Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli uyasemayo mkuu, kwa maelezo haya umekula chumvi[emoji122]
Matajiri wa USA na UK njia wanayoweza kumshinda Putin wa Moscow ni yaa kutumia Nuke, naamini hivo..
Ila kama ni kushindana pale Ukrain bas naamin moscow wana advantage zaidi, na wakiendelea hivihivi usahawish wa US utashuka sana na amani ya Asia itakua kubwa hakutakua na chokochoko nyingi dunian km ilivyo sasa..
Mashinikizo ya Matajiri wa US ndio chanzo cha silaha za maangamizi zinazoundwa kwa wingi duniani, maana nikiwaza UAV ya US juzi huko Crimea na Puto la Uchina wiki kadhaa zilizopta huko US pamoja na comments za wasemaji wa Matajiri wa USA kuhusu kukilipua kiwanda cha semiconductors huko Taiwan endapo Uchina atajaribu kuingia Taiwan kinguvu nashindwa kuelewa USA akili zake ni za kukaa au ni za kusimama.
Kama anawashinikiza wanademokrasia wenzie weupe kama wao Ulaya yote wanamuogopa, je sisi Waafrika tutakua na say yoyote ndani ya nchi zetu? Kama hapa kwetu Zanzibar, wakitaka kutuvuruga ni wanaweza kusema tuu wanai-recognise ZNZ kama taifa huru..tuna uwezo wa kuwakatalia?
 
Wakuu, kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo, inakuaje mafuta ya Jet yanaangusha drone? Kuna Mechanism gani hapa inatumika, anayejua atoe maarifa kidogo.
Kama ni kweli walimwagia mafuta kwenye drone means walikua wanalenga kuzuia camera za drone kuona kwa usahihi na propela za drone kutokufanya kazi vizuri ili kale ka-Su kakipita kasi kiupandeupande upepo wake lazma ukayumbishe...na operator hawez kukazuia maana kanakua kama puto lililokatika kamba
 



Nadhani sababu inajulikana,na sababu yenyewe ni hii hapa.
Kutoka humohumo kwenye maandishi Yako.

The aid was given for free on the basis that such help was essential for the defense of the United States.
 
Ila wale Ukrainians soldiers waliopigwa risasi na sniper wa ukraine baada ya kutaka kujisalimisha Kwa Russia,hao sky news wanajifanya hawajaona na video ipo ila hapa wanakuja na maneno matupu!
Hizi media ni full propaganda!
 
Wakuu, kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo, inakuaje mafuta ya Jet yanaangusha drone? Kuna Mechanism gani hapa inatumika, anayejua atoe maarifa kidogo.
Na nyongeza ya swali hapa, mafuta wamespray vipi?

Kwani ipo hiyo option ya kumwaga mafuta wakati chombo kiko angani?

Au inakuaje yani, angalau wadau mtueleweshe tupate mwanga juu ya hili tukio.
Maana Rusia naona wanatufanyia mengi yasioyozoeleka kuonekana (Unexpected things).

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ndege za kivita zimetengenezwa kuweza kuiongezea mafuta ndege nyingine ikiwa angani inasafiri.
Nadhani ndege hiyo ilikua na uwezo huo,lakini wao wakaitumia kiifanyia utundu ndege ya Marekani.
Inatoa mrija mrefu au mpira mrefu kama mpira ulio kwenye magari ya mafuta na kwenda kujichomeka kwenye tundu la mafuta la ndege nyingine.
Bomba linalotaka kufanana na Bomba la maji la gari la zimamoto.
Hii IPO kwa baadhi ya ndege za wakubwa hawa.usa Russia ,china UK,fr,German n.k
 
Hiyo ya kudump oil ni kitu cha kawaida,hata hizi ndege za abiria Zina option hiyo iwapo hitilafu ikitokea!Kuna ndege Moja hivi ya abairi(nimeisahau jina) ilikufa ingine zote mbili!Ili ndege isiwe nzito na waweze kufika nearest airport,ilibidi wamwage mafuta yote kutoka kwenye mbawa ambazo ndio Huwa zinakuwa na tanks za kubeba mafuta!
So hilo jambo si geni,ila kujua lengo la kuimwagia mafuta hiyo drone,ngoja tusubiri wajuvi wa mambo!
 
