Akirusha bomber tu, NATO wanaingiliaKitendo cha ukraine kukubali raia waondoke ni hatari sana kwake maana Urusi sasa ivi ataanza kutumia military bomber kutupia mabomu.Ukraine inaenda kuwa majivu
Nilikuwa nazungumzia udikteta wa kiuchumi kuhusu Russia nikatoa mfano. Mwenye quotation kaisema Uingereza na issue ya Abrahmovich ambayo siikubali. Ila huwezi sema Russia afanye vile kwa kuwa na wengine wanafanya, extent ya political intervention ya Russia kwenye vitu visivyotaka siasa ni kubwa mno kuliko hao UK na wengine.Hujajibu swali, hakuna nchi safi maana yake nini,? Ule ni ukoloni
Unasemea NATO wapi? Hawahawa wanaochungulia dirishani?
Hii sijapata confirmation ila nimecheka imenikumbusha mwaka 1939 Germany ilivyokusanya vikosi vyake mpakani na Poland baada ya maandalizi kukamilika ikajivamia yenyewe kwa kutumia waliovaa sare za Poland wakachoma kituo cha redio. Germany ikatangaza vita eti imechokozwa. False flags huwa zipo kama ile Marekani na allies wanaenda Iraq kuharibu silaha za maangamizi ambazo hazikuwepo.Naona Belarus kaingizwa vitani rasmi, kuna ndege imepiga bomb ndani ya Belarus, haijulikani nani kapiga ila Ukraine anadai Urusi ndiye kapiga kutokea ardhi ya Ukraine
Sent using Jamii Forums mobile app
Belarus kasema anaingia Ukraine rasmi leo maana amepigwaHii sijapata confirmation ila nimecheka imenikumbusha mwaka 1939 Germany ilivyokusanya vikosi vyake mpakani na Poland baada ya maandalizi kukamilika ikajivamia yenyewe kwa kutumia waliovaa sare za Poland wakachoma kituo cha redio. Germany ikatangaza vita eti imechokozwa. False flags huwa zipo kama ile Marekani na allies wanaenda Iraq kuharibu silaha za maangamizi ambazo hazikuwepo.
Ukraine sio kichaa kuishambulia Belarus, hawezi kupigana two fronts
Hawa wapuuzi wana tafuta kisingizio cha kuiunganisha dah ila Ukraine naiurumia sana wameiharibu sana.Hii sijapata confirmation ila nimecheka imenikumbusha mwaka 1939 Germany ilivyokusanya vikosi vyake mpakani na Poland baada ya maandalizi kukamilika ikajivamia yenyewe kwa kutumia waliovaa sare za Poland wakachoma kituo cha redio. Germany ikatangaza vita eti imechokozwa. False flags huwa zipo kama ile Marekani na allies wanaenda Iraq kuharibu silaha za maangamizi ambazo hazikuwepo.
Ukraine sio kichaa kuishambulia Belarus, hawezi kupigana two fronts
KGB lilikuwa dude hatari sana lina mbinu zote za umafia, watu waliona Putin mjinga kushindwa kuipiga ukraine haraka kumbe mwenzao anataka kuicheza hiyo ngoma Ulaya nzima. Maisha ndani ya NATO yatakuwa ya wasiwasi sana na hapo wakitaka kupambana na hao magaidi itabidi wawaue waukraine.
Nchini ukraine na ulaya kunaenda kuchezeka michezo ya middle east
✅Vyema kwani NATO walipoingia Libya kumtoa Gadafi lilikuwa n jukum lao?
Na ka halikuwa jukum lao kwanini walifanya hivo si wangewaacha wapambane wenyewe?
Apa T14 Armata tukubali tu tunafata mkumbo mpaka kwenye maamuzi. Na wao wanafanya maamuzi au kuingilia maamuzi yanayo fit interest zao ila sio kwamba et "They do care about us"...
Yemen??? Si wanaotupa mabomu huko ni Dubai na Saudia? Na wanapeleka roketi huko ni Iran?? Na Syria - si AlQaeda na Urusi waliongia kuua watu?Ndio vizur wasogezwe karibu kitendo walichowafanya wa Syria,wa iraq,libya afghanstan palestina na Yemen sasa malipo most Arab people are with Putin now