Tuwaeleweje jaman nyie "jinsia za kukopa" mara china-russia ni "no affection relation" saiv ni "feel no responsiblty" acheni maneno twende kwa vitendo... Yaaanii dola za watu mlizomwaga damu sasa zinavuja kidogo kidogo huko ukrain mpaka tone la mwisho...U.S. Secretary of State Antony Blinken on March 20 called Xi’s visit to the Kremlin “a diplomatic cover for Russia to continue to commit” war crimes.
The visit “suggests that China feels no responsibility to hold the president accountable for the atrocities committed in Ukraine,” Blinken said of Putin.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umenena Vema mkuu, hawa US sijawahi kuwaamini kwenye kitu chochote. Acha PUT IN awaadabishe, mdogomdogo wataelewa.Kuna mda unaweza ukawa alone unapitia maandishi ya hapa na pale. Nasema maandishi nikiwa nalenga yale yaliyomo kwenye vichwa vya watu ambayo yanawisilishwa kupitia maandishi yao kwa hapa jukwaani. Mwisho unajiuliza what's wrong with us?
Unajiuliza mbona tunatizama hapa ila pale hatutizami. Mbona tunaangalia kule huku hatuangalii. Nini chimbuko la undumilakuwili ulio kita mizizi kwenye vichwa vyetu. Why tupo hivi na kwanini tunaendelea kua hivi?
Issue kama ya Iraq...
View attachment 2560290
Zile lives of Millions waliouwawa hatima yao imekuaje?
Na kile MSM ilichokua ikitangaza ni Opposite na Public kile ilichokua ikihitaji kifanyike Iraq
View attachment 2560293
Over 30M people across cities duniani kote waliingia barabarani kupinga uvamizi wa Iraqi? Nani aliyewasikiliza?
View attachment 2560301
View attachment 2560302
View attachment 2560303
View attachment 2560304
So against people's will, against UN approval Iraq ikavamiwa na kuteketezwa. Je is that what we call democracy? Is it true democracy ipo for the will of people? Mh?
Ok now its almost 20yrs, wahusika waliofanya yote hayo walichobaki nacho lawama kwa the so called "Intelligence Failure"... Really? Ani mataifa yote hayo UK and US on the lead kwa pa1 wawe na intelligence mbovu against a country like Iraqi?
Yet wanajifanya kinafiki ku apologies, ICC ilikua wapi, International communities wako wapi ama walikua wapi. 20 yrs hawakuyaona ama hawajaona hayo? Wahusika wote hao wameshakua held accountable? So why not wao iwe kwa wengine? Are they Gods? That wana haki to take lives wherever na mda wowote wakihitaji?
View attachment 2560328View attachment 2560331View attachment 2560334View attachment 2560335
Sasa kwanini haya tunayafumbia macho?
Na hilo ni just tone la tukio katika matukio ambayo wamefanya na wanaendelea kufanya. Leo the same country, who keeps lying everywhere to impose fear of war, Instability kwa other nations to keep their power alive eti ndio wanakuja kuiomba dunia iungane nao kuendeleza machafuko kwa kugombanisha Majiran for their own interest. The same shit country leo hii eti ndio anasimama kuelekeza nini wengine wafanye?
The same country ambayo inatangaza kuheshimiwe kwa sovereignty of other nations ilhali ndio nambari moja wa kuingilia internal affairs za mataifa mengine.
Asee, Em UMASIKINI USITUKOSESHE UTIMAMU.
Asijali atarudishwa kwa wazazi wake...hakuwa "deported", bali "evacuated"A teenage boy from Lysychansk, Luhansk region, temporarily captured by the Russian invaders, told authorities through the Children of War government portal that he had been deported to Russia.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hhhhhhhhh angeshtakiwa uyo unomtetea kwanza kwa mauwaji aloyafanyaMkuu uwe unajielimisha kidogo,mahakama ya ICC ni ya dunia nzima uwe mwanachama au laa,maadamu umefanya makosa utawajibishwa kwa mujibu wa sheria.Kutokuwa nchi mwanachama kunafanya tu mahakama kukosa nguvu kwenye nchi hiyo,lakini mtuhumiwa ukikanyaga nchi mwanachama wa ICC unaruhusiwa kukamatwa na kufikishwa the Hague.
Kipanya Jana alisema kwamba China wametii maagizo ya ICC kwamba akienda kule atakamatwa yaani malengo ya kipanya na west kila wakijaribu inashindikana post za kipanya zote hakuna yenye maana hata moja.Rais Xi Jinping amemualika rasmi Rais Putin kwenda kutembelea China.
