Umri wangu unauhusiano gani na maamuzi ya hizi nchi kuwa na reserve ya kiasi hichi?Duh!!! Mzee una umri wa miaka mingapi?
| Rank | Country | Foreign Currency Reserves (USD billions) |
|---|---|---|
| 1 | China | $3,480 |
| 2 | Japan | $1,376 |
| 3 | Switzerland | $1,033 |
| 4 | Russia | $630 |
| 5 | India | $599 |
| 6 | Taiwan | $548 (as of Dec. 31, 2021) |
| 7 | Hong Kong | $504 |
| 8 | Saudi Arabia | $451 |
| 9 | South Korea | $449 |
| 10 | Singapore | $365 |
This is inapproprate. Tusifike huku.RUSSIA TO "PRACTICE" SUB-LAUNCHED NUKE STRIKE AGAINST U.S.A. FROM SUBS IN PACIFIC OCEAN
17 MARCH 2023
The Commander-in-Chief of the Russian Navy said tonight his government will "launch salvos of missiles from submarines . . . in the neutral waters of the Pacific Ocean, relatively close to the coast of the United States, equipped with imitation nuclear warheads."
The date of this 'exercise" is not yet known.
This will be Russia's response to the United States sending B-52's to within ten miles of Russian territory (an island in the Baltic Sea) wherein they practiced launching nuclear cruise missiles at St. Petersburg, Russia, earlier this week. That incident, earlier this week, was reported HERE
From the Russian Foreign Ministry: "We urge the United States to think about the consequences of its increasingly aggressive actions fraught with direct military confrontation with Russia."
Hal Turner Analysis
Things are not getting better, folks. They're getting very much worse.
Get right with God.
Hizo documents umezitoa umezitoa Wikipedia also hizo ni data za 2020.Umri wangu unauhusiano gani na maamuzi ya hizi nchi kuwa na reserve ya kiasi hichi?
Rank Country Foreign Currency Reserves (USD billions) 1 China $3,480 2 Japan $1,376 3 Switzerland $1,033 4 Russia $630 5 India $599 6 Taiwan $548 (as of Dec. 31, 2021) 7 Hong Kong $504 8 Saudi Arabia $451 9 South Korea $449 10 Singapore $365
Sources: IMF and *Central Bank of the Republic of China (Taiwan)23
Achana na maswali yasiyohusiana na hoja. Usinipeleke huko unapowapelekaga wengine kwa majibu yako ya uzalendo wa kirusi ninayoyasomaga humu. Nipo hapa kujifunza na kuelewa sio kudharauliana. Kama una jibu la swali nililouliza jibu bila kujivimbisha vimbisha ila kama huna acha wengine watajibu.
Alienda afrika kusini na hajakamatwa, ICC ikapga simu mkamateni huyooo wakajibiwa hatuwez kamata mgeni wetu mwenye mwaliko wa ikulu.Kwani Albashir wa Sudan si alikuwa anatembelea mataifa kibao alikamatwa na nani?
Hizo documents umezitoa umezitoa Wikipedia also hizo ni data za 2020.
Vilevile China ndiye anaye own dollars zaidi hata ya USA. Unalijua hilo? China ndiye mwenye maamuzi juu ya dollar. Unaelewa maana yake lakini au unabisha tu?
Pili hapa chini umeacha kuiweka sijui kwa makusudi au mahaba niue?
Mwanamme hajichekeshi kwa emoji mda wote.
Unajiita Tsh halafu hujui mambo ya currency.Sikubishana, niliuliza swali la uelewa nipate ufahamu.
figures ni kufikia June 2022(except for the one with a note). Kama sio sahihi naomba zilizo sahihi.
Source nilishaweka, kama ipo kwenye source uliyoitaja hilo si tatizo.
Swali langu si kuhusu mwenye maamuzi na dola. Swali lilikuwa ni nchi zipi ambazo foreign reserve wameprefer isiwe kwa dola, na wametumia currency ipi.
Ni swali la ufahamu tu. Halina uhusiano na upande au nani ni mbabe kati ya urusi na usa.
Ok sorry boss, apo kwenye $ toa weka Tsh
Kipo kinachonichekesha.kile kitendo cha nyie kumwagiwa mafuta na su-27 kimenifanya nicheke sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamme hajichekeshi kwa emoji mda wote.
Ukiulizwa kinachokuchekesha ni nini hakipo.
Wanahamia afrika boss, wanamfuata pk wa Rw wanampump ujingaaa...analiamsha dude la m23 kivu huko..wanakuja wafrench kuwa peace keeper na drilling machine kufyatua matofali ya gold, pale niger na nigeria wanatumwa boko haram wanateka wanafunz wanaingizwa wanato pale na mapipa na f-35 wanayafyonza mafuta wee mpaka wanachoka.Hii game Mwanzoni Westerns walimu underestimate sana Russia na walikuwa na assumptions kwamba vile vikwazo vingeumaliza uchumi wa Russia.
