Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maria na maneno yake ya shombo

Kama ukraine waliweza kuripuwa bomba la gesi huko baltic sea kama inavyovumishwa na media za marekani, kwa nini washindwe kuzamia bahari nyeusi kuitoa drone.

Kwa wale waliokuwa hawajaelewa kinachoendelea
View attachment 2553952
Mkuu je unafurahi kweli kumnukuu mshamba wa Moscow ambaye ajui tofauti kati ya kina cha Baltiki na kina cha Bahari Nyeusi ? Propaganda ni sanaa na ufundi. Wengine wanaweza, wengine wanashindwa...
 
Air defense system zipi unazo zizungumzia hapa, kama ni hizi za magharibi mbona juzi zilitiwa keberiti zote baada ya Urusi kuzitegeshea kwa kurusha dummy missiles kwanza ili zitumike kusoma up/down frequencies za AD system zinazo tumwa na radar ku detect target na vile vile na kuasidia kuongozea missiles inapo pidi, lakini SAM nyingine zinajiongoza zenyewe zikisha memorise mwenendo wa incoming targets/missiles.

Kama nilivyo sema tangu mwanzo, juzi warusi wakazidi kete Air defense system za Ujerumani zinazo pigiwa debe sana na baadhi ya wana JF members pamoja na ADS kutoka USA, Warusi wakatanguliza dummy missiles ili zisome frequency specs na code za ADS za Wajerumani na USA na kutuma taarifa hizo kwa missiles ambazo zilikuja kufuata baadae kwa ajili yakuzitia kiberiti ADS za magharabi zilizo kuwa zinalinda anga la Ukraine - mpaka sasa Ujerumani, Zelensky na USA hawakuamini kilicho tokea kwa ADS zao wanazo jisifia kila kukicha, ziliteketezwa usiku mmoja kama mchezo vile.

Sasa mwenzetu hapa sijui unazungumzia ADS zipi tena? Hizi hizi zinazo toka mataifa ya magharibi ambazo juzi hapa zilionekana kumbe hazina uwezo wakustahimili mziki wa silaha la Urusi - labda kama unazungumzia ADS zitakazo nunuliwa na USA/NATO labda toka kwenye sayari ya MARS.
Mkuu je una uhakika unajua unachojadili? Mfano Kyiv ina ADS moja aina ya IRIS-T. Kwenye shambulio kubwa la juzi kombora moja liliweza kupiga Kyiv, zote nyingine ziliangushwa mapema.
Shambulio hilo lilifaulu kidogo kwa sababu walitumia idadi kubwa za roketi 80+ na klenga miji mingi. Si miji yote penye ADS za kisasa.
 
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Nyato njooni huku
Kumbe hata iskander inawapeleka puta,
Halafu munatuambia tumefanikiwa kuintercept missile 60 kati ya 59 zilizorushwa
Sijakosea

Apart from the Russian hypersonic missiles Kinzhal and Kh-22, the Armed Forces of Ukraine cannot shoot down ballistic missiles." -AFU Airforce spkesman Yuriy Ignat
View attachment 2553967View attachment 2553968
Sawa tuendelee kuangalia kwenye akiba ya Putin bado kuna ngapi!
 
My lai day
Wanakharamu walitenda ukharamu wao
1678988527348.png
 
[emoji1236]Sweden will send 8 Archer artillery installations to Ukraine, Dagens Nyheter reported, citing a statement by Swedish Defence Minister Paul Johnson.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Russian military keeps "a powerful ground and aviation component" in Ukraine's Crimea, building fortifications and preparing for defense on the occupied peninsula, Vadym Skibitskyi, deputy chief of Ukraine's military intelligence, said on March 16.

According to Skibitskyi, nearly 90 combat aircraft and 60 attack helicopters are currently stationed in illegally annexed Crimea.