Rais Xi amesema kwamba anataka Rais Putin ndiye awe kiongozi wa kwanza kutembelea China kwa mwaka huu, kwa sababu ya ukaribu mkubwa uliopo baina ya nchi hizo mbili.
Pili amemshukuru sana Waziri Mkuu wa RF - Mishistun na kumualika pia China, ili waweze kupamba mambo vizuri ikiwemo safari ya Rais PutinView attachment 2560463
Mkuu watu wanataka kutengeneza dunia ambayo hamna Mkubwa wala mdogo,watu wa trade sawa-kama USA ataanguka hamna utawala utakao kuwa juu maana China atakuwa juu kiuchumi lakini kijesho atakuwa si chochote mbele ya Russia na USA.Ndugu unafikiri kuanguka kwa dolar ya USA na kuinuka kwa nyingine kutafanya nchi zingine ziendelee? Huoni kwamba mtego ni ule ule anashuka uyu anainuka yule na yule anayeinuka lengo ni kutawala vile vile! Dunia hawezi kwenda bila kuwa na kiranja hilo sahau na halipo habari za Brics na ushirikiano wa Russia na China ni kutaka kuangusha tawala moja ili nyingine inuke na kutawala + kunyonya. Russia anaitaka hela ya mchina na Mchina anataka mali asili za Mrusi.
Yes maana UE na USA ndio wenye shida na Russia sio Ukraine.Foreign Minister wa Ukraine amewaambia EU kwamba Ukraine inataka ipewe misaada zaidi ili kupambana na Russia.
Amesema kwamba, EU wanapaswa kuendelea kutoa misaada mingi kwa Ukraine.
Daaaah... ila EU wanakazi kwa kweli.View attachment 2560444
Sasa kama hawana habari za maana za kuandika mkuu ndio hata umbea wasindike? Msiwakazie kiivo..mmewabana battle ground kwao alaf ndio hata ubuyu wasipeane..heee shogaa tumewapa speapati za mikweche mtaamua mupaki uani gereji au muuze chuma chakavu front line[emoji3][emoji3]
Ila wewe jamaa sio mzima kabisa.
Yaani kupeleka spare parts nayo inakuwa ni habari...
UraaaSaudi Arabia and Syria agreed to re-establish relations and reopen embassies.
Hebu fikiria tuu kwa kikosi kazi cha urusi unachokisikia na unachokishuhudia ni askari wa nchi gani anathubutu kumsogelea huyu rais mcheza kareti mwenye black belt yake? Najiuliza na kile chama cha kareti kimemvua vipi mkanda kikamuachia mazoezi yaliyompa huo mkanda, west are idio....cre
Waache waje wanyonye rasili mali zote mpaka waridhikeNdugu unafikiri kuanguka kwa dolar ya USA na kuinuka kwa nyingine kutafanya nchi zingine ziendelee? Huoni kwamba mtego ni ule ule anashuka uyu anainuka yule na yule anayeinuka lengo ni kutawala vile vile! Dunia hawezi kwenda bila kuwa na kiranja hilo sahau na halipo habari za Brics na ushirikiano wa Russia na China ni kutaka kuangusha tawala moja ili nyingine inuke na kutawala + kunyonya. Russia anaitaka hela ya mchina na Mchina anataka mali asili za Mrusi.
Kama alivyofika Albashir vile[emoji16][emoji23][emoji16]Mkuu niamani huyo Putin ni suala la muda tu lazima afike the Hague,kizuri hati ikiandikwa imeandikwa lazima mhusika afike the Hague,ikiwa kwa hiari au kwa nguvu.Labda afe leo ndio atapona kufika the Hague.
Mkuu,anayeshtakiwa mtu ambaye kwa namna moja au nyingine amehusika na uhalifu wa kivita sio nchi.
Hakuna currency ya nchi yoyote inayotakiwa kuwa juu ya mwenzie....multipollar means ukitaka kununua korosho nendana Tsh kutoka custom boda, nikitaka brookside milk nenda na Ksh, ukitaka shaba ya wazulu nenda na Rand, ukitaka kitu cha zambia nenda na kwacha..shida iko wapi? Au inakuuma ukinunua Prado kwa Tsh-Yen unataman mpaka ipitie USD..Waache waje wanyonye rasili mali zote mpaka waridhike
Maadam hawatauona ushoga na usagaji kama jambo lakawaida tupo tayar waje