LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
[emoji848] Breaking News
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID_20220311_200222_944.mp4
    1.5 MB
Wamarekani hawana pressure na hii vita. Sisi kutokana na kukosa mambo muhimu ya kufanya ndio tuko hapa masaa 24 kuzungumzia vita.
Kwahiyo wewe unatupangia kipi Cha kufuatilia mitandaoni, huwa unatununulia bando au tulishawahi kukuomba pesa ya dagaa kwa kuwa tunashinda mitandaoni kufuatilia maswala ya Vita hivyo hatuna muda wa kutafuta mahitaji ya family?
 
Kwenye huu mgogoro Urusi naona anaenda nje ya mategemeo yake wakati anaanza hii operation.
Alijua ngoma itakuwa rahisi sasa mambo yanazidi kuwa mengi.
Yawezekana wewe ndo uliona ngoma ni rahisi sana ila yeye atakuwa aliona na anafahamu mengi zaidi
 
Kyiv is negotiating with European countries so that the arrested $415 billion of Russian reserves will be used to compensate for damage to Ukraine, said the deputy head of the Ministry of Economy of Ukraine. Galip SV Liwagu View attachment 2146971
Kama hiyo amount nikweli then inatosha kufidia uharibifu.

let's see if Putin destroys his own money.
 
Warusi wa buza mtu wenu huyo yumavumbini sasa

 
Hawa kenge wanahangaika na mavikwazo yao kutwa makelele wakati mwanaume yupo kimya kimya ye anatupa mabomu.. huku watoto wakike wanashinda kwenye TV kutangaza vikwazo mda wote
 
UNGEKUWA WEWE UPO KATIKA NAFASI YA PUTIN NA SANCTIONS ZOTE HIZI UNGEFANYA NINI WAKATI HUU?

NA JE UNGEKUWA ZELENSKY KATIKA NAFASI YAKE UNGEFANYA NINI?


View attachment 2147187
Kwa usalama wa nchi ya russia kwa vyovyote kama ningekuwa Putin, ningeendeleza mashambulizi.. Siwez kuweka nchi yangu hatarini kwa sabbu ya nchi ambayo naweza kuipiga..

Then ningekuwa zelensky ningepima upepo.. Nimeona kabsa NATO haina msaada wowote kwangu.. Sasa kwann niumzie raia wangu kwa jumuiya ambayo ambayo inaiogopa russia..

Ningekubali kushindwa ili kunusulu wanachi wangu na raifa langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…