Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SIjui kuhusu IISS je unamaanisha taarifa hiyo?

Nikiangalia takwimu inayoonyeshwa kwenye picha:
wanaona upande wa Urusi hasa T72 zimepungua sana upande wa Urusi, zimeongezeka upande wa Ukraine. Nikielewa vema kuongezeka Ukraine ni matokeo ya vifaru vingi kuachwa kwenye njia ya kuelekea Kyiv na kukamatwa na Ukraine. Ukraine wamepungua sana T64 zilizokuwa dhaifu kuliko vifaru vya Kirusi hivyo vingi viliharibika.

Kutokea kwa T62 kwenye mwaka 2023 ambazo hazikuwepo 2022: hii ni dalili wanachukua sasa vifaa vya kale kwasababu walipoteza vingi vya kisasa zaidi.
Wewe unaonaje?

 
Saudi Arabia's energy minister has said that the kingdom will not sell oil to any country that sets a price ceiling for Saudi oil.

 
Wao vipi kuhusu malalamiko ya Russia kuhusu Nord Stream mbona wanakwepa kwepa kuzungumzia hilo dai lao juu ya Biden kuibomb Nord Stream? Ila ki drone chao kilichofumuliwa ndio wanakiona big deal.
 
Huu ndio uanaume halisi watake wasitake wataelewa tu ni nani super power?

Waje huku mahakama ya kisutu kumshitaki.
Hahahahah ubabe ubabeni 🤣🤣🤣 sasa tuone watamfanya nini maana hio mahakama inashtaki wanyonge tu ila Gaidi US anaachwaga tu.

Sasa sisi kama Warusi kwetu huo sio mchongo na kwa minajili hio hatuitambui maana imekaa kimkakati!
 
Imagine secret command Inakuwa vaporized🤣🤣🤣 mrusi ni Nyoko
Walihisi kujificha huko underground ingewasaidia. Imagine 400ft deep ni kama urefu wa viwanja vya mpira vinne toka goli hadi goli. Halafu chuma imetumwa ikazama hadi ndichi na kufumuka. Imewauma sana wamarekani hii hamna maumivu wamepata kama hayo tangu vita ianze. 🤣🤣🤣
 
Kwanza, sio kweli kwamba huna upande wowote kati ya hizi pande mbili (Rusia & West).

Sera za kuwa neutral sio kwamba hauko upande wowote, bali ni ile hali tu ya kutotaka kujionyesha upande uliopo.
Na bahati mbaya ww unaonekana wazi.

Pili, Tumeona mara kadhaa wazi kbsa RUSIA wakionyesha kutokuwa na mpango wowote wa kuitwaa UKIRENE yote.
Mfn ni ile kauli iliyotolewa wakisema, watatwaa maeneo umbali wa kila range ya silaha atakayopewa UKIRENE kutoka West.

Ina maana kama UKIRENE hawatopewa silaha yenye range kubwa kiwango cha kuifikia RUSIA basi hakutokuwa na mpango wa kuitwaa UKIRENE yote.

Tatu na Mwisho, Haihitaji elim ya ma-pihechidii kutambua kwamba West+Ukirene hii Mbungi hawawezi toboa hata waamue kuandamana kwa kutembea uchi hadharani (Kama wanavyofanyaga mara zote).
Ni pro west tu pekee ndo wenye upofu kiwango cha kutoona kbsa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaona aibu kusema kuwa imetunguliwa.walete sasa zile ndege zao za kutungua maputo ili tukutane mpakani tukiwashe.

Tukiwambia Urusi hakuna kenge yoyote yule wa kumfanya kitu, mnakuwa wakali
Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
 
Good analysis
 
Lakini ilikuja kumalizana nao kwa kumuondoa Solemani
 
Sasa kama ataki vita kafata nini uwanja wa vita kama sio kufumuliwa malinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndo mweupe kabisa , Iran aliishusha moja kati ya Drone bora kabisa ya Marekani mwaka 2008 tena Kwa vidole, ndio ishindwe Kwa Urusi, we unaambiwa drone ilikojolewa Kwa mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabla haijapigwa kibao. Vita ilishaisha siku nyingi sana, kinachoendelea sasahivi vita ya uchumi ili wananchi wa Ulaya waziondoe serikali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…