Mbona inafahamika leo 20march moscow kuna mkutano.museven yupo sijajua sisi .yan multipolar world is emerging. It is like the feeling of old days of our founders like j.k nyerere,gamal abdel nasser,The NAM during cold warEbwana List ya nchi zilizohudhuria unayo hapo mze?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Leo kuna mkutano Moscow 45 nations of africa china na russia.kuzungumzia maendeleo mbona kenya sijaiona kwenye list
Labda English imenipiga chenga wakuu nisaidieni hapa
Nimeona ile clip kasimama.kwenye red light naona kwa vile kwa sabab za kiuslama alifanya vile kutokuwa na msafara wala nin halafu anaendesha mwenyewe na gar ipo.mbele. siwez kushangaa yule ni jasus wa zaman wa kgb lazima anaelewa mbinu zote za kujificha ni kama yupo field.Heee na kwenye mataa anasimama[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Enheeeee!!!!!!!, Nitajie nchi moja ambayo ilikamata Mali za serikali ya urusi au raia urusi na pesa hizo wakazitumia Kwa matumizi mengine ikiwemo na hilo la kupeleka pesa Ukraine?????Hadi mtoto wa putin aliekeza ulaya mapesa kibao sasa zinaliwa ngawira, zinawasaidia Ukrean misaada mbali mbali na silaha pia anazopewa ukrean malipo yake fedha zitatoka kwenye mgongo wa russia
Na kwa kuongezea tu ni kwamba huyo Khan nae raia wa UK hivyo inafanya kampeni hii yote ya ICC kuwa batili.Russia imeanza kuigeuzia kibaao USA na icc Kwa kutoa hati ya kumkanata balozi wa USA icc , (USA itakuwaje na mwakilishi kwenye taasisi ambayo haiitambui? ) Na pia itamkamata jaji alieweka Saini kuidhinisha hati hiyo.
💢 The Russian Federation will issue arrest warrants for the US Ambassador to the ICC (strange that the US would have an ambassador in an organisation it does not recognise), who initiated the case against President Putin and the ICC judges who signed the illegal warrant.
@NewResistance
Viwanda tulivyochukua vinatosha kabisa kulipa fedha zote walizozuia pamoja na hasara inayopatikana.Enheeeee!!!!!!!, Nitajie nchi moja ambayo ilikamata Mali za serikali ya urusi au raia urusi na pesa hizo wakazitumia Kwa matumizi mengine ikiwemo na hilo la kupeleka pesa Ukraine?????
Uraàaaaaaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia’s Security Services Detain Suspected Saboteurs In Saratov Region
The FSB has arrested two locals in the Saratov Region suspected of setting fire and damaging railway infrastructure for money.
One of the men has a criminal history. Local media reports that the suspects face up to five years in prison for intentionally destroying property.
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unakataa kula wakati una njaa? Utakuja kufa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
EU Country Importing Cheap Russian Veggies Despite Sanctions — Media
Poland continues to import Russian vegetables despite wide-ranging EU sanctions against Moscow, Berliner Zeitung reported this week.
According to the newspaper, dozens of trucks are constantly arriving at the wholesale market in the Polish town of Bronisze on the outskirts of Warsaw, loaded with Russian cucumbers and tomatoes. The outlet noted that the cucumbers are priced at 55 zloty ($12.48) for 5 kilos, well below the cost of EU-produced vegetables.
Vegetables have become increasingly expensive in recent months, with local farmers needing help to meet higher energy costs to power their greenhouses. Official statistics show that annual inflation in Poland accelerated in February to 18.4%, the highest since 1996 and one of the highest levels in the EU, with food prices and energy costs rising faster.
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio kwamba wana habari za kuaminika laah hasha, bali wana habari za kujifaidisha, umbea umbea, uchimvi, uwongo uwongo, kusingizia na kutangaza 'states secrets' japo sishangai..ni tabia yenye udada mwingi..kwanza hawana marinda[emoji48][emoji48]waooView attachment 2559110
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji123]
Special operations forces of the Ukrainian Armed Forces have destroyed a group of russian invaders in the Donetsk sector.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app