangazia dunia kuhusu kuwa na hizi siraha west walidai ni propaganda simply kwakuwa wao hawawezi so wasichokiweza maana yake hakiwezekani. Kuna hata maengineer mwitu humu walikuja na theories za mitaani kudiscourage haya mafanikio ya Warusi na kudai hii tech ni kinyume na laws of physics, ila kwa kuwa pro west wengi hapa ni robots sikuwashangaa. Leo west hawana budi kukubaliana na ukweli kwamba hypersonic weapons zipo na Russia ni leader kwenye hii field.Izo ndizo zinawapa mkong'oto wa maana NATO huko Ukraine. Wala sio stealthy, wanaziona vizuri tu kwenye Radar, ila hakuna wanachoweza kuzifanya.
Russia ali reveal aina tatu ya hypersonic missiles ambazo ziko tayari kuwa deployed kwenye battlefield.
1. Kinzal hypersonic missile. Hizi mara nyingi ni air launch missiles, zinaweza bebwa uvunguni wa Mig 31, au TU- 95 or other bombers. Very deadly. Mmarekani baada ya kushindwa kuunda yake, alianza propaganda kwamba hypersonic missile haiwezi kuwa applicable, maana at that speed itacreate msuguAno wa hali ya juu sana na air molecules, na kufanya tip ya kumbora iwe na joto kali sana ...hili joto inapelekea uwepo plasma layer itakayozuia kombora kuwasiliana na command center au kujua target. So haitakuwa na shabaha, ilo lilibaki hivyo mpka juzi command center yao ilivyotunguliwa without a miss. Hajui ni nn kimetokeana msoviet amewezaje kuachieve iyo technology yet kuacha air defences zake uchi wa mnyama.
2. Avanguard hypersonic glide vehicle. Hili sio kombora, ni ka tip tu kanachokuwa mounted tu juu ya ICBM. Mzigo ukitumwa from russia, unatoka kwanza nje ya anga, na kusogea uelekea wa target. Ikifika usawa wa target, hii glide vehicle ndo inakuwa released sasa kwenda kuwasha moto. Its entry mechanism ni kama ilivyo kimondo ka ile kasi inayokuja nayo, but to make things more worse, hii kitu iko highly manuvarable. Yaan target inaweza ikawa pale JK Nyerere airport, ila mzigo ukiwa unakuja utadhani unaelekea usawa wa kigamboni, ila ghafla tu unakuta airport inawaka moto. As we know, kasi ya kimondo haizuiliki.
3. Zircon anti ship hypersonic missile. Hii zircon ndo mwarobaini wa aircraft cariers ana destroyers za mwa merika. So far naona hii hajaitest kwenye majahazi ya wa ukraine. Ameamua kuitunza kwaajili ya wa nato.
Vinalipuliwa wapi? Taarifa ninazoona ni kutoka Yemen ambazo ni vifaru vya Saudia. Sawa na taarifa kuhusu Leopard za Uturuki, vifaru hivyo hutumiwa bila utaalamu . Ukiweka kifaru shambani kwa sababu unahitaji mzinga na sasa unaamua kutumia kifaru chako kama artillery, bila ulinzi mzuri wa askari miguu, basi umeshakiweka hatarini. Vilevile ukitumia vifaru vyako kusogea mbele tu, ukivunja mstari wa mapigano na kuingia ndani - tena bila ulinzi wa askari miguu na usalama wa hewani. Vibaya zaidi ukipanga vifaru vyako foleni (jinsi Warusi walivyofanya huko Kyiv au juzi huko Vuhledar).Mbona abram tanks wana system kama hizo ila bado vinalipuliwa tu