Hata akienda marekani awawezi mgusa msijidanganyePutin atatoka kwenda nchi rafiki na hakuna wa kumgusa,haraka Urusi miaka yote bila kutoka kama unavyoandika huo upuuzi wako.
Utakuta data tu zilizohifadhiwa. Ikirusha online bila kuhifadhi - basi. Menginevyo kwanza kazi ya kupata kitu mita 1500 chini ya uso wa maji.Braza drone zinafanyiwa (data recovering)tu unakuta kila kitu
Ile puto ya mchina ndo bado
Yenyewe inajishambulia ikishamaliza kazi yake au ikishtukiwa inaripuka kabisa na kujiungiza
Shughuli imeanza,🤣🤣🤣[emoji298]️[emoji1130][emoji635]Iran informs Russia that they are already mass-producing the American predator MQ9Reaper drone, it is called Kaman 22 and has a range of 3000 km.
View attachment 2555801
Kuna tofauti kubwa ya baba mmiliki wa bastola na baba anaemiliki upinde na mshale au panga. 🤣Hata akienda marekani awawezi mgusa msijidanganye
Na ndio maana Wagner PMC wanakuja kulinda amani ili projects kama hizi za Russia ziweze kufanyika.Russian Oil Giant Looking to Start New Projects in Congo
Russia's largest private oil company Lukoil is discussing starting new energy projects in the Republic of Kongo as an operator, the company said on Friday.
Lukoil aims to develop in the Republic of Congo. First of all, we are interested in projects where Lukoil could act as operator. We have discussed a number of such opportunities today," the firm’s regional Vice President Ivan Romanovsky said after a meeting with Congolese Minister of Hydrocarbons Bruno Jean-Richard Itoua.
Subscribe to RT
Hiyo ni slaa gan wanaYo TumiaVIDEO
Kuna Kikundi kimoja cha Kiukrein Kilikuwa Kinatumia Mbinu za Kuvizia kisha Kukimbilia kwenye Jengo
Wanaume Wakaona Huu ndio muda wakumleta BMP-T terminates
View attachment 2555639
Aisee hii kitu nihabari Nyingine Kabisa
Yaani Kitu inatetema na Kukohoa Hatari
Yaani hii Ikikukosa Unakufa Na Ikikupata Unakufa tu
Hii Ni Vita Ya Utapeli hamna kingine ni mashetani wanachota pesa huko kujitajirisha yakiwa yamejaa damu hayajali hata kwamba Russia ana Nuclear aweza kuliachia wakabakia majivu shetani mbwa waleMkuu Zelensky akili zake fyatu kabisa - hajali fate Waukraine wenzake anacho jali yeye ni fedha pamoja na kutajirisha US Military Industrial Complex pamoja na mwanae Biden anbaye aliwahi kufanya kazi Ukraine kama mshauri na ku-own kampuni ya mafuta kama sikosei - vita hii hajatokea kwa bahati mbaya kuna genge lawa tu wanapiga pesa big time akiwemo Biden Jr kwa niaba ya familia of course - ndio maana wanataka vita hii iendelee indefinitely!!
Hii Ni Vita Ya Utapeli hamna kingine ni mashetani wanachota pesa juko kujitajirisha yakiwa yamejaa damu hayajali hata kwamba Russia ana Nuclear aweza kuliachia wakabakia majivu shetani mbwa waleMkuu Zelensky akili zake fyatu kabisa - hajali fate Waukraine wenzake anacho jali yeye ni fedha pamoja na kutajirisha US Military Industrial Complex pamoja na mwanae Biden anbaye aliwahi kufanya kazi Ukraine kama mshauri na ku-own kampuni ya mafuta kama sikosei - vita hii hajatokea kwa bahati mbaya kuna genge lawa tu wanapiga pesa big time akiwemo Biden Jr kwa niaba ya familia of course - ndio maana wanataka vita hii iendelee indefinitely!!
Siku Mkija kushtuka pale patakua magofu mqtupuT-90 tank zikielekea Ukraine.hakika Urusi sio Zimbambwe.
Hii SMO, Russia and China wamei orchestrate vizuri sana.Vladimir Putin is one of the most influential leaders of our time. He's accomplished what no other leaders could; standing up to NATO's aggression, dismantling the lie of US hegemony and transitioned the world onto the path of multipolarity and prosperity.
