jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Na ile ya kuchinjwa zaidi ya Mia Saba kila siku kwa Russia inakuaje? Yaani kipigo kinajieleza chenyewe hakihitaji ufafanuzi."Since beginning of SMO, Ukraine created three armies. The first was defeated and destroyed on Feb 22 last year, the second at the end of 22nd this year. The third army was created to restore losses due to forced conscription" - former adviser to the head of Pentagon, D.McGregor
Kinachofanya android ina-run ni satelite huko angani...uliza ni nani anazipeleka huko...ulaya nzima ilikua inapata gesi bei chee kichizi..uliza nani alikua anaipeleka huko, dunia nzima inapata mbolea bei ya vitumbua..iliza nani anasambaza..nchi ya kwanza duniani inayosambaza HUDUMA ZA LAZIMA kwa binadamu uliza ni nchi gani..achana na huduma za anasa...sio UK anaenda kuweka nuclear reactor kwenye mwezi....Achana na Taifa kubwa USA Mungu azidi kuwabariki . Hiyo Android unayopapasa hapo ni Biden.
Mwambiee hajui politics..marekani ilitaka kukata 1/3 ya pesa za afganistan walizofreez eti ni compensation kwa wamarekan walioathirika(familia za askari wa US waliofia afganistan) zile familia zikakataa zile pesa na kusema rudisheni pesa za waafganistan, hatutaki pesa za damu, sisi(US) ndio tuliwaingilia nchini mwao kwa sera zetu na wao hawazitaki sera zetuHakuna pesa yeyote ya Urusi iliyo taifishwa bali zimeshikiliwa tu.
Unahisi OP ikiisha hao wafanya biashara wa urusi watanyamazia pesa zao zilizoshikiliwa? Zingekua zote za serikali hapo sawa ila nyingi ni za individual...wewe huna ujualo mara kadhaa Biden amekuwa anasema fedha zinatumika kwa msaada ukraine na zile zilizokamatwa nyengine ufaransa tayari watu washagawana ngawira zamani
Yeye anadhani dunia inaendeshwa kienyeji kienyeji.Mwambiee hajui politics..marekani ilitaka kukata 1/3 ya pesa za afganistan walizofreez eti ni compensation kwa wamarekan walioathirika(familia za askari wa US waliofia afganistan) zile familia zikakataa zile pesa na kusema rudisheni pesa za waafganistan, hatutaki pesa za damu, sisi(US) ndio tuliwaingilia nchini mwao kwa sera zetu na wao hawazitaki sera zetu
Mkuu, je unaamini mambo kama haya? Nani aliharibika tarehe 22 Fev 2022??? Wapi? (kama siyo vikosi vya parachuti vya Urusi vilivyojaribu kuvamia Holomel, sivyo?)"Since beginning of SMO, Ukraine created three armies. The first was defeated and destroyed on Feb 22 last year, the second at the end of 22nd this year. The third army was created to restore losses due to forced conscription" - former adviser to the head of Pentagon, D.McGregor
Sio vilivyojaribu....Mkuu, je unaamini mambo kama haya? Nani aliharibika tarehe 22 Fev 2022??? Wapi? (kama siyo vikosi vya parachuti vya Urusi vilivyojaribu kuvamia Holomel, sivyo?)
Najua kwamba Bw McGregor alianza kutangaza mambo ya ajabi. Ila siwezi kuwaza kwamba alisema jambo la kijinga kabisa kama hilo...
Je umetafuta chanzo cha maneno hayo?
Jamani, tutende kama watu wazima, hata tukitofautiana kimawazo.
Dozens Of US Banks At Risk Of Repeating SVB Collapse — Study
Nearly 200 American banks face similar risks to those that led to the implosion and bankruptcy of Silicon Valley Bank (SVB), according to a paper posted this week to the Social Science Research Network. SVB, a major US lender focused on the tech and startup sectors, was shut down by regulators last week after massive deposit outflows.
In the study, four economists from prominent US universities estimated how much market value the assets held by US banks have lost due to recent interest rate hikes.
“From March 07, 2022, to March 6, 2023, the federal funds rate rose sharply from 0.08% to 4.57%, and this increase was accompanied by quantitative tightening. As a result, long-dated assets similar to those held on bank balance sheets experienced significant value declines during the same period,” they wrote.
Subscribe to RT
Haya masheitwani yakiteseka huwa nafurahi sanaImpact ya kuprint pesa nyingi inaanza onekana sasa, tuliwaambia ni suala la nyakati tu.
Rainbow flagAkbar allah