Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Putin anakwenda pale New York na hakuna wa kumgusa. Putin sio gadaffi, osama au saddam husein.
 
Tuliwaambia vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]



[emoji298]️New anti-tank defense lines and fortifications have started appearing in temporarily occupied Crimea.

According to the Ukrainian Main Intelligence Directorate, Russia is preparing for defensive actions on the peninsula.

[emoji328]: Krym Realii

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwenye nguvu za kidiplomasia za kuimaliza hii vita ni China pekee
China ameshatoa peace proposal yake.
Westerns wanasema hawaitaki
Ukraine haja comment chochote kuhusu hiyo peace proposal.

Hadi sasa China ame play neutral position.

Kama Negotiations za kufika peace hamtaki maana yake mnataka mapambano yaendelee.

Ila kumbuka kwamba Chinese na Russians wana agreements za military cooperations.
 
Hao washoga watakua washafuta kila kitu kwenye memory ya hyo drone..maana wanajua kitu km hcho kinaweza kutokea, ndio maana kamanda wao alisema haina umuhimu sana kwa sasa..
Mkuu, shida siyo kufuta data bali shida ni Russia kuibutua drone ya anaejiita super power wa dunia kisha kuichukua na kuipeleka kwake kimya kimya huku super power akiendelea kubweka hovyo kwa lugha za kujifariji.

Yani anachokifanya USA ni sawa na kumkuta mkeo anapigwa mpini laini na jamaa linalokuzidi nguvu, badala ya kupambana nalo unaishia kusema "kwanza mke mwenyewe nilikuwa nishamla sana hadi nimemchoka hata akimla na kuondoka naye haina shida". Wakati maumivu ya kumegewa mke yapo wazi kabisa hata kama humpendi kiasi gani.

Kiufupi kauli anazozitoa USA kwa lugha rahisi tunaziita kauli za mnyonge kujifariji dhidi ya mubabe wake.

Ukitaka kujua USA anaumia kwa kupigwa drone yake, liambie jeshi la nchi yako liangushe drone ya USA uone moto wake.
Mwisho wa siku tunarudi pale pale kwenye kauli ya wahenga kuwa;

URUSI [emoji635] SIYO IRAQ, LIBYA, ZIMBAMBWE, WALA YUGOSLAVIA.
 
VIDEO
Kuna Kikundi kimoja cha Kiukrein Kilikuwa Kinatumia Mbinu za Kuvizia kisha Kukimbilia kwenye Jengo
Wanaume Wakaona Huu ndio muda wakumleta
BMP-T terminates

Your browser is not able to display this video.

Aisee hii kitu nihabari Nyingine Kabisa
Yaani Kitu inatetema na Kukohoa Hatari
Yaani hii Ikikukosa Unakufa Na Ikikupata Unakufa tu
 
Eti demu mwenyewe nshamla sana wacha naye amle tu ata simtaki tena huku jamaa linaumia sana kugongewa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Aiseee... hiyo mashine ni hatari sana.
Ghorofa linapigwa na kushuka lenyewe taratibuu...
 
Mambo ya T72 Tank hayo 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…