That's y west wanaitumia Kila mbinu kumdhibiti Putin but they end themselves wakifeliHii SMO, Russia and China wamei orchestrate vizuri sana.
Westerns wanabanwa mbavu taratibu huku wakiwa hawaamini kinacgowatokea.
Dollar inakuwa dumped slowly but sure
Nchi zinaanza kufanya biashara kwa kutumia local currencies - Dolar circulation is being reduced
Economy of EU countries una shrink
Economy of China and India unaendelea kukua
Huku Africa, influence ya US and EU inazidi kupungua huku China na Russia influence ikiongezeka
The world will never be the same again.
Umeitaja $ mara nyingi mno ilihali wala sijaitaja kwenye swali. Nimekuelewa boss.Ni kile kilichopima $1=Tzs 2,350 nguvu ya uhitaji wa matumizi ya aina fulan ya fedha..ukii-demand sana inapanda thamani na usipoihitaji sana inashuka thaman, (kumbuka scarsity ya $ inafluctuate thamani yake...ila kutokana na USA ali-print $ za kutosha dunia basi fluctuation yake ikawa stablelized na world money transfer ambazo zote hizo ni mifumo ya matajiri wa US walishaandaa system kutokana na wanauchumi mashuhuri wa masuala ya fedha kuajiriwa na hao Matajir wa US na ulaya(madoni kina Soros-bingwa wa forex) ndio maana unahisi $ ndio kipimio cha kiasi halali cha mauziano duniani...No..sio sio kwakua kisu ndio kinakata nyama ukajua panga haliwezi au msumeno hauwezi..au wembe hauwez kukata nyama, $ ilianza kama panga au wembe, mda unavyoenda chombo kikaji-resize hadi kufikia size ya Kisu kuwa ndio halaal kukata nyama, Sasa werevu wameamua kukitoa kisu ili watumie sime la masai kukata nyama, MIR payment ikifanikiwa kushika network ujue utakuja kushangaa hapa bongo $ moja ni sawa na 1,600 halaf rupee ni 1,500 Yuan ikawa 1,800 na Rubble ikawa 1,200. Usikariri $.. Kariri Dhahabu..hiyo ndio haiwez kuporomoka maana hakuna anaeweza kuprint dhahabu, dhahab leo kg 1 ya dhahabu ni karibu 150milion, carat moja ya dhahabu ni karibu 30k tsh haitosh hata pete.. Na hapa USA asipokua mjanja akapunguza mzunguko wa $ yake duniani basi itakua ni pesa ya kizimbabwe soon(if MIR ikashika kasi na wahuni kama wote wakaikubali) hakuna westen money masta cad wala SWIFT
Hii game Mwanzoni Westerns walimu underestimate sana Russia na walikuwa na assumptions kwamba vile vikwazo vingeumaliza uchumi wa Russia.That's y west wanaitumia Kila mbinu kumdhibiti Putin but they end themselves wakifeli
Boss ukiachana na Russia ambayo ina vikwazo, unaweza taja nchi nyingine ambayo preferred foreign reserve currency sio usd na ukasema ni fedha gani?Hii game Mwanzoni Westerns walimu underestimate sana Russia na walikuwa na assumptions kwamba vile vikwazo vingeumaliza uchumi wa Russia.
Lakini imekuwa tofauti kabisa.
Kinachotokea hapa ni kwamba Westerns Economy hauwezi tena kuimili hali ya namna hii.
Hawawwzi tena ku print pesa, una print kwa ajili ya nani, wakati nchi zimeanza kufanya biashara kwa local currencies zao. Vilevile Dumping of dollars,
China na India wanapata cheap energy. Uchumi wa hizo nchi unakuwa bila shida.
Kesho ya Europe ipo wapi...?
Duh!!! Mzee una umri wa miaka mingapi?Boss ukiachana na Russia ambayo ina vikwazo, unaweza taja nchi nyingine ambayo preferred foreign reserve currency sio usd na ukasema ni fedha gani?
On September 2, 2020, the United States government imposed sanctions on the International Criminal Court (ICC) prosecutor, Fatou Bensouda, and another senior prosecution official, Phakiso Mochochoko. In addition, US Secretary of State Michael Pompeo announced that the United States had restricted the issuance of visas for certain unnamed individuals “involved in the ICC’s efforts to investigate US personnel.”Ni aibu na fedheha kwa taifa lenye historia kubwa kama Urusi kuongozwa na muhalifu anayetafutwa na mahakama ya ICC.