Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I am a technical person si zungumzi mambo ya kubuni hapa. Raia wengi wa Ukraine wanazungumza kwamba wao waliona missiles za Urusi kwa macho yao zikivurumishwa na kupiga strategic targets karibu zote bila ya kipangamizi chochote, Mukraine mmoja tena mwanajeshi alisema kama kunamtu anasema eti missile za Urusi zilitunguliwa hiyo si kweli hata kidogo.

The truth of the matter ni kwamba siku ya tukio all Ukrainian air defense systems were redered ineffective ie ziligeuzwa kama toys baada ya Warusi kutanguliza kwanza dummy missiles kwa lengo la kusoma specs za Ukraine air defense systems taarifa hizo zinatumwa in real time kwa missiles za Urusi zinazo fuata nyuma ya Dummy missiles - missiles alisi za Russia zina uwezo wa kuingilia mawasiliano ya uongozaji wa missiles za Ukraine ADS baada ya kuzisoma - ndio maana ADS za Ukraine siku hiyo zilijikuta zinatiwa kiberiti kirahisi.
Mkuu kuhusu dai eti "Raia wengi wa Ukraine wanazungumza..." hujaleta ushahidi nani alisema nini, lini na wapi.

Kuhusu roketi za "dummy" sina taarifa kamili, ila ni dhahiri kwamba mifumo mingi inashindwa kama idadi ya roketi zinazokaribia wakati moja ni kubwa mno. Kuhusu IRIS-T tumeoana kwamba safari iliyopita roketi nyingi zilizolengwa Kyiv ziliangushwa, ila moja ilipiga. Lakini idadi ya mifumo ya IRIS-T zilikuwa mbili tu, moja imeongezeka, nadhani.

Mafanikio ya mashambulio mengine yatategemea Urusi itakuwa na uwezo kukusanya tena idadi kubwa ya roketi...
 
Endelea tu kukaunti masiku na masaa. Sisi tunachoangalia na kujali maeneo yaliyojitenga na mashoga yalalindwa kwa 100%
Tangu lini "maeneo" yanajitenga? Watu wanaweza kujitenga,. Ila katika kila uchaguzi huru wakazi wa mikoa yote ya Ukraine walithibitisha wanataka kuwa raia wa Ukraine - hadi Putin alituma aliowahi kuajiri. . .
 
Uliyoandika lines za mwisho ndiyo ambayo serikali ya Zelensky inafanywa!Inakamata wanaume Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline,wamepeleka Hadi vitoto vya chini ya miaka 18!
Mkuu mbona unaamini propaganda bila kuuliza kama ni kweli? Je una mfano 1 kuhusu watoto chini ya miaka 18 katika jeshi la Ukraine? Sidhani.
Propaganda hii inasimama kwenye video moja Facebook. Inaonyesha wafuatao na kudai ni watoto:

1678994839421.png

Wa kwanza anaitwa Elizabeth, ni dereva wa ambulance akiwa na umri wa miaka 23, si 14. Wanahabari walimhoji pia wazazi wake waliosema binti amemaliza digrii mbili akajitolea jeshini wakati Putin aliposhambilia.

Huyu mwingine anaitwa Andrea Sidis. Aliwaambia wanahabri kwamba alikuwa na miaka 25 alipopost video yake iliyotuiwa katika facebook ya Kirusi. Naye alijitolea kwa huduma ya kijeshi.

propaganda ni sanaa naufundi. Wako wanaoweza, wengine wanashindwa. Ila hata wanaoshindwa wanaweza kupata waamini.

Mkuu tatizo lako umempenda zaidi Putin., Putin aliliona hili jambo kuwa ni dogo sana ndio maana akaita SMO na lengo lake ni within 96 dayas atakuwa amemaliza kazi, Leo ni mwaka. 96 days zipo ndani ya One week niliyotaja. Zama kwenye vyazo vya habari utaona.
Una nafsi dhaifu Sana...anyway nilitaka nikutukane nikagundua sitakua na tofauti na wewe.
 
Wewe inachotakiwa ni kuionea huruma na ukrane maana itaaribiwa vibaya sana na kuijenga tena itachukua muda maana mpaka wakati huo uchumi wa ulaya na marekani utakuwa unapumulia mashine. HIFADHI HII KTK BICHWA LAKO, URUSI HAWEZI KUSHINDWA HII VITA KWA KIVYOVYOTE VILEMkuu
Mkuu hapa tunapeana elimu na maarifa ya dunia hii, matamshi yasio na staaha na matusi "bichwa lako"hayapendezi na hasa tukiamini sisi sote hatupo kwenye foolish age. Hivi wewe ukiambiwa bichwa lako utafurahi.

