Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The question is who will arrest the big dog, hahahahahaha!

Asongee maana mwamba Yuko fiti ,
 

Yaani this is a technical admission of defeat in the battle field.

Wanawaanda wananchi wao kisaikolojia kukubali matokeo, it is an exit strategy. Wamegundua wanaumia na hawawezi kuishinda Urusi kivita.

West wameisha.
 
The question is who will arrest the big dog, hahahahahaha!

Asongee maana mwamba Yuko fiti ,
That is the 1Trillion dollar question.Anyway,sidhani kama they really intend to arrest President Putin,who dare do it and how.

Anyway,this could be an exit strategy, but may also be trying to save face.They might also be trying to show their citizenry that Putin is the bad guy!
In any case,only the stupid will buy any of the above.
 
Kakijana, hiyo exchange rate ya rupee kwa tsh imepimwa kwa mzani upi? Ni nn kinaamua kuwa rupee kadhaa ni tsh kadhaa.

Ni kile kilichopima $1=Tzs 2,350 nguvu ya uhitaji wa matumizi ya aina fulan ya fedha..ukii-demand sana inapanda thamani na usipoihitaji sana inashuka thaman, (kumbuka scarsity ya $ inafluctuate thamani yake...ila kutokana na USA ali-print $ za kutosha dunia basi fluctuation yake ikawa stablelized na world money transfer ambazo zote hizo ni mifumo ya matajiri wa US walishaandaa system kutokana na wanauchumi mashuhuri wa masuala ya fedha kuajiriwa na hao Matajir wa US na ulaya(madoni kina Soros-bingwa wa forex) ndio maana unahisi $ ndio kipimio cha kiasi halali cha mauziano duniani.

No..sio sio kwakua kisu ndio kinakata nyama ukajua panga haliwezi au msumeno hauwezi..au wembe hauwez kukata nyama, $ ilianza kama panga au wembe, mda unavyoenda chombo kikaji-resize hadi kufikia size ya Kisu kuwa ndio halaal kukata nyama, Sasa werevu wameamua kukitoa kisu ili watumie sime la masai kukata nyama, MIR payment ikifanikiwa kushika network ujue utakuja kushangaa hapa bongo $ moja ni sawa na 1,600 halaf rupee ni 1,500 Yuan ikawa 1,800 na Rubble ikawa 1,200.

Usikariri $.. Kariri Dhahabu..hiyo ndio haiwez kuporomoka maana hakuna anaeweza kuprint dhahabu, dhahab leo kg 1 ya dhahabu ni karibu 150milion, carat moja ya dhahabu ni karibu 30k tsh haitosh hata pete.. Na hapa USA asipokua mjanja akapunguza mzunguko wa $ yake duniani basi itakua ni pesa ya kizimbabwe soon(if MIR ikashika kasi na wahuni kama wote wakaikubali) hakuna westen money masta cad wala SWIFT
 
Miaka ya 2000 shilingi 1 ya kenya ilikua sawa na shilingi 10 tz ila leo hii tunanunua vitu vingi sana vya kiwandani kutoka kenya..sh 1 yao hapa kwetu ni 18 tsh..kwanini iwe hivyo..?
 
Mkuu hapo yeye hayupo! Hapo ni wenyewe kwa wenyewe
Georgia wasingeondoa ule mswada "foreign agent" basi amini leo hii ungekuta wale (brain washed) wameipindua serikali yao....na hapa bongo wasipokua makin basi hili litakuja kuwa tatizo kwa hizi NGO za kibongo tena wabongo tunavyopenda pesa..ukiambiwa umkane mzazi wako upewe kibunda ni fasta tuu..kipind hicho hakuna wa kumwogopa siro wala nani
 
Kuna afisa mmoja wa idara ya maji hapa Mwanza akiwa na pipe wrench lake kubwa kama nyundo ya mawe ndo hua anajiita Putin. Ngoja nimsanue anatafutwa na ICC😀😀
 
Hata akija tanzania
Ili akamatwe mpaka Tanzania itoe kibali la sivyo atamatwa aliyetoa tangazo
 
Utawagusa vipi watu ambao sio members wa hiyo Mahakama?
US ni mwanachama wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu?
Nadhani sheria ya kuanzishwa kwake ni kuprosecute individuals sio states au serikali. So as long as umefanya uhalifu wao kazi yao wanakushitaki sema haina dola so inategemea willingness ya mataifa yaliyoikubali hii coart kukukamata na kuwapelekea
 
#"While 123 states have signed the Rome Statute, 41 have not – including China, India, Saudi Arabia and Türkiye. Besides Russia, Israel, Sudan and the US have also withdrawn their signatures.

The US Congress even passed a law in 2002 prohibiting any cooperation with the court and authorizing “all means necessary and appropriate” to release any American – or national of an allied country – from the Hague, by military force if necessary."#


Hatimae KETE imeingia King Post.
 
Mkuu ni kweli US alihusika huko kote uliko kutaja. Lakini bila shaka alikuwa anafanya operation zake huku akizingatia kwanuni za kivita kama niliyotaja kwenye hoja yangu #108. 869. Ukizingatia hayo unapeta tu.
Kwahiyo aliko vamia US hakukuwa na civilian deaths as a result of mashambulizi ya jeshi la US hasa drone strikes? Au unajaribu kusema nini? Ni nani akitumia jeshi kutarget civilians anakuwa sahihi na kwa idadi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…