Learn more: Intelligence: Russian occupying forces in Crimea preparing for defense

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#UkrainianArmy
Near #Bakhmut, #Donetsk region, Ukrainian border guards repelled three enemy attacks, killing nine Russian invaders and wounding 17 others.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Russian military keeps "a powerful ground and aviation component" in Ukraine's Crimea, building fortifications and preparing for defense on the occupied peninsula, Vadym Skibitskyi, deputy chief of Ukraine's military intelligence, said on March 16.

According to Skibitskyi, nearly 90 combat aircraft and 60 attack helicopters are currently stationed in illegally annexed Crimea.

Learn more: Intelligence: Russian occupying forces in Crimea preparing for defense

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndege hizo nyingi ziko wapi? Mbona zinapumzika huko Krimea? Labda kupaa tu ili kurusha roketi moja-moja kwa umbali mkubwa?
 
[emoji298]️Nine countries intend to transfer 150 Leopard tanks to Ukraine, Pentagon Chief Lloyd Austin announced at the tenth meeting of the Ukraine Defense Contact Group (Ramstein format).

“The coalition of countries supplying Leopard tanks to Kiev continues to grow. Now nine countries have pledged to supply more than 150 Leopard tanks,” Austin said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pole
 
Mwezi Ujao Russia imesema itaajiri Wanajeshi 400,000

Haya wale wafia Urusi kazi hizo hapo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ajira ina pande mbili: mwajiri na anayeajiriwa. Watapatikana wangapi? Nisipokosei ofisi za kujiandikisha jeshini ziko kila mji wa Urusi, sivyo? Mbona hao 400,000 wameshafika kujitolea? Kama bado - kwa nini waje sasa?

Au labda si mpango wa kuajiri ila mpango wa kukamata kwa kulazimisha? Au kudanganya? Miaka 300 huko Ulaya mbinu ilikuwa kuwakaribisha watu kilabuni na kuwalipia vileo. Wakiamka wameshavaliwa sare. Nasikia Putin anapenda historia?
 
Ajira ina pande mbili: mwajiri na anayeajiriwa. Watapatikana wangapi? Nisipokosei ofisi za kujiandikisha jeshini ziko kila mji wa Urusi, sivyo? Mbona hao 400,000 wameshafika kujitolea? Kama bado - kwa nini waje sasa ??
Au labda si mpango wa kuajiri ila mpango wa kukamata kwa kulazimisha? Au kudanganya? Miaka 300 huko Ulaya mbinu ilikuwa kuwakaribisha watu kilabuni na kuwalipia vileo. Wakiamka wameshavaliwa sare....
Nasikia Putin anapenda historia?
Uliyoandika lines za mwisho ndiyo ambayo serikali ya Zelensky inafanywa!Inakamata wanaume Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline,wamepeleka Hadi vitoto vya chini ya miaka 18!
 
Mkiambiwa leteni ushahidi wa sauti au video clip ambayo Putin aliwahi kuitangazia Dunia muda atakao chukua kumaliza kazi huko Ukraine - ushahidi huo hamna kabisa mnabaki ku-copy copy propaganda za media za west, basi! Wengi mna amini uongo huo to the letter.
Mkuu tatizo lako umempenda zaidi Putin., Putin aliliona hili jambo kuwa ni dogo sana ndio maana akaita SMO na lengo lake ni within 96 dayas atakuwa amemaliza kazi, Leo ni mwaka. 96 days zipo ndani ya One week niliyotaja. Zama kwenye vyazo vya habari utaona.
 
Sio wiki tena bali masaa 96?🤣🤣🤣🤣
Post ya mwanzo Ulisema Putin aliutangazia ulimwengu kwamba atamaliza kazi wiki Moja,post hii unasema Putin alitangaza siku 4(saa96) atakuwa amemaliza kazi!
Sasa kipi ni kipi?
Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu!
Haya tuwekee Huo ushahidi wa wiki au hizo siku 4!
Mkuu uelewa wako ipoje!!!? Kweni hujui kwamba 96 days ipo ndani ya one week. week? Ebu tuache huu mjadala kuna mambo mengi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom