Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hatype makosa, ana andika kiswahili kisichotumika kwa sasa ( cha kwenye Biblia na Vitabu vingine vya kale).
Hii inakuonesha Huyu sio mzungumzaji wa kila siku wa Kiswahili.
Kuwa na account kwa ajili ya uzi huu pekee inasema zaidi pia.
Kiswahili chake kipo sana kwenye risala na hotuba za serikali na taasisi za dini
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Question for everyone who thinks NATO is a defensive alliance,

Can you name 1 defensive war that NATO has taken part in? Every NATO war has involved NATO states invading/attacking or countries.

NATO is about as defensive as an enraged dog with rabies
 
Hakuna anachokielewa kuhusu Cuba missile crisis.mwambie akasome alafu arudi tena.

Kwa ufupi tu Marekani alitaka kuivamia Cuba ila kumbe alikuwa kashachelewa,Warusi walikuwa washafika Cuba wakiwa na Nuclear.ikabidi Marekani awe mpole arudi nyuma.

Warusi wakatoa masharti kuwa ili wao waondoke basi Marekani akubali kutoivamia Cuba katika maisha yake yote.Marekani wakakubali ndo Urusi akaondoka.


Mbona Urusi ana wanajeshi wake Venezuela na mpaka leo Marekani akuna alichokifanya.au ajui kuwa Venezuela na Marekani wapo karib

KunA SHARTI JINGINE LA SOVIET Union lilitekelezwA Marekani nalo ni kwamba silaha za nyuklia za USA/NATO zilizoko Uturuki ziondolewe haraka....Marekani alitekeleza sharti hili pia.
 
Wewe ndo unaandika porojo tu.. unaandika hata huelewi..watu kibao humu waliishaandika why budget ya US ya kijeshi ni kubwa...Ukubwa wa budget haumaanishi ndo mafanikio ulingoni...
Hivyo vilivyobaki Russia anavyo...Russia na US ndo mataifa pekee ambayo yanaweza fanya MAD:Mutually Assured Destruction kwa nchi yoyote..hata zenyewe kwa zenyewe...Unajua WMD:Weapons of Mass Destructions??Haya mataifa mawili yakitaka kufanya mauaji ya Halaiki...ni kitu cha sekunde tu...
Ndio ambacho wabongo hawaelewi ni sawa na ubishani wa Voda na Halotel halafu mtu akwambie Voda ni bora sababu inaongoza kwa market share wakati offerings zao ni zile zile tu. Hakuna ambacho Voda anafanya Halotel hawezi kifanya.

Wanasahau kuwa Voda ana advantage ya kuwepo siku nyingi kabla ya halotel.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Was this Longest range ATGM kill in Ukraine?

Russian Kornet-EM ATGM crew destroy a moving Ukrainian army truck carrying soldiers

Calculated range: 7.6-8km
This is assuming a speed of 300m/s with a 140/170m/s^2 acceleration

They likely used a 9M133F-3 high explosive missile
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Makampuni ya Silaha ya Urusi yametangaza ofa kila kifaru kimoja cha Leopard auAbrahms kitakacho kamatwa huko Ukraine kwa dau kubwa

Russia have captured leopard tank[emoji1787][emoji817][emoji123][emoji635][emoji635] 2 Wagners boys capture Leppard tanks

The are going home with 70,000 US dollar[emoji817][emoji1787]

And the tank is intactView attachment 2546099
Kwa huu mchongo lazima Prigozin atazikamata ale hii hela
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mzigo tayari umeshafika Tehran Iran[emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pentagon NATO mavi yanawabana
Iran has received multiple NATO weapon systems like Javelin ATGM from Russia

We can expect to see Iranian Javelin soon. They’ve previously reverse-engineered weapons like the Spike ATGM (Iranian version called Almas, meaning diamond) and Hellfire missile (Ghaem-114)
IMG_20230312_135800.jpg
IMG_20230312_135753.jpg
 
Wewe tumia akili ...mambo ya bajeti yanatumika kwenye vita vya mchangani aka ndondo cup siyo vita vya msjayanti....kama bajeti ni pesa na mali ulizonazo basi kwenye vita vikubwa vyote hivyo vina tiwa moto wa mabomu tu bank zinapigwa mabomu na misingi ya uchumi inapigwa mabomu na kuwa majivu
Huyo jamaa ni mwehu, vita ni silaha na mbinu, kwenye hilo Mmarekani kashanyoosha mikono mwenyewe kuwa Mrusi anavifaa vya hatari kuliko alivyodhania.

Budget lake kubwa la kulisha magenge yake ya kijeshi aliyosambaza kwenye maeneo tofauti tofauti ulimwenguni.

Russia hana magenge kila kona ya dunia thus why budget yake ya kawaida tu.
 
Kuwa na bajeti kubwa sio kuwa na jeshi au vifaa imara. US ana kambi za jeshi ngapi hapa duniani?? Unafikiri bajet yake itakua sawa na Russia??. Wake up acha upimbi. Marekani wamekiri Russia anasilaha kali za maangamizi kuliko nchi yoyote duniani.

Vifaru vya kisasa unazungumzia Abram?? Ndege unazungumzia hizi F-35? Au kuna zingine??. US kafanikiwa kuwalisha sana Propaganda. US ni mweupe sana kwenye sector ya masuala ya vita, Russia amemwacha mbali sana.

Marekani aendelee na Agenda zake za LGBTQ huku kwenye vita kushamshinda.
Mkuu watu wengi uzungumzia sana kuhusu masuala wa bajeti kubwa ya kijeshi as if unaendana na ushindi kwenye mapambano ya kiviita.

Ukiwahoji hivi VietNam alipo shinda na kuiabisha USA kwenye vita,je, GDP ya VietNam ilikuwa ya kiwango gani ukilinganisha na USA ya wakati huo - ni wazi bajeti ya Merikani kwenye masuala ya vita na ulinzi ilikuwa kubwa muno ukilinganisha na a poor VietNam - sasa mbona USA ilishindwa vita licha yakuwa na fedha lukuki. What does that tell you??
 
Wagner wakiwa katikati ya Bakhmut huku Hamvee ya Marekani ikiwa imetelekezwa[emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] shikamoo Putin




 
Poland is embarking on its largest rearmament program in 50 years in response to the threat from Russia. This year's defense budget is a record 19 billion euros. The country will also double the size of the army to 300,000 troops.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.

Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.

Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
Umeandika pumba ndugu yangu,hata Mimi nimeona aibu wakati uliendika ni wewe.
 
#[emoji298][emoji1255]The military units of the Ukrainian Navy destroyed 15 russian invaders and an enemy tank on Saturday, March 11.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom