Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ile ilikuwa ni operation ya kuwatafuta magaidi.. Kama unakumbuku wakati ule kulikuwa na wimbi kubwa la UGAIDI na wengi walikuwa wanatokea huko. Hapakuwepo maangamizi ya watu kiasi hichi. Narudia ile ilikuwa "Military Operation" na hii ya Putini alisema ni "Special Military Operation". Hizo ni operation mbili tofauti.
 
Mkuu hongera kwa kutushushia hizi taarifa. Ni matumaini yangu kuwa, kama watasoma na kuelewa na kisha kuyatafakari yaliyomo kwa upewo mkubwa nadhani wenye uelewa wataelewa. Mkuu endelea kutupatia yanayojiri.
 

Report ya Mauaji waliyofanya US & Allies huko Syria, Libya, Iraq and Afghanistani na yenyewe itatoka lini...?
 
Sawa bana wewe endelea nao TU.
Wape hoja mpaka watakuelewa.
 
Mkuu ni vema tukajielimisha kidogo kuhusu vita. Mimi nadhani kwenye vita nako kuna sheria na kanuni zake. Sidhani kama upo vitani wewe ukawalenga raia na kuwamiminia risasi; ukabomoa miradi ya raia kama ya maji, umeme, kuchoma maghara ya nafaka na nnyumba za raia n.k. nadhani hii sio sahihi, ndio maana nchi nyingine zinakupigia kelele kuwa unachofanya sio kizuri, na pengine ukashitakiwa kwenye mahakama zao (UN).

Unatakiwa uwapige wanajeshi wenzako, piga maghara ya silaha zao, bomoa madaraja; kwa kifupi haribu vitu vya kijeshi na wanajeshi wao, na so vinginevyo.

Sawa bana wewe endelea nao TU.
Wape hoja mpaka watakuelewa.
Big-up Mkuu.
 
Sema nishastaafu majadiliano na watu mfano wako jamaa angu. Labda nikushauri kitu we kama Mtanzania mwenzangu, kwe kadamnasi ka hii jitahidi kila neno linalokutoka akilini liwe kwenye mpangilio na uwe na kumbu kumbu vile.

Ukiona kuna mmoja au wawil wame'qoute katika mawil matatu ulioandika basi jua kuna walio wengi zaidi wameona na wamekisoma kile ulicho andika na of course wakaamua kupuuza.

It's not like mevamia mjadala ulio kua nao ila basi tu niliamua kuku'quote ili ujue tunaona kile venye unaandika.

On your previous comment umedai hakuna operation ya kuchukua miaka... tumekupa mfano wa the so called Operation iliyochukua miaka 20 umerudi nyuma kutafuna maneno yako ya awali, ingawa ilichukua 20yrs yet umeamua kuiita Operation. So hapo kama sio mahabba kwa baba enu US basi inaonesha how lowly and poorly brain ako inavyochakata mambo.

Na ninasema siwezi kabiiisa kujadiliana na watu mfano wako si kwamba nakudharau la hasha... Tatizo Una lack specific point of reference, Your thoughts, Your way of thinking haina basics... You define vitu not based on facts ila just your lustful wishes.

In this world, the very little you know kwenye ulimwengu wa Geopolitics. Ila since ni haki yako kuzungumza no objection kwa hilo. But We do mind you! "HOJA NI HOJA, na IMANI NI IMANI..." it take just "kuambiwa tu" hivi na vile kua "Beliefs oriented" ila it takes time and dedication kukusanya a lot of data ili kua "facts oriented".

Na kwa sababu most of you ni wavivu, most of you mmeanza kuzijua za nje 24th Feb Last year mlivosikia Russia kaingia Ukraine... So hatuwalaum!

Haijalishi nn kile mnasema kujipa tabasam hewa... Waswahil tuna msemo wetu kua kelele za Chura hazimtishi Tembo kunywa maji. You are so called Umoja wa kujihami... Ka kikundi ka wale mnaowaita wababe wa dunia.

Kama kweli mna akili the way mnavyojinasibu, Mbona hamjiulizi kama kweli kinachoendelea Ukraine kinawakera na wana kilaani kweli kweli hao International Community, kwanini wasiende kama walivyoenda sehem zinginezo duniani to mention but few Libya, Afghanistan, Iraq na kwingineko wakamchape Putin mchezo uishe? Wanaogopa nn mzee?

So kama unaitizama Dunia hii kwenye TV na kwenye vijiwe vya kahawa pole sana mwamba. Na hizi habari za Masaaa kadha wa kadha mara imeenda ikarudi ni hoja ambazo kama kweli mko matured sio za kutoka kwenye vinywa vyenu. Zinawafaa watoto wa chekechea kulingishiana pipi na Biscuits.
 
Kama wewe husikii labda sababu huna habari?
 
West warns Ukraine not to blow ‘last ditch effort’ – NYT

A New York Times story on Thursday suggested that the US and its allies are running out of ammunition for Ukraine, while Kiev is using up the troops and shells that will be needed for their planned spring offensive to fight for Artyomovsk instead.

Called Bakhmut by the Kiev authorities, Artyomovsk is now almost entirely surrounded by Russian forces. Ukrainian troops attempting to hold the town are running out of ammunition, the Times reported, with one brigade commander complaining of a “catastrophic shortage” of artillery shells.

Some US and EU officials now worry that Ukraine is using up thousands of shells a day in the battle for Artyomovsk at a pace that is “unsustainable” and “could jeopardize a planned springtime campaign,” which Kiev’s Western sponsors “hope will prove decisive,” according to the Times.

The Pentagon has reportedly even “raised concerns” with Kiev about this, warning Ukraine about “wasting ammunition.”
 
Umeshaambiwa Tabia ya kuchekacheka sio Tabia ya kiume, lakini naona umeshakuwa mraibu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] silaha ya kuwamwagia mafuta naona imewapendeza sana.itabidi tuendelee kuongeza ujazo ili tuwamwagie kila siku.

Kipanya 44 itabidi uje na ndege nyingine tuwamwagie tena maana naona una hamu nayo tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa yake tayari ipo Ni kuzimwagia mafuta tu.
 
Alafu wakikaa kwenye media wanakwambia tumetungua missile 50 katika missile 65.
Wakati hapo missile 4 hakuna hata moja iliyotunguliwa.anga jeupe kabisa.zike anti air missile sijui zilikuja Ukraine kutalii[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…