Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu tatizo lako umempenda zaidi Putin., Putin aliliona hili jambo kuwa ni dogo sana ndio maana akaita SMO na lengo lake ni within 96 dayas atakuwa amemaliza kazi, Leo ni mwaka. 96 days zipo ndani ya One week niliyotaja. Zama kwenye vyazo vya habari utaona.
Sio masaa 96 Bali ni siku 96?Ulianza wiki,ukaja masaa 96 na Sasa unasema siku 96?
Kipi ni kipi,chutama tu,utaendelea kuumbuka!
 
Mkuu je una uhakika unajua unachojadili? Mfano Kyiv ina ADS moja aina ya IRIS-T. Kwenye shambulio kubwa la juzi kombora moja liliweza kupiga Kyiv, zote nyingine ziliangushwa mapema.
Shambulio hilo lilifaulu kidogo kwa sababu walitumia idadi kubwa za roketi 80+ na klenga miji mingi. Si miji yote penye ADS za kisasa.
I am a technical person si zungumzi mambo ya kubuni hapa. Raia wengi wa Ukraine wanazungumza kwamba wao waliona missiles za Urusi kwa macho yao zikivurumishwa na kupiga strategic targets karibu zote bila ya kipangamizi chochote, Mukraine mmoja tena mwanajeshi alisema kama kunamtu anasema eti missile za Urusi zilitunguliwa hiyo si kweli hata kidogo, labda dummy missiles lakini not a real one.

The truth of the matter ni kwamba siku ya tukio all Ukrainian air defense systems were redered ineffective ie ziligeuzwa kama toys baada ya Warusi kutanguliza kwanza dummy missiles kwa lengo la kusoma specs za Ukraine air defense systems taarifa hizo zinatumwa in real time kwa missiles za Urusi zinazo fuata nyuma ya Dummy missiles - missiles alisi za Russia zina uwezo wa kuingilia mawasiliano ya uongozaji wa missiles za Ukraine ADS baada ya kuzisoma - ndio maana ADS za Ukraine siku hiyo zilijikuta zinatiwa kiberiti kirahisi.
 
Ulisema Putin alisema anaipiga Kiev ndani ya siku tatu. Leta ushahidi acha manengo mengi yasiyoeleweka. Huna ushahidi piga kimya
Mkuu nilisema 'a week' kwa kuwa ulitaka usahihi ndio nikakuambia alitarajia within 96 hours, tatizo lipo wapi? Mkuu hakuna operation ambayo haina muda, na huwa operation huchukua muda mdogo na sio miaka. Nadhani sasa utaelewa
 
Sasa tukimpa like ndio nini dogo mbona unakuwa mshamba sana? Yaani like za jf nazo zina count?

Mi namkubali sana kp kipanya44 jeshi la mtu moja. Mko wengi humu lakin anawatoa knock out kila mara.

Ushauri wa bure punguza kuweka vi imoj vya kucheka cheka. Mwanaume kujichekelesha kila mara sio dalili nzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila shana na wewe unaitaji ile huduma pendwa ya kilainishi kama ilivyofanyiwa ndege yenu
 
Wewe ndio ovyo kabisa. Kweni Putin yupo peke yake.
Ndugu yangu Kama hujui issues nyamaza kimya...usilete Habari za uongo humu....Ni Nani alikuambia USA sliipiga Iraq ndani ya mwaka?!?! Awali ya yote USA hakuwa peke yake huko Iraq...Halafu Ni lini Putin alisema 'angeisambarstisha' kwa siku tatu?! Nyie watu hovyo Sana kwa kweli..
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
America, send Ukraine more money and equipment, so they can make TikTok videos.

This is cringe…and people wonder why Ukraine is losing [emoji23]

#NATO #Biden #POTUS #Russians #Bahmut #China #Putin

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo wa hii thread Pro NATO walikuwa wanashangilia sana wakati ngoma bado ilikuwa kipindi cha kwanza uwanjani.

