Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao akili zao sijui wanaziweka wapi, vita vyote ni gharama na ndo kipimo chenyewe , sasa yeye anasema haogopi vita anaogopa gharama sijui anaelewa anazungumza nini?
Simple anyooshe maelezo tu kwamba Rusia hawezi kucheka na kima when it comes to War issues.

US anajua fika, huruma anazopewa Ukraine kwasasa hatopewa US siku atakapojichanganya.

Na US inatambua kbsa, Rusia hatopigana vita Bila kupiga Washington direct.
Vimchezo vyake US alivyozoea kupigana vita kweny maeneo ya watu haitokuwa hivyo tena kama atajichanganya kwa DUBU.

Mass destruction itakuwa kubwa sana Marekani, Missiles zitagonga Washington direct mbaya mbovu.

Eti US anakwepa gharama, huyu KIDANGA Sjui namna gani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kweli Ukraine ni meat grinder [emoji28][emoji116][emoji116]




Russian troops have advanced only 0.04% of Ukraine's territory in a month of offensive - Business Insider

From January 31 to February 28, Russia advanced by only 0.039%.

This equates to about 234 square kilometers.

At the same time, Russian troops lost thousands of soldiers and hundreds of pieces of military equipment.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
CONFIRMED

The $56 million US MQ-9 Reaper was launched from the Sigonella NATO base in SICILY.

Heading to Crimea with transponder OFF.

Russian EW jammed it.

Cut off its guidance satellite feed.

Crash.

Computer/telemetry memory chips scooped up by Black Sea Fleet.
 
Ukraine vowed on March 14 that it would hold on to Bakhmut despite Russia’s grinding assaults since losing the city would affect “the stability of the defense of the entire front.”

Ukraine’s Commander-in-Chief Valerii Zaluzhnyi said that the defense of Bakhmut, a city in the eastern Donetsk Oblast nearly emptied of its 70,000 residents, is of “paramount strategic importance for deterring the enemy.”

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole [emoji28][emoji28][emoji116][emoji116]




[emoji298]️Senators from Republicans and Democrats demand to send F-16 fighter jets to Ukraine, Politico reported.

Eight US senators have asked the Pentagon to provide more information on what it would take to send F-16 fighter jets to Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiyo ni futi Siyo Mita, Kwa hiyo haiwezi kufika viwanja vinne
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ivi bado tu ujajua kwa nini wenzako awakupi hata like.ni kwa sababu washajua ukweli kuwa vita haipigani kwenye makaratasi.

Unapoteza muda wako tu bure na utapotea kama alivyopotea Vunjo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji631][emoji3575][emoji635]Der Spiegel writes that the West has not decided how to react to what happened with the MQ-9, but most likely will prefer to pretend that it was just an accident.
 
Wewe nawe unajichosha bure... Unachokifanya ni sawa na kumfundisha ng'ombe kutawaza
 

Mtapeleka kila silaha kichapo palepale. Tukio la jana umelipata?? Superpower wenu daily anatiwa AIBU afu hakuna anachofanya.
 
Kama mwakumbuka, nilisema hapo awali kwamba US na NATO watatengeneza tukio ambalo litapekelea kuhitaji Ukraine kupewa ndege za kivita za F-16.

Marekani kuna sintofahamu kwa wananchi kwamba hawakubali kuunga mkono moja kwa moja vita na Russia.

Hiyo AUV ya Marekani ilikuwa ikiruka umbali wa maili 6000 kutokea kituo cha kijeshi cha NATO na US na ilikuwa ikiruka umbali wa maili 75 kutoka kisiwa cha Crimea. Pia Marekani hawajakataa kwamba kifaa cha mawasiliano kwenye hiyo AUV yaani "transponder" kilizimwa.

Ukizima "transponder" wamaanisha kwamba katika ujasusi wa kuchungua eneo la adui yaani surveiilance hutataka kujulikana wataka kuchukua picha za eneo la adui kugundua amejipanga vipi, vifaa vyake vya kijeshi na masuala mengine mazito.

Na kwa kuwa Russia waliona AUV hiyo yajongelea anga lake pale Crimea kama taifa lililo vitani Russia hawakuwa na jinsi bali ni kuidungua hiyo AUV.

Ili kuweza kufanya mashambulizi ya kimkakati dhidi ya Russia yanoitwa "Spring Offensive" Ukraine wahitaji sana hizo picha za satelite na za "Surveillance" kuweza kuwa na mashambulizi yenye kutoa ipnact kubwa.

Mida hii yaelezwa kwamba kuna maseneta wapenda vita tayari wazoza kuhusu kutuma ndege za F-16 jambo linoashiria kwamba sasa Marekani na washirika wake wapo tayari kwa vita kamili ya angani na Russia lakini bila kutuma vikosi vya ardhini nchini Ukraine kama walivyokubaliana na Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…