Mkuu hata commercial airlines Zinaweza kudump mafuta,hii imetokea mara nyingi hasa kwenye dharura pale engines zinapoharibika ndege ikiwa angani!
Hii inapunguza uzito wa ndege na kuifanya kwenda umbali mrefu bila engine power!
Kuna kitu kinaitwa "crash landing",hii ni kutua Kwa dharura kutokana na hitilafu kwenye ndege!
Sasa pale mapilot wanapoona Kuna hatari ya moto during "crash landing" basi wanaamua kudump mafuta!
 
Nadhani sababu inajulikana,na sababu yenyewe ni hii hapa.
Kutoka humohumo kwenye maandishi Yako.

The aid was given for free on the basis that such help was essential for the defense of the United States.
Urusi aliwahi kuwapa kina nani bure msaada kama huo ?...

Huo msaada ulimuokoa Supa-pawa wa kuchora Ussr aliyekuwa anapumulia mashine.
 
Ok nashukuru sana mdau,nilikua sijui kama na ndege za kiraia Zina uwezo huo.
Asante comrade.
 
Wakuu, kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo, inakuaje mafuta ya Jet yanaangusha drone? Kuna Mechanism gani hapa inatumika, anayejua atoe maarifa kidogo.
Kilichoangusha ndege sio hayo mafuta bali baada ya kuimwagia wese, moja ya ndege ya Urusi ilienda kujigusishia kwenye pangaboy za hiyo drone ndipo pangaboy za hiyo drone zikasambaratika drone ikakosa mwelekeo ikadondoka.
Drone yenyewe sio ndogo sababu inaweza kubeba mabomu 8 ya hatari. Wewe fikiria mbawa zake tu zina urefu wa futi 65
 
Ila wale Ukrainians soldiers waliopigwa risasi na sniper wa ukraine baada ya kutaka kujisalimisha Kwa Russia,hao sky news wanajifanya hawajaona na video ipo ila hapa wanakuja na maneno matupu!
Hizi media ni full propaganda!
Hizo video hata wewe unaweza kutengeneza sio vyanzo vya kuaminika.
 
Wakuu, kwa mtu mwenye uelewa wa haya mambo, inakuaje mafuta ya Jet yanaangusha drone? Kuna Mechanism gani hapa inatumika, anayejua atoe maarifa kidogo.
Nimesoma Sky News wao wanadai ile drone ni ya upelelezi na moja ya features ilizo nazo za upelelezi ni camera so Su-27 ziliimwagia mafuta kwa lengo la kufubaza hizi kamera so hazingeweza kupiga picha sasa sijui lengo lilitimia au laa Su-27 ya pili ikatokea chini yake ikaigonga propeller so nadhani hili likapelekea drone kuanza kuelea tu angani operator wa drone ndo wakai crush land baharini.
Russia kwa upande wao wanadai drone ilikuwa kwenye eneo lao ambalo wana exercise no fly zone ila hawasemi kwamba wameiangusha. Ni kama wanakubali kwamba wameifanyia hizo fitna ila hawajaingusha.
 
Yani mfano wa Zanzibar ni mzuri sana kuelekeza vilaza. Mfano Zanzibar kule kuna ndugu zetu wengi wa Tanzania bara wanafanya maisha kule, je ikitokea wapemba na waunguja wameanza kuwaua tu kwa chuki kwa kuwa asili yao sio kule Tanzania inabidi tukae kimya sababu Zanzibar ni nchi huru? Mbaya zaidi Zanzibar ianze ku side na nchi mojawapo yenye ushawishi kama China ianze kuwapa silaha ili waukatae Muungano je, Tanzania itatakiwa ikae kimya tu hata kama inahatarishiwa usalama na Zanzibar?
 
Kipigi hicho ni majibu ya Nord Stream bombing 🤣🤣🤣!
Wameeiingiza Urusi hasara ya almost 1.2 Trillion za kitanzania katika marekebisho tu ya damage.

Wao ki drone cha $16M kama 35 Billions wanataka kuifanya big deal sio. UN wanajifanya hawaoni kama US kafanya ushenzi ku bomb Nord Stream wanambwela mbwela tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…