Hiyo (Tuachane) inatokana na nn? Kwani kuna mwingine niliyemwambia aendelee na hoja nyingine za watu wengine zaidi yako?Kwahiyo unataka kutuambia tuachane na upumbavu wako?
A. Ndiyo
B. Hapana
C. Tuamue wenyewe
Chagua jibu sahihi.
Ndio maana nimekwambia nenda kwenye banda la kuku ukajifunze kuwa na kumbukumbu.Hiyo (Tuachane) inatokana na nn? Kwani kuna mwingine niliyemwambia aendelee na hoja nyingine za watu wengine zaidi yako?
Hili la siku zijazo sijalizungumzia boss. Hakuna sehemu nimelipinga, hakuna sehemu nimelikubali.Hiyo haiondoi dhana kwamba utakuwa na nyumba siku chache zijazo.
Hatuwezi kuendelea kukumbatia mavi ya ng'ombe ndani eti kwa sababu tu ngombe alikula mananasi.Hili la siku zijazo sijalizungumzia boss. Hakuna sehemu nimelipinga, hakuna sehemu nimelikubali.
Ili nifanye hivyo lazima nisome na kufanya analysis kuhusu hilo na sijafanya.
Huku kunishambulia kunatokana sentensi moja tu niliyosema.
" The international system remains unipolar as to todays date."
Sasa mbona hujajibu swali? Sijapingana na nilichokuambia. Nimekuuliza kwanini umetumia wingi kana kwamba haupo pekeyako ilihali ni wewe tu ndo niliyekuambia uachane na upumbavu wangu baada ya kuniita mpumbavu.Ndio maana nimekwambia nenda kwenye banda la kuku ukajifunze kuwa na kumbukumbu.
Comment yako ni hii
View attachment 2556207
Nivumilie tu maana natafuta namna ya kukusaidia, maana wewe ni mtanzania mwenzetu lazima tukupatia maarifa hata kwa kulazimisha.
Nimemwambia post namba #109023# jamaa haelewiNaomba kuchangia hapa.
Kigezo number 1 cha kuthaminisha pesa ya nchi ni Gold.
Ndio maana hata huu mfumo wa USD ulipoanza, ulikuwa unatumia Gold Standard (Ingawa baada wakaja kuutoa kwa sababu hizo Gold hawakuwa nazo)
Kwa hiyo tambua kwamba, Gold ndio standard ya kuweka mizani na sio USD... OKay?
Umekumbatia mavi ya ng'ombe wewe na kina nani? Ni kama vile kuna uanachama fulani hivi upo na wenzako na ww ni mwenyekiti. Unatumia tuta, tume, tuli, hatuwezi, hatutaki.Hatuwezi kuendelea kukumbatia mavi ya ng'ombe ndani eti kwa sababu tu ngombe alikula mananasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nimekwambia nenda kwenye banda la kuku ukajifunze kuwa na kumbukumbu.
Comment yako ni hii
View attachment 2556207
Nivumilie tu maana natafuta namna ya kukusaidia, maana wewe ni mtanzania mwenzetu lazima tukupatia maarifa hata kwa kulazimisha.
Nataka sasa unifafanulie vizuri ili na wengine wajue.Sasa mbona hujajibu swali? Sijapingana na nilichokuambia. Nimekuuliza kwanini umetumia wingi kana kwamba haupo pekeyako ilihali ni wewe tu ndo niliyekuambia uachane na upumbavu wangu baada ya kuniita mpumbavu.
Wewe ni Pro-nato ndio maana...hii ni mijadala tuu..kwahiyo utateseka ukijiweka neutral wakat post ni za pro-nato/ukrainUmekumbatia mavi ya ng'ombe wewe na kina nani? Ni kama vile kuna uanachama fulani hivi upo na wenzako na ww ni mwenyekiti. Unatumia tuta, tume, tuli, hatuwezi, hatutaki.
Umekumbatia mavi ya ng'ombe wewe na kina nani? Ni kama vile kuna uanachama fulani hivi upo na wenzako na ww ni mwenyekiti. Unatumia tuta, tume, tuli, hatuwezi, hatutaki.
Hatupo kwenye multipolar world ila tupo kwenye mjadala wa makubaliano ya kuwepo kwenye multipolar world.Sisi sote tuliokinyume na manyanyaso ya wakoloni. Hii ikiwa pamoja na wewe.
Wewe ndiye unayelazimisha tukae na mboji ndani ya nyumba. Mboji ni uchafu mdogo wangu. Tupo kwenye Multipolar world. Utawala wa wazungu umekoma.
Au unataka mpaka CNN, BBC wakuambie?
Siteseki. Hakuna furaha yoyote kuwa pro wa nchi yoyote kwangu. Najadili lile ninaloliona ni sahihi nikitegemea kukosolewa au kuelimishwa pasipo mwavuli wa upro.Wewe ni Pro-nato ndio maana...hii ni mijadala tuu..kwahiyo utateseka ukijiweka neutral wakat post ni za pro-nato/ukrain
Sasa mara unasema hutaki kujadiliana na mimi mara unaendela ku quote comments zangu unaelekea matatizo ya kifamilia yamekusonga sana. 🤣 🤣 🤣Hatupo kwenye multipolar world ila tupo kwenye mjadala wa makubaliano ya kuwepo kwenye multipolar world.
" The international system remains unipolar as to todays date." unachokisema bado hakijawa.
KatombweHili la siku zijazo sijalizungumzia boss. Hakuna sehemu nimelipinga, hakuna sehemu nimelikubali.
Ili nifanye hivyo lazima nisome na kufanya analysis kuhusu hilo na sijafanya.
Huku kunishambulia kunatokana sentensi moja tu niliyosema.
" The international system remains unipolar as to todays date."
Ningeweza kukupuuza tu, ila imetokea tu nikaendelea kuheshimu pale uliponiuliza swali. Kuhusu matatizo ya familia kwani kuna mtanzania asiye na matatizo? Hii nayo ni silaha ya kumshambulia mwingine? Kila siku natatua matatizo ya familia yangu ni kweli.Sasa mara unasema hutaki kujadiliana na mimi mara unaendela ku quote comments zangu unaelekea matatizo ya kifamilia yamekusonga sana. 🤣 🤣 🤣
Umepatwa na hasira lakini nilichosema ni uhalisia.Katombwe
Naomba unishirikishe matatizo yako ya kifamilia ninaweza kukusaidia. Pole sana sisi ni watanzania tunasaidiana.Ningeweza kukupuuza tu, ila imetokea tu nikaendelea kuheshimu pale uliponiuliza swali. Kuhusu matatizo ya familia kwani kuna mtanzania asiye na matatizo? Hii nayo ni silaha ya kumshambulia mwingine? Kila siku natatua matatizo ya familia yangu ni kweli.
Matatizo ni yale yale ya kila mtanzania ya baba kuhakikisha familia ipo salama. Sijafika sehemu ambayo ni ya kuhitaji kusaidiwa. Ningefikia hapo nisingekuwa JF nikijadiliana.Naomba unishirikishe matatizo yako ya kifamilia ninaweza kukusaidia. Pole sana sisi ni watanzania tunasaidiana.