Sasa hivi ni kipindi cha pili dakika ya 50 wamekimbia uwanjani daaah HURUMA sana.

Uuuraaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

Mbaya zaidi wanaitana na anayeitwa akisoma COMMENTS za PUTIN anakimbia utamuona jukwaa la uhusiano

(KULA TUNDA KIMASOHALA)😂😂😂😂😂
Dogo utakuwa huna kumbukumbu. Nashauri pitia tena uzi utaona mwanzo ulikuwaje. Nyie pro russia wa sikuhzi mmeibukia tu watoto wa juzi.

Mwanzo mwa huu uzi kulikuwa na wachambuzi manguli wa Pro russia wa jukwaa la kimataifa wakitamba na nguvu za Urusi sikuhizi wote wamekimbia mmeachiwa nyie wanywa kahawa vijiweni na waomba Mungu msojua lolote.
 
Mkuu pamoja na hoja nyingi ambazo nilizielezea katika mada hii naona umeziafiki, ila tatizo lako kubwa ni muda wa hiyo operation, kwamba Putin hakutaja muda wa operation na hivyo mimi nimesema uongo. Nimekujibu kwamba kila shughuli ina muda wake, sikufuta kauli yangu. Sasa inabidi wewe utujuze timeframe ya vita ama operation yake. USA alimtandika Iraq ndani ya mwaka na alikuwa anatoka masafa..
Tambua kuna kipigo Defensive na kipigo offensive. Mtu anaekuja mazima kukuangamiza haji kwa step bali anakuja kuharibu kila kitu.

Sasa Mrusi yeye anapigana kishakaji, sababu hataki kuiangamiza Ukraine. Hao US unaowasifia walienda kule na masilaha yote ya maangamizi.
 
Mkuu natambua kuwa wewe huna ushabiki uliopitiliza. Uhalisia wa jambo hili ni kuwa Putin aliwadharau sana wa Ukraine na ndio maana akaita ni operation lakini akakutana na nguvu ambazo hakutarajia, leo tupo mwaka wa pili hivyo huwezi kuita operation tena. Ila nasema muda utaongea.
 
Wewe unachotakiwa ni kuionea huruma tu ukrane maana itaaribiwa vibaya sana na kuijenga tena itachukua muda maana mpaka wakati huo uchumi wa ulaya na marekani utakuwa unapumulia mashine. HIFADHI HII KTK BICHWA LAKO, URUSI HAWEZI KUSHINDWA HII VITA KWA KIVYOVYOTE VILE
 
Mkuu natambua kuwa wewe huna ushabiki uliopitiliza. Uhalisia wa jambo hili ni kuwa Putin aliwadharau sana wa Ukraine na ndio maana akaita ni operation lakini akakutana na nguvu ambazo hakutarajia, leo tupo mwaka wa pili hivyo huwezi kuita operation tena. Ila nasema muda utaongea.
Hawana nguvu kiasi hicho, walitwangwa mpaka kibaraka wao US na NATO yake wakaona kitakachofata ni wataisha wote na nchi nzima itakuwa annexed na masilahi yao wanayotaka Ukraine watayakosa.

Ndio kuanza kupeleka masilaha, bila hivyo angeelemewa.
 
Tambua kuna kipigo Defensive na kipigo offensive. Mtu anaekuja mazima kukuangamiza haji kwa step bali anakuja kuharibu kila kitu.

Sasa Mrusi yeye anapigana kishakaji, sababu hataki kuiangamiza Ukraine. Hao US unaowasifia walienda kule na masilaha yote ya maangamizi.
Mkuu ukweli ni kwamba Putin alikuwa anamtamani Ukraine sasa, hivyo sio kwamba Putin anapigana kishikaji, amejizatiti kabisa aitwae Ukraine, lakini hakujua kwamba naye ana rafiki ambao watamsaidia.

Kama uliona day 1 alivyoingia kwa mbwembwe akisindikizwa na vifaru kibao lakini vifaru viliishia kuangamizwa kwa kipigo cha mbwa koko.
 
Back
Top Bottom