Lakini imekuwa tofauti kabisa.
Kinachotokea hapa ni kwamba Westerns Economy hauwezi tena kuimili hali ya namna hii.
Hawawwzi tena ku print pesa, una print kwa ajili ya nani, wakati nchi zimeanza kufanya biashara kwa local currencies zao. Vilevile Dumping of dollars,
China na India wanapata cheap energy. Uchumi wa hizo nchi unakuwa bila shida.
Kesho ya Europe ipo wapi...?
Tumeshafika huko mkuu,sasa ni kujiweka tayari tu for the coming of the King,Jesus Christ.This is inapproprate. Tusifike huku.
It is a deceptive appearance, not the system itself, the international system remains unipolar as to today's date.Unajiita Tsh halafu hujui mambo ya currency.
Hapa tunaongelea nini sasa mzee?
From beginning tunakuambia nchi zinaondokana na dominance ya $ zinafanya alternative nyingine.
Tunaondoka kwenye unipolar world tunaelekea kwenye Multipolar world watu wanaanza kuuziana vitu kwa local currencies.
Mfano: If we don't import much from USA, we import from China and India why do we keep much $?
Ndio maana India na Tanzania zekubaliana kutumia their currencies in transaction.
Kitu kitakacho sababisha Tsh kupatikana kwa wingi India huku Rupee kupatikana Tanzania. So Wahindi wakitaka kununu vitu hapa TZ watanunua kwa Tsh maana yake huko India watakuwa na Accounts mbili (Ya Tsh na Rupee).
So wataiweka Tanzania Currency kwenye reserve yao. Vivyo hivyo Tanzania wataweka Rupee kwenye reserve. Mbona calculation simple tu.
Hili jambo litafanya Tsh kuwa strong currency. Majirani zetu Uganda, Congo, Rwanda, Kenya, Burundi nk watataka kuwa Tsh ili waweze kurahisisha niashara na India. Au hata hapk bado huelewi?
GOLD....unaiuza popote duniani, unalipia deni lolote, liwe la binafsi au la kimataifa..unalipa chochote na unajipatia fedha ya nchi yoyote kwa kutumia gold...ndio maana hata Magu-RIP alianza ku-force kuwe na reserve kubwa ya Gold BoT...unahis UK na US reserve yao ni nini?Boss ukiachana na Russia ambayo ina vikwazo, unaweza taja nchi nyingine ambayo preferred foreign reserve currency sio usd na ukasema ni fedha gani?
Na kweli Kila mbinu inatumika ikiwemo hii ya Sasa ya ICC warrant of arrest for Putun....ila sijui Russia itakuja na kitu gani dhidi ya mikakati huu wa West....Russia inaweza ikaja na mkakati mbaya zaidi kuhusu Ukraine na viongozi ....tusuburie. maana mambo makubwa zaidi yamo njiani....That's y west wanaitumia Kila mbinu kumdhibiti Putin but they end themselves wakifeli
mkuu, Naamini bado kuna watu wenye nguvu wanaweza kuitumia nafasi ndogo iliyopo kushawishi wenzao wenye nguvu tusifike kwenye vita vya nukes.Tumeshafika huko mkuu,sasa ni kujiweka tayari tu for anything.
Kabisa Tusifike huku lakini Nani katupelekea Kufika huku!?This is inapproprate. Tusifike huku.
Mzee unazingua sana aisee!!! Sijui unajiondoa ufahamu au wewe kichwa chako ni kigumu.It is a deceptive appearance, not the system itself, the international system remains unipolar as to today's date.
Fuatilia central banks za nchi kubwa unazozifahamu. Sijasema multipolar haiwezi kuja, nimesema dunia haipo kwenye mfumo huo hata sasa ninapoandika hoja hii. Foreign reserve za nchi bado ni USD.
Inatumwa mashine tu yenye kushushwa na kamba za chuma mbona kazi ndogo tu hiyoUtakuta data tu zilizohifadhiwa. Ikirusha online bila kuhifadhi - basi. Menginevyo kwanza kazi ya kupata kitu mita 1500 chini ya uso wa maji . . . . . . Hakuna nyambizi inayofika huko. Kuna vyombo vya pekee ambavyo huitwa bathyscaphe ila sijui kama Warusi wanayo siku hizi? Walikuwa nazo zamani . . . .
Binafsi naona USA has no choice except for willingly retreated from playing the world’s policeman huku akiheshimu culture za nchi nyingine. Aache demand na Supply ifanye yake. Hili ndo kosa ninaloliona analofanya USA mpaka kusababisha aonekane ana kiherehere na nchi nyingine.Kabisa Tusifike huku lakini Nani katupelekea Kufika huku!?
US Ndio chanzo Cha Matatizo ya Hii dunia na Hii hali Inaelekea Kubaya Zaidi
Tunasema Kila siku Urusi Hatokubari Kupiga Goti kwa Us kama Mataifa Mengine hilo Halipo
Na Zaidi itapelekea Kuleta Maafa Dunia Nzima