kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu nakubakia nawe, lakini hii inayoitwa operation ya kijeshi sio operation tena.. Nchi nyingi sasa ambazo hazikuwa upande wowote sasa zinaanza kujitafari juu ya hatima ya hii operation. Nchi kama Israel, Japan Southern Korea wanaiangali kwa jicho la tatu. Anyway, tumeingia mwaka wa pili, muda utaongea.Ni kweli uyasemayo mkuu, kwa maelezo haya umekula chumvi[emoji122]
Matajiri wa USA na UK njia wanayoweza kumshinda Putin wa Moscow ni yaa kutumia Nuke, naamini hivo..
Ila kama ni kushindana pale Ukrain bas naamin moscow wana advantage zaidi, na wakiendelea hivihivi usahawish wa US utashuka sana na amani ya Asia itakua kubwa hakutakua na chokochoko nyingi dunian km ilivyo sasa..
Mashinikizo ya Matajiri wa US ndio chanzo cha silaha za maangamizi zinazoundwa kwa wingi duniani, maana nikiwaza UAV ya US juzi huko Crimea na Puto la Uchina wiki kadhaa zilizopta huko US pamoja na comments za wasemaji wa Matajiri wa USA kuhusu kukilipua kiwanda cha semiconductors huko Taiwan endapo Uchina atajaribu kuingia Taiwan kinguvu nashindwa kuelewa USA akili zake ni za kukaa au ni za kusimama.
Kama anawashinikiza wanademokrasia wenzie weupe kama wao Ulaya yote wanamuogopa, je sisi Waafrika tutakua na say yoyote ndani ya nchi zetu? Kama hapa kwetu Zanzibar, wakitaka kutuvuruga ni wanaweza kusema tuu wanai-recognise ZNZ kama taifa huru..tuna uwezo wa kuwakatalia?
Ni kweli penyeweKwanza, sio kweli kwamba huna upande wowote kati ya hizi pande mbili (Rusia & West).
Sera za kuwa neutral sio kwamba hauko upande wowote, bali ni ile hali tu ya kutotaka kujionyesha upande uliopo.
Na bahati mbaya ww unaonekana wazi.
Pili, Tumeona mara kadhaa wazi kbsa RUSIA wakionyesha kutokuwa na mpango wowote wa kuitwaa UKIRENE yote.
Mfn ni ile kauli iliyotolewa wakisema, watatwaa maeneo umbali wa kila range ya silaha atakayopewa UKIRENE kutoka West.
Ina maana kama UKIRENE hawatopewa silaha yenye range kubwa kiwango cha kuifikia RUSIA basi hakutokuwa na mpango wa kuitwaa UKIRENE yote.
Tatu na Mwisho, Haihitaji elim ya ma-pihechidii kutambua kwamba West+Ukirene hii Mbungi hawawezi toboa hata waamue kuandamana kwa kutembea uchi hadharani (Kama wanavyofanyaga mara zote).
Ni pro west tu pekee ndo wenye upofu kiwango cha kutoona kbsa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu pamoja na hoja nyingi ambazo nilizielezea katika mada hii naona umeziafiki, ila tatizo lako kubwa ni muda wa hiyo operation, kwamba Putin hakutaja muda wa operation na hivyo mimi nimesema uongo. Nimekujibu kwamba kila shughuli ina muda wake, sikufuta kauli yangu. Sasa inabidi wewe utujuze timeframe ya vita ama operation yake. USA alimtandika Iraq ndani ya mwaka na alikuwa anatoka masafa..Jibu swali, unaanza kugeuza maneno wewe ndo unauliza tena?π€£π€£π€£
Umeandika UONGO kwa 89% all in all chagua wimboMkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Kwa story jinsi zinavyokuja, kuna uwezekano hiyo drone imeshushwa kitaalam bila kupat ajali yoyote kama marekani anavyobwabwaja.
Mkuu tatizo lako ni kwamba, ukiona jambo wewe haulifahamu, kwako ni 'uongo' sawa! haya fafanua huo 'uongo' ulitakiwa ukweli wake huwezi sasa tunaelimishana nini.Umeandika UONGO kwa 89% all in all chagua wimbo
Halafu kitendo Cha kupaka drone mafuta Bora angepasulia yai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Warusi wamechukua kijiji cha Krasnohorivka karibu mji wa Adviivka na kufunga barabara kuu inayoingia kwenye mji wa Adviivka.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2553539
Kubali tu uliteleza!Hakuna mahala Putin alitangaza muda wa SMO kama wewe ambavyo umeeleza kwamba aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga Ukraine ndani ya wiki moja!Mkuu pamoja na hoja nyingi ambazo nilizielezea katika mada hii naona umeziafiki, ila tatizo lako kubwa ni muda wa hiyo operation, kwamba Putin hakutaja muda wa operation na hivyo mimi nimesema uongo. Nimekujibu kwamba kila shughuli ina muda wake, sikufuta kauli yangu.
Sasa inabidi wewe utujuze timeframe ya vita ama operation yake. USA alimtandika Iraq ndani ya mwaka na alikuwa anatoka masafa..
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa iyo Mmarekani kawekewa kilainishiHalafu kitendo Cha kupaka drone mafuta Bora angepasulia yai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787] Duroniiii ya kishoga hiyo ...imetiwa wese tu imezamishwa kwa mparangeDrone imepakwa mafuta ikashushwa
MRUSI nae ni filauni mwingne.