passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Anaweza kwenda nchi yoyote akitaka hata uingereza lakini hakuna wa kumgusa unajua kwanini?kama hujui kukuza maarifa kichwani kwako.Hilo nakubali, Putin anaweza asikamatwe kirahisi, lakini kutolewa huo warranty Kuna ujumbe umetumwa kwa ulimwengu,.. kumbuka Kwa Sasa Putin hatoweza kutembelea nchi wanachama wa ICC, Sheria za ICC zinataka nchi wanachama kuwajibika kwa kumkamata mshukiwa anayetaftwa na mahakama hiyo iwapo anatembelea katika mipaka ya hiyo nchi husika,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Muhalifu kulingana na nani?hiyo mahakama kaangalie Nani anafadhili utajua hizo ni siasa Tu na hakuna wa kumgusa putin hata akienda uingereza.Ni aibu na fedheha kwa taifa lenye historia kubwa kama Urusi kuongozwa na muhalifu anayetafutwa na mahakama ya ICC.
Watapata tabu sana[emoji1787]Nasikia Kuna vikao vingi Sana kuhusu hii drone.View attachment 2553742
Unaota ndugu..na utaota sana....na utaendelea kuteseka sana...unayotamani hayatakuja kutokea...ICC issues an arrest warrant for Putin
The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.
The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.
Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.
=========================
Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.
Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
Kazi nzur sana[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Navy has reached the area of the U.S. Air Force MQ-9 Reaper that was crashed into the Black Sea.
It’s speculated that they’re going to use the Kommuna recovery ship to pick up the droneView attachment 2553859
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndivyo ilivyo.
Muda utathibitisha haya....Unaota ndugu..na utaota sana....na utaendelea kuteseka sana...unayotamani hayatakuja kutokea...
Omar Albashir alishafika kule?
Dada Fatou alijaribu kutaka kuwagusa akatishiwa vikwazo yey na familia yakeUS yeye watu aliowaua Libya, Iraq na Afghanistan UN walichukua uamuzi gani? [emoji1787]
Dada Fatou alijaribu kutaka kuwagusa akatishiwa vikwazo yey na familia yake
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah huyu mzee mwehu sana 🤣🤣🤣Medvedev afananisha hati ya kumkamata Putin ya ICC kama Toilet paper , adai kwamba inapaswa kutumika kama TOILET PAPER.View attachment 2555673
Kwa vile mkubwa wao anahanya kutenga bajet ya kunusuru mabenk yake naamin siku si nyingi Zele atakubal yaisheMwenye nguvu za kidiplomasia za kuimaliza hii vita ni China pekee
Inaelekea huyu mwamba Med ni Kichaa sana.Hahahahahah huyu mzee mwehu sana 🤣🤣🤣
Umesahau hii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini huyu alijirikodi nakufanya hivi??View attachment 2555338View attachment 2555340View attachment 2555341