Kwa mantiki hiyo "tafadhali ukiona hoja zangu humu usichangie. Sikujui bali nakuheshimu.
 
Hawana nguvu kiasi hicho, walitwangwa mpaka kibaraka wao US na NATO yake wakaona kitakachofata ni wataisha wote na nchi nzima itakuwa annexed na masilahi yao wanayotaka Ukraine watayakosa.

Ndio kuanza kupeleka masilaha, bila hivyo angeelemewa.
Mkuu wewe una predict, lakini watu wengine pale wamepata uwanja huru wa kujaribia zana zao; kwa hiyo hawangependa ngoma iishe haraka hivyo maana bado wana zama nyingi za kujaribiwa na zingine kuziboresha.. Ila kama ninavyo sema muda utaongea.
 
Hahahahahah muda utaongea maana kila mtu anataka atest kuzikaanga silaha za NATO 🤣🤣🤣 bado kiduku na mchina hawajapeleka zana zao 😀
 
Mkuu kuhusu dai eti "Raia wengi wa Ukraine wanazungumza..." hujaleta ushahidi nani alisema nini, lini na wapi.
Kuhusu roketi za "dummy" sina taarifa kamili, ila ni dhahiri kwamba mifumo mingi inashindwa kama idadi ya roketi zinazokaribia wakati moja ni kubwa mno. Kuhusu IRIS-T tumeoana kwamba safari iliyopita roketi nyingi zilizolengwa Kyiv ziliangushwa, ila moja ilipiga. Lakini idadi ya mifumo ya IRIS-T zilikuwa mbili tu, moja imeongezeka, nadhani.
Mafanikio ya mashambulio mengine yatategemea Urusi itakuwa na uwezo kukusanya tena idadi kubwa ya roketi...
Naona tutakesha hapa tukibishana kwa vitu ambavyo ni so obvious - kama huwezi kutofautisha kati Dummy missiles na virokeri vya DIY (backyard) vinavyo undwa na wapalestina na waasi wa Yemeni basi tena.

Labda nikusaidie kitu kimoja hapa, hatuzungumzii swarms of home made rockets au vi-drones vyenye lengo la ku-overwhelm ADS kutokana na wingi wake - tunacho zungumzia hapa ni missile inayonekana kwa sura na kwenye rada kama ni real one lakini inside imewekewa systems za kielectronic kwa lengo la kunasa vital information kuhusu mifumo ya ADS za Ujerumani na USA, taarifa hizo zinanaswa in real time wakati German or USA rada zinapo jaribu kumulika Dummy missiles za Urusi kwa lengo la kizitungua, kumbe zinatumwa kama chambo cha kurecord vital spec zote za ADS na zinatumwa in real time kwa real missiles ambazo ziko armed kwa mashambilizi ya kulipua hizo ADS za Ukraine, real missiles zinakuwa nyuma ya Dummy missile kwa dakika au sekunfe chache zinakuja ziko well armed kwa vilipuzi vile vile na uwezo wa electronic wenye lengo la kujam system nzima including radar kwa kutimia taarifa zilizo kuwa uploaded kutoka kweye Dummy kabla ndio maana watu walio shuhudia matukio hayo wanasema ADS za Ujerumani na US zilionekana kama a sitting duck wakati zikishambuliwa na missiles za Urusi.

The crux of the matter here is: Warusi waliwazidi kete NATO/US kwa kutumia dummy missiles kwanza ili ku-fool air defense system za Ukraine halafu baada ya muda mfupi kitu kizito kinafuata kwenye nyayo zilizotengenezwa na Dummy missiles kwanza, a very clevel stuff - Warusi kitu ingine nawambieni kila siku.
 
Tangu lini "maeneo" yanajitenga? Watu wanaweza kujitenga,. Ila katika kila uchaguzi huru wakazi wa mikoa yote ya Ukraine walithibitisha wanataka kuwa raia wa Ukraine - hadi Putin alituma aliowahi kuajiri. . .
Wakati mnaimba mapambio Asadi must go, alikuwa hajachaguliwa na wanachi wa syria ktkt uchaguzi huru?
 
Back
Top Bottom