LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hujajibu swali, hakuna nchi safi maana yake nini,? Ule ni ukoloni
Nilikuwa nazungumzia udikteta wa kiuchumi kuhusu Russia nikatoa mfano. Mwenye quotation kaisema Uingereza na issue ya Abrahmovich ambayo siikubali. Ila huwezi sema Russia afanye vile kwa kuwa na wengine wanafanya, extent ya political intervention ya Russia kwenye vitu visivyotaka siasa ni kubwa mno kuliko hao UK na wengine.

Bahati mbaya tena ni kwamba Russia haina mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji mengineyo kufidia hiyo weakness. China wana political intervention kwenye sekta muhimu za uchumi ila wana mazingira mazuri sana kuwekeza kuliko hata nchi za Ulaya na Marekani. Mwaka jana sakata la Evergrande lilionesha weakness zao. Hakuna nchi safi ndio maana kuna ushindani.

Issue waliyofanya Russia kwa Mikhail Khodorkovsky nailinganisha na scenario very accurate kwetu hapa. Leo hii Mo Dewji awe mpinzani na serikali ya Tanzania imnyanganye kampuni ya MeTL kisa iliwahi binafsishwa mashamba ya mkonge enzi za Mwinyi, na Mo afungwe kisha asamehewe baada ya miaka kumi, na wawekezaji wake wa nchi tofauti wafungue kesi za madai na wasilipwe. We unadhani wawekezaji watakuja kirahisi.

Uzuri uchumi hauna kelele data zinajionesha, tafuta data ya nchi zinazopokea FDI zaidi uone Russia ni ya ngapi
 
Naona Belarus kaingizwa vitani rasmi, kuna ndege imepiga bomb ndani ya Belarus, haijulikani nani kapiga ila Ukraine anadai Urusi ndiye kapiga kutokea ardhi ya Ukraine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sijapata confirmation ila nimecheka imenikumbusha mwaka 1939 Germany ilivyokusanya vikosi vyake mpakani na Poland baada ya maandalizi kukamilika ikajivamia yenyewe kwa kutumia waliovaa sare za Poland wakachoma kituo cha redio. Germany ikatangaza vita eti imechokozwa. False flags huwa zipo kama ile Marekani na allies wanaenda Iraq kuharibu silaha za maangamizi ambazo hazikuwepo.

Ukraine sio kichaa kuishambulia Belarus, hawezi kupigana two fronts
 
Belarus kasema anaingia Ukraine rasmi leo maana amepigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sijapata confirmation ila nimecheka imenikumbusha mwaka 1939 Germany ilivyokusanya vikosi vyake mpakani na Poland baada ya maandalizi kukamilika ikajivamia yenyewe kwa kutumia waliovaa sare za Poland wakachoma kituo cha redio. Germany ikatangaza vita eti imechokozwa. False flags huwa zipo kama ile Marekani na allies wanaenda Iraq kuharibu silaha za maangamizi ambazo hazikuwepo.

Ukraine sio kichaa kuishambulia Belarus, hawezi kupigana two fronts
Hawa wapuuzi wana tafuta kisingizio cha kuiunganisha dah ila Ukraine naiurumia sana wameiharibu sana.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
KGB lilikuwa dude hatari sana lina mbinu zote za umafia, watu waliona Putin mjinga kushindwa kuipiga ukraine haraka kumbe mwenzao anataka kuicheza hiyo ngoma Ulaya nzima. Maisha ndani ya NATO yatakuwa ya wasiwasi sana na hapo wakitaka kupambana na hao magaidi itabidi wawaue waukraine.

Nchini ukraine na ulaya kunaenda kuchezeka michezo ya middle east

Ndio vizur wasogezwe karibu kitendo walichowafanya wa Syria,wa iraq,libya afghanstan palestina na Yemen sasa malipo most Arab people are with Putin now
 
Vyema kwani NATO walipoingia Libya kumtoa Gadafi lilikuwa n jukum lao?

Na ka halikuwa jukum lao kwanini walifanya hivo si wangewaacha wapambane wenyewe?

Apa T14 Armata tukubali tu tunafata mkumbo mpaka kwenye maamuzi. Na wao wanafanya maamuzi au kuingilia maamuzi yanayo fit interest zao ila sio kwamba et "They do care about us"...
 
Zelensky said he agreed with Biden on further support for the defense of Ukraine and new sanctions against Russia.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
"You can't just cut such a big country out of the world economy without consequences."

Residents of Cyprus are discussing the increase in the price of electricity in chats: they complain that they are forced to pay hundreds of euros, although the tariffs were already high before.

For example, for electricity for three months in a one-room apartment they paid €175. And this year, many of the bill was not less than €100 for just one month.

Screenshots from a subscriber.
IMG_20220311_194358_060.jpg
IMG_20220311_194358_153.jpg
 
Back
Top Bottom