Kwanza, sio kweli kwamba huna upande wowote kati ya hizi pande mbili (Rusia & West).
Sera za kuwa neutral sio kwamba hauko upande wowote, bali ni ile hali tu ya kutotaka kujionyesha upande uliopo.
Na bahati mbaya ww unaonekana wazi.
Pili, Tumeona mara kadhaa wazi kbsa RUSIA wakionyesha kutokuwa na mpango wowote wa kuitwaa UKIRENE yote.
Mfn ni ile kauli iliyotolewa wakisema, watatwaa maeneo umbali wa kila range ya silaha atakayopewa UKIRENE kutoka West.
Ina maana kama UKIRENE hawatopewa silaha yenye range kubwa kiwango cha kuifikia RUSIA basi hakutokuwa na mpango wa kuitwaa UKIRENE yote.
Tatu na Mwisho, Haihitaji elim ya ma-pihechidii kutambua kwamba West+Ukirene hii Mbungi hawawezi toboa hata waamue kuandamana kwa kutembea uchi hadharani (Kama wanavyofanyaga mara zote).
Ni pro west tu pekee ndo wenye upofu kiwango cha kutoona kbsa.
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app